Weka hela kwenye simu yako halafu Mtumie bibi kule bush, wewe utakatwa kodi na bibi akienda kutoa hiyo hela kwa wakala kodi itamhusu pia SawaHivi mkuu ebu niambie double taxation inakuja vipi hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hela kwenye simu yako halafu Mtumie bibi kule bush, wewe utakatwa kodi na bibi akienda kutoa hiyo hela kwa wakala kodi itamhusu pia SawaHivi mkuu ebu niambie double taxation inakuja vipi hapa
Mkuu lipa kodi vibonzo haviwezi kuleta maendeleo
Including kufoji elimu
Ndivyo walivyo CCM, wakipewa madaraka hujiona Miungu watu huku wakidai wapinzani ni waroho wa madaraka.Hili jamaa kumbe ni JUHA kiasi hiki?
wote ni ma-bush man,Ni vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli
Hicho ndicho unachomaanisha- HAUKO SAHIHI- FIKIRIA ZAIDIWeka hela kwenye simu yako halafu Mtumie bibi kule bush, wewe utakatwa kodi na bibi akienda kutoa hiyo hela kwa wakala kodi itamhusu pia Sawa
MaCCM wote wamelewa ulevi wa madaraka.Wait...WHAT?!!
Kwa hiyo uchumi wa MTANZANIA siyo uchumi wa TANZANIA?! Kwa hiyo tunakaribisha wawekezaji wa kigeni ila watanzania wasioridhishwa na hali ya uchumi wanaambiwa wahamie Burundi? SHERIA ni MSAHAFU au BIBLIA kwamba haziwezi kubadilishwa?! Bunge ndio linatunga KANUNI?
Labda ni mimi wa darasa la saba B sielewi Daktari wa Uchumi anasema nini. Basi sawa.
mchumi wa daraja la kwanza huyo
fOOL!ACHA UMBEYA- WEKA LINK NZIMA
Ahame yeye sisi tupo tu! Ila miamala hatufanyi!!!!Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
Nyie ndo wachumi daraja la kwanza kwa kweli hii nchi bora apewe wema sepetu.Hicho ndicho unachomaanisha- HAUKO SAHIHI- FIKIRIA ZAIDI
Kwa nini hawampi sumu mavampire wenzake wa CCMMwigulu ni mbaya kuliko Magufuli... achana na yule jamaa. Mungu atuepushe
"HAFAI! BURE GHALI!"Dk wa uchumi hupaswi kutiliwa shaka?
Mwandishi ndicho alichokuuliza?
Mwigulu jiuzuru.
Una majibu ya jeuri yasiyoakisi wananchi.
Ukiwa waziri wa sheria na katiba hukukemea yaliyotokea,kwanini tusikutilie shaka.
HUFAI HATA KUKUSANYA HELA ZA WATU WANAOKWENDA CHOONI.
Nchi imejamba hii.. katiba mpya ni lazima na sasa.Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania.
Tulimwambia mh Rais,mwigulu hafai ktk serikali yake, mama akashupaza shingoNi vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli
Huyu jamaa ni mpuuzi sana,udakitari wa falsafa sio kujitapa,ni matendo,yeye kuwa na ka PHD ka uchumi,anajiona mwamba,amefanya tafiti ngapi na wapi zilizoleta tija?watu waliokuwa wamebobea kwenye uchumi kama Prof Ndulu,walikuwa na CV nzito kuanzia UN,sasa huyu kasoma hajawahi hata kufundisha,au kufanyia kazi hako ka PHD lake,anatutambia hvJeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
Wabongo hata Wakiamvia Piganeni Miti, hawana cha kufanya, haya Maneno ya Mwiguru ingekuwa ni nchi raia wake wanajielewa kingeisha nuka mda mrefu sanaJeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
Ni vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli