Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.

Tumpongeze anaupiga mwingi sana.

Watanzania ni wanyonge kama alivyokuwa akisema Magufuli, sababu kubwa ni kwamba wengi wao hawawezi kujitetea na hata wakiamua kujitetea kwa namna yoyote ile bado wenye mamlaka ndo wenye maamzi ya kufanya au kutofanya, hilo lipo wazi atakaebisha abishe kwa vitendo na sio kwa propaganda za nyuma ya keyboard.
 
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.

Tumpongeze anaupiga mwingi sana.

SSH naye ni mtanzania,ameambiwa ahamie Burundi
 
Mwigulu hana nyota na Watanzania
Kila akitajwa kuwa waziri Fulani huwa anaandamwa sana.
 
Moja ya makosa makubwa sana ya mama SSH kufanya ktk baraza la mawaziri ni kumpa huyu mtu uwaziri.
lazima atamuangusha tu mama SSH, amejaa kiburi, dharau na kujisikia kupindukia na watu wa namna hii ni wanafiki mno.
Anataka chuki ijae ndani mwetu kwa awamu hii, ili SSH aone kuwa awamu ijayo imemkalia vibaya na asichukue fomu ili yeye na timu yake wapata nafasi!! yupo kimkakati zaidi.
 
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.

Tumpongeze anaupiga mwingi sana.

Mzee Malecela aliwahi kutoa kauli kama hii,na wagogo hawakumpa tena 'kula' ikabidi aishi kwa kubebwa mpaka Mwl naye akaweka Mguu wake, the rest ni history.
 
Shida ya viongozi wa Tanzania hawapo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi bali ni kwa ajili ya manufaa yao binafsi.Na ndio maana hawajali matokeo ya matendo yao,kauli zao na hata mitazamo yao.

Na kinachowasumbua ni uchoyo,roho mbaya,ubinafsi na baadhi yao wana akili nyembamba sana ambazo hata Mirembe hawawezi kupokelewa.

Shame on you waziri wa miamala ya simu na tozo za umeme wa LUKU.
 
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.

Tumpongeze anaupiga mwingi sana.

Itungwe sheria ya kuzuia washamba kupewa madaraka. Haya tumeyaona kwa mwendazake na mwigulu ni walewale
 
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.

Tumpongeze anaupiga mwingi sana.

Wanasiasa wetu wanatuangusha sana!
 
Huyu aliwahi kutumbuliwa iweje arudishwe? Ana Nini Cha ziada? Enyi maccm tumieni akili
 
Mwigulu hana nyota na Watanzania
Kila akitajwa kuwa waziri Fulani huwa anaandamwa sana.
But inaelekea ana nyota ya kupendwa na mamlaka ya uteuzi...how can he survive in such hostile environment?...yaani iko wazi kwamba kuna hate kubwa Sana Kati ya wananchi na huyu Waziri...KAZI ya hivi anaifurahia kweli!?
 
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.

Tumpongeze anaupiga mwingi sana.

This is Tanzania😢
 
Ni vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli
Koma kabisa kumlinganisha JPM na kina Nchemba!

Kwa faida yako na wajinga wengine kama wewe, Hayati alisema, Ni ujinga kwenda kudai kodi kwa watu masikini na walala hoi na wakati nchi yetu imebarikiwa na kuwa na kila kitu!

Waziri anasema uchumi umekufa, Sasa ni shule ipi inayomfundisha mtu ili kuusisimua uchumi uliokufa ni kuuongezea tozo na kodi ni shule ya wapi hiyo inayotuletea wasomi wa aina hiyo?

Unaduka linaloelekea kufilisika, badala ya kutafuta chanzo kingine cha mapato ili uje uliabusti wewe unazidi kuagiza bia kwa pesa hiyo hiyo ya dukani, kuhonga na kufanya anasa?

utakuwa na duka kweli hapo
 
Ana mganga wake mzee mmoja hivi wanasema ni mzuri sana yule Mganga. Na anajua kujipendekeza sana Mwigulu.
Duh...hawa wataalamu wa wanasiasa wawe wanawasaidia ata kwenye Majukumu Yao, sio wanawasaidia kupata vyeo halafu wanaachana nao..au utaalamu hauwezi kuwa extended!?
 
But inaelekea ana nyota ya kupendwa na mamlaka ya uteuzi...how can he survive in such hostile environment?...yaani iko wazi kwamba kuna hate kubwa Sana Kati ya wananchi na huyu Waziri...KAZI ya hivi anaifurahia kweli!?
Seems alipita kwa Dr Mwandulami au alipokuwa Lumumba alikuwa ana ratibu zile shughuli za maji kwa akina Mangula.Akiwa pembeni ya mfumo atasema niguse ninuke haaaaaaa.Eee Mungu tusaidie
 
Back
Top Bottom