Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.

Tumpongeze anaupiga mwingi sana.

KAULI imekaa kumgombanisha mteule wake na wananchi, tukisema rais kazungukwa na wahuni , wengi hawaelewi, YEYE ni examption ipi aliyonayo kwamba WENGINE wakaame nchi ila yeye abaki , avulumishwe tu uyo ili liwe funzo kwa wateule wengine,
 
Madame SSH si alienda juzi Bujumbura unaweza kukuta kapatiwa mahala pa kuishi usiwaamini wanasiasa.
 
KAULI imekaa kumgombanisha mteule wake na wananchi, tukisema rais kazungukwa na wahuni , wengi hawaelewi, YEYE ni examption ipi aliyonayo kwamba WENGINE wakaame nchi ila yeye abaki , avulumishwe tu uyo ili liwe funzo kwa wateule wengine,
Kwani hao wamechaguliwa na nani?waliomzunguka.
 
KAULI imekaa kumgombanisha mteule wake na wananchi, tukisema rais kazungukwa na wahuni , wengi hawaelewi, YEYE ni examption ipi aliyonayo kwamba WENGINE wakaame nchi ila yeye abaki , avulumishwe tu uyo ili liwe funzo kwa wateule wengine,
Kabisa Mkuu huyu muhuni avurumishwe hapo....
 
Mtoto wake analipa ada milioni 10 apandi daladala ayajui maisha ya watz
 
Bingwa gani wa uchumi anafanya dabo taxation uliona wapi duniani kitu kimoja kodi mara mbili mtumaji kodi mpokeaji kodi kwa the same transaction.
Ajui hata kanuni za kodi zinasemaje.
 
Zamani sana awamu ya kwanza , mzee Malecela alilewa madaraka alisema , those who complain about the bad services of our rail transport can go to hell. Mwl alikuwa anachukia sana kiburi cha cheo kwenye Baraza la mawaziri hakubaka akapelekwa mkuu mkoa iringa .Nyerere uwe kwa walio juu yako na waliokupandisha. Salimu peke yake alikuwa hajawahi kutoa kauli za kejeii za uongozi ndio maana hajawahi kushika. Mwigulu urais ameutolea macho lakini kauli za mbovu. Hazifutiki. Mama Samia ana hofu ya Mungu na upendo wa dhati kwa anaotuongoza. WAtanzania wakimnongoneza kuwa hatufai Mwigulu. kuwa citizen number one utauchungulia kama Malecela.
 
Ni vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli
Wewe uwezi fananisha Magufuri na takataka, Magufuri alipoingia madarakani alifuta tozo zote zilizokuwa kero kwa watu wa chini, service charge za luku ya umeme,ushuru wa mazao kwenye mifugo,mpaka kwenye masoko mengine aliwambia wasilipe ushuru mpaka waboreshewe mazingira, baada ya kufa kila kitu kimerudi kama zamani,mpaka mpangaji analipa kodi ya nyumba wakati nyumba sio yako,eti mtadaiana na mwenye nyumba, kipindi cha Magufuri akukuwa na kodi za kipumbavu,na kazi zilifanyika zinaonekana, kipindi cha Magufuri akukuwa na misamaa ya kodi kwa matajiri, sasahivi wamerudisha ndio maana wanakosa ela wanaanza kurundikia kodi watu wa chini.
 
Mwigulu Mchemba
susp.png
 
Mwigulu shikilia hapo hapo ,lazima watu walipe kodi ila punguza ukali wa maneno
Mwigulu ana elimu elimu kubwa IQ, lakini ana Emotional Quotient ndogo. Ikiwa hawezi kucontrol emotions zake hatufai kwa cheo cha rais. Rais mwenye akili kubwa na emotional intelligence ndogo sifa kuwa Rais.
 
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.

Tumpongeze anaupiga mwingi sana.

Daktari wa uchumi anasema uchumi hautatetereka, lakini siku chache tu hizi watu wamesitisha kutumia mpesa, tigopesa, huko makampuni haya yalikuwa yanaingiza pesa, zimekata wameshakula hasara mabilioni ndani ya siku chache, hili nalo linahitaji kwenda shule kupata phd?
 
But inaelekea ana nyota ya kupendwa na mamlaka ya uteuzi...how can he survive in such hostile environment?...yaani iko wazi kwamba kuna hate kubwa Sana Kati ya wananchi na huyu Waziri...KAZI ya hivi anaifurahia kweli!?
Yawezekana ndani ya Baraza la mawaziri anajijenga kwa kutoa hoja nzito na rais wanamkubali.. bahati mbaya nimefanya Kazi na wanyiramba ni jamii inayojikomba sanakwa viongozi wakuu hata kwa kusengenya wenzake ili aamniwe peke yake aachiwe.Lakini mwigulu afahamu njia hiyo haiwezi kumpa citizen number one.
 
Back
Top Bottom