Mwigullu Nchemba ANAJIAMINI SANA Kuhusu haya mambo atakuwa na uhakika na kile anachokisema.
hii ni njia ambayo FBI wakati mwingine hutumika kuwanasa magaidi,wanaiita STING OPERATION.Mwigulu hakika anaweweseka sasa kuhusu ushiriki wake hasa katika kumtesa Kibanda maana alikuwa amepatana na policcm na TISS kuitoa video ya Lwakatare baada ya tukio la kupigwa Kibanda! si lazima uwe na digrii yoyote kung'amua mpango huu.
Kama aliwapa policcm videa mara tu baada ya kurekodiwa kwa nini policcm walikaa zaidi ya miezi miwili kabla ya kuanza kuhoji watu? WHY?
Pili kwa nini huyo kigogo wa CDM ampe yeye video badala ya kuipeleka polisi moja kwa moja?
Tatu, kitu kinachomuweka pabaya sana mzinzi huyo ni mawasiliano yake ya simu na Ludivick hasa masaa machache kabla ya kupigwa Kibanda na masaa machache baada ya tukio hilo. Haya yapo katika makabrasha ya kumbukumbu za namba za simu ya Ludovick alizopiga yaliyopatikana kutoka kampuni ya voda, pamoja na kutumia pesa (MPesa).
Namtafadhalisha Mwigulu asichezee akina Lissu. Lissu na timu yake ni habari nyingine kabisa! Angelija kwamba haya yangemrudia yeye asingefanya mchezo huo.
Alisahau mwaka 2010 CCM waliposema ni bora kuwa na DR Slaa watano Bungeni kuliko kuwa na Tundu Lissu mmoja!
Nina hakika 1000% kesi ya Lwakatare itamuingiza Mwigulu kichwa kichwa.
uhakika upi?endelea kukesha humu ukiwatetea majambazi waliokufikisha hapo ulipo..ungekuwa mbali wee gamba.
Mwigulu ni janga kwa taifa.
dah,mnapenda sana kutishia the hague.Afanye yote anayoyaweza. Pandikiza chuki,leta migawanyiko ktk jamii,fanya watanzania wafarakane.you have yourself a deal. Kumbuka kuna the Heig Mwingulu. Saa tuakapoanza kuchinjana kutokana na hiki unachokiandaa leo, nakuhakishia hutakwepa kwenda huko. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Jirani zetu kenya,raia zake kadha wameshakanyaga The Haig. Lakini ilianzaga hivi hivi kama unavyolianzisha wewe. Taratibu tutafika tu.
Binafsi nashindwa kuelewa police wako wapi kwa non haiwakamati Hawa wote wanaotajana hii ilikua ilikua ikaisha?
Halafu ndo mnasema Anne Makinda asitumie text za matusi, kwa lipi hasa
Huyu mwehu huyu ...eti Ma engineer wakafundishe shule za kata...alaf walipwe acccordingly...wakati hao tu walimu wameshindwa kuwalipa...
Ati Viongozi wa Chadema ndio Magaidi na wauaji ...na yupo tayri kutoa ushahidi na pia aliyerecord video ile yupo na yupo tayari kusema chochote..
Ati "You look Messless,shameless...look at you "
ccm oyeeeeeee