Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Kwan team 'mama anaupiga mwingi' inasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimfananishe huyu muhuni mpenda sifa na madaraka, na magufuliNi vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli
KAULI imekaa kumgombanisha mteule wake na wananchi, tukisema rais kazungukwa na wahuni , wengi hawaelewi, YEYE ni examption ipi aliyonayo kwamba WENGINE wakaame nchi ila yeye abaki , avulumishwe tu uyo ili liwe funzo kwa wateule wengine,Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
Ni vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli
Kwani hao wamechaguliwa na nani?waliomzunguka.KAULI imekaa kumgombanisha mteule wake na wananchi, tukisema rais kazungukwa na wahuni , wengi hawaelewi, YEYE ni examption ipi aliyonayo kwamba WENGINE wakaame nchi ila yeye abaki , avulumishwe tu uyo ili liwe funzo kwa wateule wengine,
Kabisa Mkuu huyu muhuni avurumishwe hapo....KAULI imekaa kumgombanisha mteule wake na wananchi, tukisema rais kazungukwa na wahuni , wengi hawaelewi, YEYE ni examption ipi aliyonayo kwamba WENGINE wakaame nchi ila yeye abaki , avulumishwe tu uyo ili liwe funzo kwa wateule wengine,
Yule alifanya ubinadam asiwavulumishwa, ila Sasa hawataki badilika, KWA kifupi aliwaidhinisha tu hakuwateua ,ila Sasa ni mda wao kuvulumishwaKwani hao wamechaguliwa na nani?waliomzunguka.
Wewe uwezi fananisha Magufuri na takataka, Magufuri alipoingia madarakani alifuta tozo zote zilizokuwa kero kwa watu wa chini, service charge za luku ya umeme,ushuru wa mazao kwenye mifugo,mpaka kwenye masoko mengine aliwambia wasilipe ushuru mpaka waboreshewe mazingira, baada ya kufa kila kitu kimerudi kama zamani,mpaka mpangaji analipa kodi ya nyumba wakati nyumba sio yako,eti mtadaiana na mwenye nyumba, kipindi cha Magufuri akukuwa na kodi za kipumbavu,na kazi zilifanyika zinaonekana, kipindi cha Magufuri akukuwa na misamaa ya kodi kwa matajiri, sasahivi wamerudisha ndio maana wanakosa ela wanaanza kurundikia kodi watu wa chini.Ni vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli
Ndio leo unajua?! Pole sana na hii ndio CCM.Hili jamaa kumbe ni JUHA kiasi hiki?
Mwigulu ana elimu elimu kubwa IQ, lakini ana Emotional Quotient ndogo. Ikiwa hawezi kucontrol emotions zake hatufai kwa cheo cha rais. Rais mwenye akili kubwa na emotional intelligence ndogo sifa kuwa Rais.Mwigulu shikilia hapo hapo ,lazima watu walipe kodi ila punguza ukali wa maneno
Daktari wa uchumi anasema uchumi hautatetereka, lakini siku chache tu hizi watu wamesitisha kutumia mpesa, tigopesa, huko makampuni haya yalikuwa yanaingiza pesa, zimekata wameshakula hasara mabilioni ndani ya siku chache, hili nalo linahitaji kwenda shule kupata phd?Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
Yawezekana ndani ya Baraza la mawaziri anajijenga kwa kutoa hoja nzito na rais wanamkubali.. bahati mbaya nimefanya Kazi na wanyiramba ni jamii inayojikomba sanakwa viongozi wakuu hata kwa kusengenya wenzake ili aamniwe peke yake aachiwe.Lakini mwigulu afahamu njia hiyo haiwezi kumpa citizen number one.But inaelekea ana nyota ya kupendwa na mamlaka ya uteuzi...how can he survive in such hostile environment?...yaani iko wazi kwamba kuna hate kubwa Sana Kati ya wananchi na huyu Waziri...KAZI ya hivi anaifurahia kweli!?