mwigulu aache upuuzi......taarifa zake za mawasiliano kati yake na ludovick na msacky zinajulikana na ushahidi upo...huyo msacky nae amehusika sana kumpa ludo pesa na na kuwa na mawasiliano nae....kwa kifupi ni hivi:
Tarehe 27/12/2012:
Dennis Msacky kupitia simu ya mkononi namba 0764331010 aliwasiliana kwa simu na Ludovick Joseph kupitia simu namba 0753927100 akiwa Tamal hotel,Mwenge jijini dar-Es Salaam.
Hii ilikua siku moja kabla ya mkanda wa video uliowekwa youtube kurekodiwa.mkanda ulionyesha kuwa ulirekodiwa kesho yake yaani tarehe 28/12/2013
Tarehe 30/12/2012
Dennis Msacky kupitia simu namba 0764331010 aliwasiliana na Ludovick kupitia simu namba 0753927100 mnamo saa tano na dakika 8 asubuhi akiwa Iringa.
Hii ilikua siku moja baaada ya Mwigulu Nchemba kutangaza kupitia kituo cha televisheni cha Star TV kwamba anao mkanda unaoonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji
Tarehe 31/12/2012
Dennis Msacky alimpigia simu ludovick kwa namba hizo hizo mnamo saa moja kamili usiku(19:00),wakati huo Ludovick akiwa Tegeta
Huyu ni mtu aliyepangwa kutekwa,lakini alikua na mawasiliano na kijana Ludovick ambaye ni Mtuhumiwa.