Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamia burundi na wewe.Wananchi tunahitaji kujua kama Kauli ya Waziri wa fedha Bwn. Mwigulu kwa wananchi wanaolalamikia makali ya tozo kuwa kama wanahisi wanaonewa wahamie Burundi ni ya serikali au ya kwake binafsi.
Tunataka kufahamu hivyo ili tuweke rekodi zetu sawa.
Kwakua Waziri ni sehemu ya Serikali na anaingia kwenye vikao vya baraza la mawaziri.
Kama baraza zima lilibariki tozo basi pia limebariki na kauli hii ya kuhamia Burundi.
Maana kama hukubaliani na tozo basi unapaswa kuhamia Burundi na wananchi wengi tu hawakubaliani nazo.
Serikali itufafanulie kuhusiana na hili jambo ili ukweli ufahamike maana kauli ya serikali ni amri kwa wananchi.
Ofcourse ana akili na yuko juu sana. Kumbuka ameshakuwa naibu waziri wa fedha, mambo ya ndani na sasa ni Waziri kamili na ana PhD.Huyu jamaa kama vile yuko juu ya kila kitu/mtu.
Dharau imezaliwa pale, jeuri! Majivuno! Kejeli! Kiburi! Kujisikia! Kujiona ana akili sana!!
Hatari sana.Kauli ya Serikali!Isingekuwa ya Serikali Msigwa angejitokeza.Vipi Mkuu upo Bunjumbura
Tangu lini elimu ya kwenye makaratasi/ya kununua ikawa ndiyo kipimo cha akili ya mtu?Ofcourse ana akili na yuko juu sana. Kumbuka ameshakuwa naibu waziri wa fedha, mambo ya ndani na sasa ni Waziri kamili na ana PhD.
Kuwa na PHD sio justification ya kukejeli wananchi.Ofcourse ana akili na yuko juu sana. Kumbuka ameshakuwa naibu waziri wa fedha, mambo ya ndani na sasa ni Waziri kamili na ana PhD.
Hasa elimu za wanasiasa wa CCM zinatia shaka sana na ukihoji unapigwa risasi na kutoswa baharini.Tangu lini elimu ya kwenye makaratasi/ya kununua ikawa ndiyo kipimo cha akili ya mtu?
Wananchi tunahitaji kujua kama Kauli ya Waziri wa fedha Bwn. Mwigulu kwa wananchi wanaolalamikia makali ya tozo kuwa kama wanahisi wanaonewa wahamie Burundi ni ya serikali au ya kwake binafsi.
Tunataka kufahamu hivyo ili tuweke rekodi zetu sawa.
Kwakua Waziri ni sehemu ya Serikali na anaingia kwenye vikao vya baraza la mawaziri.
Kama baraza zima lilibariki tozo basi pia limebariki na kauli hii ya kuhamia Burundi.
Maana kama hukubaliani na tozo basi unapaswa kuhamia Burundi na wananchi wengi tu hawakubaliani nazo.
Serikali itufafanulie kuhusiana na hili jambo ili ukweli ufahamike maana kauli ya serikali ni amri kwa wananchi.
Tena atahamishwa kwa speed kama masai wa ngorongoro walivyotimuliwa.Hii ni kauli rasmi ya serekali na ukiendelea kuhoji tunakuhamisha mara moja.
Ilikuwa kwa ajili ya team jiwe a.k.a mpora uchaguziKuwa na PHD sio justification ya kukejeli wananchi.
Rais alisema kabisa hataki kiongozi anayepandisha mabega.
Ila wateule wake wanapandisha mabega na hawafanyi chochote.
Au ile kauli ilikua mahususi kwa ajili ya kuondokana na watu flani flani.
Pale nasemaga hum, HATUNA Rais pale, ila kila Jambo hutokea KWa makusudi, na ili kusudi litimie lazima Jambo liwepoMimi naliona jambo hili kwa mtazamo tofauti kidogo, binafsi naona tatizo liko pale juu kwenye ushungi. Hebu tufikirie kwa pamoja,
kwamba tulitegemea nini kwa kauli za, "Hili nalo mkalitizameni" "jinsia yangu hainiruhuru kukalipia watu" na kauli kama "kuleni urefu wa kamba" ukitulia utagundua mama ni bora liende. Kila mtu ajiamulie anavyotaka.
Na majamaa kweli wanajiamulia mambo kadri yatakavyowanufaisha mfano tu majuzi huyo huyo Mwigulu kajinunulia gari la 800 million. Sasa bila kuongeza matozo watawezaje kutumbua maraha na kuogelea kwenye anasa "wanazovimbiwa" nazo kwa sasa kisha wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa "anaupiga mwingi" na yeye likichwa linavimba