KABOBA
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 210
- 54
anayehojiwa polisi ni mhalifu. mashahidi wanahojiwa mahakamani. subiri kesi ianze kusikilizwa ndipo ulaumu kama nchemba hatahojiwa
Peleka pumba huko we kichwa maji, Mahakama ndio wanaweza kudhibitisha kama mtu ni mhalifu au la, unajuaje kama mtu ni mhalifu ilhali bado mahakama haijamaliza kazi yake? kwahiyo wote wanaokamatwa kuisaidia polisi ni wahalifu? shirikisha ubongo, hapa ni JF.