Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

mwigulu aache upuuzi......taarifa zake za mawasiliano kati yake na ludovick na msacky zinajulikana na ushahidi upo...huyo msacky nae amehusika sana kumpa ludo pesa na na kuwa na mawasiliano nae....kwa kifupi ni hivi:

Tarehe 27/12/2012:

Dennis Msacky kupitia simu ya mkononi namba 0764331010 aliwasiliana kwa simu na Ludovick Joseph kupitia simu namba 0753927100 akiwa Tamal hotel,Mwenge jijini dar-Es Salaam.
Hii ilikua siku moja kabla ya mkanda wa video uliowekwa youtube kurekodiwa.mkanda ulionyesha kuwa ulirekodiwa kesho yake yaani tarehe 28/12/2013

Tarehe 30/12/2012
Dennis Msacky kupitia simu namba 0764331010 aliwasiliana na Ludovick kupitia simu namba 0753927100 mnamo saa tano na dakika 8 asubuhi akiwa Iringa.
Hii ilikua siku moja baaada ya Mwigulu Nchemba kutangaza kupitia kituo cha televisheni cha Star TV kwamba anao mkanda unaoonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji
Tarehe 31/12/2012
Dennis Msacky alimpigia simu ludovick kwa namba hizo hizo mnamo saa moja kamili usiku(19:00),wakati huo Ludovick akiwa Tegeta

Huyu ni mtu aliyepangwa kutekwa,lakini alikua na mawasiliano na kijana Ludovick ambaye ni Mtuhumiwa.

Mkuu wewe ni miongoni mwa watu wachache ambao huwa nawakubali sana kwa kutuletea data za uhakika huwa huna blaa blaa mungu akusaidie kwa uzalendo wako.

 
bado naamini huu ni wakati wa mbichi na mbivu kujulikana hawa wanao dai kuwa mwigulu kavunja kanuni za bunge ni muongo aliyeanza kuvunja kanuni za bunge ni mbowe tangu jana kwa kuongelea mambo yaliyomahakamani.
 
Mmmmmh..Natamani Mwigulu amtaje hadharani uyo kiongozi wa Chadema then waende mahakamani watoe ushahidi na ikithibitika bora noma na iwe noma wa lupango waende,wakufukuzwa wafukuzwe,wenye kupata aibu wapate mambo yaishe.Lakini ikibainika na hili ni muendelezo wa tabia zenu viongozi wa kufanya upuuzi wenu wa siasa za majitaka tena kwa kutumia mhimili wenye hadhi na heshima(bunge) na tena mnadiriki kuacha kujadili mambo ya msingi yanayogusa maisha yetu watanzania hakika laana iwe juu yenu.
 
Mkuki kwa Nguruwe......... jana wakati mbowe akiwasilisha malalamiko ya kambi ya upinzani mlishangilia. leo mmejibiwa mnaanza kutapatapa

Jitahidi kuelewa kinacho lalamikiwa. Mh. Mbowe alitoa malalamiko, kwamba kama ni ugaidi, basi hata wale wanao wasiliana na magaidi ni magaidi pia. Mwigulu yeye ame "RULE OUT kwamba ni CHADEMA ni Magaidi. Sasa yeye ndiye hakimu? Au ndiyo anaiamrisha mahakama iwatie hatiani??!!!!

Anyway, wenye kuelewa hatushangai kwa sababu hizo ndiyo siasa za CCM kila wanapoona wamezidiwa na wapinzani.
Anzia kwa NCCR-MAGEUZI, CUF na sasa CHADEMA. Siasa za upinzani kwao ni vita kwa vile hawana jipya la kuwafanya waTanzania waiamini tena.

Kumbuka pia kwamba, wakati wa ule mkutano wao wa sijui kunachoitwa kuachagua CC kule Dodoma, kuna watu waliomba kura kwa ahadi ya kufanyia u-MAFIA CHADEMA. Na huyo Mwigulu alisifiwa sana na M/Kiti wao kwamba ndiye bingwa wa kupambana na Upinzani (kwa style hii ya UMAFIA?).

"HE WHO LAUGHS LAST, LAUGHS LONGEST". This is the very cynical concept that winners gloat and laugh at losers. Fortunes reverse, because the game is cyclic.

Take it from me comrade.
 
CCM WANAFANYA MIKAKATI NA MBINU NZITO KUHAKIKISHA CHADEMA KINAPATA MATATIZO...MAKUBWA..
Moja ya hayo matatizo ni kuwaaminisha wananchi kwamba
CHADEMA NI CHAMA CHA MAUAJI!
Inasikitisha sana, baada ya mbinu nyingi za kujaribu kukiua kama walivyozoea kushindikana ndo wamekuja na hili la kuteka na kuua..!
NAAMINI WATAUMBUKA KTK HUO MPANGO WAO HUO...
Yani baada ya kufanya matukio ya kumtesa dk Ulimboka na Kibanda, na kubenea..
Wanataka KUWAAMINISHA WA TANZANIA KWAMBA NI CDM WANAHUSIKA NA HAYO MATUKIO

WANATAFUTA PAKUJIFICHIA..
 
Watanzania bado tuna safari ndefu sana kufika tunakokwenda,,,,tujipange kufanya mabadiliko makubwa ya kiuongozi 2015....Tuwaelimishe wapiga kura mpaka vijijini na tusije kuwa na wanasiasa wanaopenda kuchochea vurugu bali tupate viongozi wanaohubiri amani, democrasia na maendeleo
 
Chadema wanataka wapewe hati miliki ya kuongea bila kujibiwa.

Hata hapa JF wao ndio walioanzisha siasa za kejeli, sasa hivi wanalalamika baada ya kuona they drink their own medicine.

Tumeshawazoea. ndio maana viongozi werevu wako UDSM kwenye kigoda cha mwalimu, wanajua huko Dodoma leo hakuna mpya...

mmezoeleka nyie familia zenu wanaoenda chooni kwa kutumwa humu jf na kuchangia uchwara wenu humu
 
Kuna wanaosema nchi inaelekea pabaya. Nadhani tulishafika pabaya. Au ni mpaka kupigana ndiyo pabaya? Watanzania wanatolewa meno bila sindano ya ganzi, wanang'olewa kucha na kutobolewa macho, na yote hayo yanafunikwa na Polisi. Imefikia hata Polisi wanakataa kuzungumzia kwa madai kwamba ni ya kiusalama wa taifa. Sio pabaya tayari mahali pa aina hiyo?

Baadhi yetu tuliweka tumaini kwamba tutapata katiba mpya nzuri itakayorudisha utawala wa kisheria na kufuata kanuni. Lakini tumeanza kukatishwa tamaa na ufisadi uliojitokeza kwenye chaguzi za wawakilishi.

Sasa tunazidi kuudhiwa na uongozi mchafu wa Spika, na uchefuaji unaofanywa na watu kama Mwigulu.

Kwa maoni yangu, hakuna mwanasiasa anayechukiwa kama Mwigulu. Hata Spika Makinda hachukiwi na Watanzania wengi na kwa chuki ya nguvu kama Mwigulu.

Tuombe Mungu atengeneze bado njia ya amani ya Watanzania kufikia utawala wa sheria na kanuni. Nina hofu kwani kila kukicha naona CCM wanaelekea kuharibu matumaini yetu zaidi na zaidi.
 
Wanayofanya ccm bila huruma hata kidogo,yanasikitisha,yanaumiza na zaidi yanaliza,mwisho wao utakua mbaya sana,kilio hiki tunamlilia Mungu tu tukiamini yeye ndie atakaetunusuru mikononi mwa hawa mafedhuli.
 
Huyu mwigulu anajitafutia mwisho mbaya kisiasa.

Tuko hivi kwasababu tunafanya hivyo na tutakaa hivyo kwasababu tunapenda hivyo. Nchi yangu Tanzania nilikupenda saanaaa hila kwa sasa na kwa haya sintosita kusema sikupendi.
 
hili suala liko kisiasa,wahusika wote hadi mpiga video wanatumika na siasa.mwigulu ni mwanasiasa.iliwasilishwa kwake ili itumike kisiasa.ok?
nihatari kufanya maisha ya watanzania hatarini kwa kutumia siasa, mkuu ugaidi unapigwa duniani kote, kwanini tupende kuitwa magaidi kwa sababu ya kisiasa, nafikiri propaganda za ccm zinaimaliza nchi hii!
 
Kwa akili hii ya mwigulu nchemba mnanishauri na mimi niende jkt nikaongeze uzalendo???siendi upumbavu mtupu huyu jkt alienda kufanya nini sasa kwa akili hii!!!!!?Tutafakari upya kama JKT ina msaaada tena katk kurudisha uzalendo wa nchi hii!!!!Bila hivyo ni kutwanga maji kwenye kinu tu>JKT SIO SULULISHO LA KURUDISHA UZALENDO UNAWEZA KUMTOFAUTISHA MWIGULU NCHEMBA KABLA YA KWENDA JKT NA BAADA YA KUTOKA JKT????
 
Nimekuwa niki fatilia sana swala la mkanda uliokua nao kuhusu njama za mauaji.
Nina maswali machache kwako;

1) Mara nyingi umekuwa ukisema ushahidi unao wakutosha kuhusu njama za mauaji, swali ni kwamba kama kweli wewe nimzalendo na mpigania haki, Kwanini usimfichue uyo kiongozi wa CDM Alie kupa mkanda, wote kwapamoja msaidie mahakama kupata data zakutosha? Maana bado kilakitu kinachoonekana kwenye video vinaonekana ni njama zakuiuwa CDM?

2) Nili nukuu maneno yako ukiwa bungeni uliposema pia uko tayari kutoa ushaidi mbingini, Kwa uchungu mkubwa, Mimi nikujuavyo maneno yako mengi huwa ni Tata sana, Mara nyingine hutoa matusi mazito. Kwanini usirahisishe kuwataja waliokupa video ili upate dhawabu kwa Mwenyenzi Mungu? Maana maneno matupu hayavunji mfupa.

3) Wewe na Kijana mtuhumiwa wa Ugaidi (LUDOVICK) Mna mahusiano gani? Maana taarifa zilizopo inasemekana wewe Ndio mfadhili wake, umekuwa ukimtumia fedha napia kuwasiliana nae Mara kwa Mara, ushahidi upo. Wewe usafi wako ni ipo? Uta tudhibitishiaje kuwa wewe ni msafi?

4) Kama mahakama ikigundua kwamba, Ile video ilikuwa yaku tengeneza, kama wasemavyo wataalam wa IT na wasomi.. Huoni utakuwa matatani? Na je ukotayari kuwajibika pale inapo takikana haki kufwata mkondo?

Yapo mengi sana yanayo kuhusu na pia kama ukitaka ushahidi kuhusu wewe kuhusika sema, tutajitaidi ku attach sauti na baadhi ya text message..za tangu mwaka Jana..

Tunaitaji majibu yako ya busara maana tunaitaji, kuweka Hili swala vizuri bila kuegemea upande wowote..
Tunasubiri majibu yako.
 
hawana ubavu
kama hawana ubavu kwanini unasema aliogopa magaidi.....magaidi wa ukweli kabisa hawana ubavu wa kumdhuru mtu anayepatikana kiurahisi tu bila ulinzi wa kutosha....hao sio magaidi
 
Mwigullu Nchemba ANAJIAMINI SANA Kuhusu haya mambo atakuwa na uhakika na kile anachokisema.

uhakika upi?endelea kukesha humu ukiwatetea majambazi waliokufikisha hapo ulipo..ungekuwa mbali wee gamba.
 
Kweli kirusi kilicho ndani ya CHADEMA ni zaidi ya Human Immune Deficient Virus (HIV), Hakuna wa kukigundua na kukichukulia hatua, mpaka hapo watanzania tutaposema R.I.P CHADEMA na mission ya kirusi kutangazwa rasmi kuwa accomplished.
 
Back
Top Bottom