kwani sisi ni warundi?kama anaona burundi ni sehemeu sahihi si aanze yeye kwenda huko.?hiyo tai na skafu anavaa za nini?uzalendo wake ni upi wa kuwanyonya wanyonge.madaraka yana mwisho wake na hicho kiburi kitakuja kwisha tu very soon.Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.