Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Digital imefanya watz wasifatilie bunge,
Akijibu hoja ya Spika kwamba masuala yaliyopo mahakamani yaheshimiwe:
"Mheshimiwa Spika, mimi sijazungumzia masuala yaliyopo mahakamani, suala la mawasiliano kuhusiana na kesi ya ugaidi na marafiki zao humu ndani halipo mahakamani."
I just love this guy!
BAVICHA wanatembea na sumu mifukoni. yupi ni hatari zaidi?
Kamvua nguo, uharo, haya maneno yanatumikaje kwa Great Thinkers.
Akijibu hoja ya Spika kwamba masuala yaliyopo mahakamani yaheshimiwe:
"Mheshimiwa Spika, mimi sijazungumzia masuala yaliyopo mahakamani, suala la mawasiliano kuhusiana na kesi ya ugaidi na marafiki zao humu ndani halipo mahakamani."
I just love this guy!
Bora wewe ambaye humung'unyi maneno katika komenti zako na unachana tu waziwazi kwamba hii kesi ipo kwa ajili ya manufaa ya kisiasa.Ni wakati sasa wa Mbowe na Dr Slaa kuachia ngazi kutokana na kashfa ya ugaidi.
Madhara ya kaswende suguSio "mke wake", sema wake zake, jamaa ana damu ya uzinzi kama yule mgonjwa wetu wa kifafa anayeanguka hovyo majukwaani...
Huyu jamaa Mwigulu namkumbuka alikuwa hana hata gari, kuna kipindi tulikuwa tunapewa lift pamoja na jamaa wa BOT pale Tegeta Namanga, sasa naona kakubali kutumika kama tissue ili tu tumbo lake lipanuke, ana bwabwaja hovyo as if kavuta cha Arusha, tahadhari kwake ni kwamba watanzania wa sasa si wale wa miaka ya 45, ambapo Nyerere alikuwa na TV peke yake, akiona matukio kwenye habari anatutangazia kaota Regan kafariki, kumbe alikuwa anaangalia kwenye BBC those days, sasa mzee Nchemba anadhani bado tuko enzi hizo, we know what is happening and we gonna use our brains to understand the truth, time will tell let wait and see.
tuliza munkari.....Hapa nitapata ban.
Hujui uongeacho. Anne Makinda iliamriwa apewe Uspika, kwamba ni zamu ya "Wanawake", au wewe wa juzi?mkuu ulianza vzr maelezo yako lkn baadae ukanichanganya kidogo haswa ulipoongelea 'Mwanamke' badala ya CHEO chake TU Yaani 'SPIKA' kwa kifupi napenda sana hoja zinazolala kwenye FACTS not ushabiki kisiasa!!!
Tundu Lisu kamvua nguo Mwigulu baada ya kutoa Uharo, nimebadirisha kidogo HAPO VIPI?
atamtaja hamna kipingamizi kabisaaa.Asante kwa ufafanuzi mkuu, kwa maana hiyo njia rahisi ya kufikisha mambo katika vyombo vya dola ni kupitia kwa watu wa CCM kama vile Mwigulu?, na kumbe alifanya hivyo kwa kuogopa kugundulika?,
Labda nikuulize wewe, hivi Mwigulu kwa kuwa sasa tuna uhakika ni shahidi katika kesi hii, unadhani hatalazimika kumtaja mahakamani huyo aliyempa huo mkanda?