Labda kama unaichukia bavicha. Mie sijaitaja kwa kuwa juzi UVCCM tumeshikana mashati pia.Kwa hiyo tatizo sio hizi jumuia ila ni sisi vijana.hutujafika huko bado labda kama ingekuwa vikao vya bavicha ndipo hayo yangetokea tuombe mungu tusifike huko

Nitoe mfano ili Polisi waelewe vizuri tunaposema kwamba Mwigulu Nchemba ahojiwe au akamatwe,
Ikiwa Mwigulu angepeleka kiungo cha binadamu (albino) kwamba amekabidhiwa na kijana mmoja ambaye alishiriki kukikata, hawa polisi jambo linalofuata wangemwambia Mwigulu uko chini ya ulinzi na twende ukatuonyeshe huyo kijana. Badala yake Polisi wanaendelea kumsikiliza akitoa ushahidi zaidi kwa ushirikiano na huyo CDM aliyekerwa na Chadema.
Jambo la pili ni kwamba Mwigulu na huyo CDM anayekerwa na Chadema wapo nje kwa ridhaa ya Polisi. Mwigulu kosa alilofanya ni kupokea hicho kithibiti. Kwa kudhani kuwa angeonekana ni jasiri akapokea, alichotakiwa kufanya alitakiwa kumshauri mtoa taarifa wake huyo kukipeleka yeye mwenyewe polisi. Hadi sasa nani ataamini kuwa video haikufanyiwa editing. Tupo tunaendelea kushangaa tunasubiri mwisho wake.
Kuhusu Makinda kuegemea upande mmoja ni ukiukaji wa maadili ya KIONGOZI WA SERIKALI. Kuna wakati kiongozi unayepeperusha bendera ya Serikali aachane kuzungumzia chama chake. Makinda kasahau kuwa ni kiongozi wa MHIMILI wa serikali. Labda nimkumbushe kuwa hata kiti alichokalia hapo Bungeni hakina NEMBO ya CCM bali NEMBO YA SERIKALI (BIBI NA BWANA) Sisi wananchi tunaumia kwa uongozi mbaya wa watendaji tuliowaamini, ifike muda kuwe na kanuni ya kuwaondoa madarakani pale wanapoenda kinyume cha taratibu ambazo ni maslahi ya taifa.
mkuu ulianza vzr maelezo yako lkn baadae ukanichanganya kidogo haswa ulipoongelea 'Mwanamke' badala ya CHEO chake TU Yaani 'SPIKA' kwa kifupi napenda sana hoja zinazolala kwenye FACTS not ushabiki kisiasa!!!
Akijibu hoja ya Spika kwamba masuala yaliyopo mahakamani yaheshimiwe:
"Mheshimiwa Spika, mimi sijazungumzia masuala yaliyopo mahakamani, suala la mawasiliano kuhusiana na kesi ya ugaidi na marafiki zao humu ndani halipo mahakamani."
I just love this guy!
Kaka, enzi za amani zilishakwisha. CCM wanajua hilo. kama kweli Nchemba anaweza kuongea bungeni na baado sio moja ya watu waliohojia nadhani tumechoka na amani. Na hii imeonyesha jinsi mikakati ya CCM na serikali yake ni kuharibu amani na mtangamano wetu.Suala la Ugaidi (kupanga mauaji ya mtu/watu) na uvunjifu wa amani ya nchi ni kitu kibaya sana, mimi nashangaa kwa nini serikali yetu makini na jeshi la polisi makini mara tu baada ya mwigulu kusema anao mkanda wasimuite kumhoji kwanza kwa kuzingatia nafasi ya mwigulu katika jamii, na zaidi nazidi kushangaa, bado mwigulu anaendelea kusema anao ushahidi kwa nini polisi wasimalize kazi kwa kumuhoji huyu?
UVCCM ndio huwa wanashikana mashati kwenye vikao....nina wasiwasi na uraia wako kwa sababu hata mambo ya juzi huyajui...
Nitoe mfano ili Polisi waelewe vizuri tunaposema kwamba Mwigulu Nchemba ahojiwe au akamatwe,
Ikiwa Mwigulu angepeleka kiungo cha binadamu (albino) kwamba amekabidhiwa na kijana mmoja ambaye alishiriki kukikata, hawa polisi jambo linalofuata wangemwambia Mwigulu uko chini ya ulinzi na twende ukatuonyeshe huyo kijana. Badala yake Polisi wanaendelea kumsikiliza akitoa ushahidi zaidi kwa ushirikiano na huyo CDM aliyekerwa na Chadema.
Jambo la pili ni kwamba Mwigulu na huyo CDM anayekerwa na Chadema wapo nje kwa ridhaa ya Polisi. Mwigulu kosa alilofanya ni kupokea hicho kithibiti. Kwa kudhani kuwa angeonekana ni jasiri akapokea, alichotakiwa kufanya alitakiwa kumshauri mtoa taarifa wake huyo kukipeleka yeye mwenyewe polisi. Hadi sasa nani ataamini kuwa video haikufanyiwa editing. Tupo tunaendelea kushangaa tunasubiri mwisho wake.
Kuhusu Makinda kuegemea upande mmoja ni ukiukaji wa maadili ya KIONGOZI WA SERIKALI. Kuna wakati kiongozi unayepeperusha bendera ya Serikali aachane kuzungumzia chama chake. Makinda kasahau kuwa ni kiongozi wa MHIMILI wa serikali. Labda nimkumbushe kuwa hata kiti alichokalia hapo Bungeni hakina NEMBO ya CCM bali NEMBO YA SERIKALI (BIBI NA BWANA) Sisi wananchi tunaumia kwa uongozi mbaya wa watendaji tuliowaamini, ifike muda kuwe na kanuni ya kuwaondoa madarakani pale wanapoenda kinyume cha taratibu ambazo ni maslahi ya taifa.
Mkuu labda nilikosea tu kuonyesha kua nime quote hiyo kauli ilitolewa kama ilivyo na Mh fulani!badala ya kuangalia uwezo wa mtu kuongoza,wao wakampa madaraka kutokana na jinsia yake badala ya kumpambanisha na wenzake ili kupima uwezo wake!kifupi kwa mtazamo wangu huyu mama hakua na uwezo na hana uwezo
Kaka, enzi za amani zilishakwisha. CCM wanajua hilo. kama kweli Nchemba anaweza kuongea bungeni na baado sio moja ya watu waliohojia nadhani tumechoka na amani. Na hii imeonyesha jinsi mikakati ya CCM na serikali yake ni kuharibu amani na mtangamano wetu.
Hii nchi inavyoonekana haina baba wala mama! How come spika anamezea uvunjifu wa kanuni za bunge kisa tu mbunge anayevunja kanuni ni wa chama chake?
The day is coming haya yote yatabaki historia.
Huyu mwehu huyu ...eti Ma engineer wakafundishe shule za kata...alaf walipwe acccordingly...wakati hao tu walimu wameshindwa kuwalipa...
Ati Viongozi wa Chadema ndio Magaidi na wauaji ...na yupo tayri kutoa ushahidi na pia aliyerecord video ile yupo na yupo tayari kusema chochote..
Ati "You look Messless,shameless...look at you "
uzuri hajavunja sheria.kama aliupeleka kwanza kwa mwiguru kisha yeye akaupeleka polis,kuna tatizo gani?.Huyo kiongozi wa CHADEMA alipoupata huo mkanda badala ya kuupeleka polisi akaupeleka kwa Mwigulu, najaribu kuifikiria hii sijaelewa maana yake.
Asante kwa ufafanuzi mkuu, kwa maana hiyo njia rahisi ya kufikisha mambo katika vyombo vya dola ni kupitia kwa watu wa CCM kama vile Mwigulu?, na kumbe alifanya hivyo kwa kuogopa kugundulika?,hivi unavyoenda arusha si lazima upitie lushoto? yeye alikuwa anatafuta tu njia rahisi ya kuifikisha kwenye vyombo vya dola. pia alikuwa anahofia kuwa akigundulika na magaidi, huo ndio utakuwa mwisho wa uhai wake kama ilivyomtokea wangwe
Sio "mke wake", sema wake zake, jamaa ana damu ya uzinzi kama yule mgonjwa wetu wa kifafa anayeanguka hovyo majukwaani...