Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

Mchumi akicbunga enzi hizo

20210720_110135.jpg
 
Weka hela kwenye simu yako halafu Mtumie bibi kule bush, wewe utakatwa kodi na bibi akienda kutoa hiyo hela kwa wakala kodi itamhusu pia Sawa
Hicho ndicho unachomaanisha- HAUKO SAHIHI- FIKIRIA ZAIDI
 
Wait...WHAT?!!

Kwa hiyo uchumi wa MTANZANIA siyo uchumi wa TANZANIA?! Kwa hiyo tunakaribisha wawekezaji wa kigeni ila watanzania wasioridhishwa na hali ya uchumi wanaambiwa wahamie Burundi? SHERIA ni MSAHAFU au BIBLIA kwamba haziwezi kubadilishwa?! Bunge ndio linatunga KANUNI?

Labda ni mimi wa darasa la saba B sielewi Daktari wa Uchumi anasema nini. Basi sawa.
MaCCM wote wamelewa ulevi wa madaraka.
 
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.

Tumpongeze anaupiga mwingi sana.

Ahame yeye sisi tupo tu! Ila miamala hatufanyi!!!!
 
Dk wa uchumi hupaswi kutiliwa shaka?

Mwandishi ndicho alichokuuliza?

Mwigulu jiuzuru.

Una majibu ya jeuri yasiyoakisi wananchi.

Ukiwa waziri wa sheria na katiba hukukemea yaliyotokea,kwanini tusikutilie shaka.

HUFAI HATA KUKUSANYA HELA ZA WATU WANAOKWENDA CHOONI.
"HAFAI! BURE GHALI!"
 
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania.
Nchi imejamba hii.. katiba mpya ni lazima na sasa.
Hatuwezi kuendelea kutukanwa na watawala wanaovimbiwa na kujambiana usiku kwa kodi zetu.
 
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.

Tumpongeze anaupiga mwingi sana.

Huyu jamaa ni mpuuzi sana,udakitari wa falsafa sio kujitapa,ni matendo,yeye kuwa na ka PHD ka uchumi,anajiona mwamba,amefanya tafiti ngapi na wapi zilizoleta tija?watu waliokuwa wamebobea kwenye uchumi kama Prof Ndulu,walikuwa na CV nzito kuanzia UN,sasa huyu kasoma hajawahi hata kufundisha,au kufanyia kazi hako ka PHD lake,anatutambia hv
 
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.

Tumpongeze anaupiga mwingi sana.

Wabongo hata Wakiamvia Piganeni Miti, hawana cha kufanya, haya Maneno ya Mwiguru ingekuwa ni nchi raia wake wanajielewa kingeisha nuka mda mrefu sana
 
Ni mwendazake anayejua kupangilia maneno yake vizuri.Na anataka kukalia kiti namba moja siku za usoni.Ole ole ole kwa taifa hili.
Ni vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli
 
Back
Top Bottom