Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

Kwa akili hii ya mwigulu nchemba mnanishauri na mimi niende jkt nikaongeze uzalendo???siendi upumbavu mtupu huyu jkt alienda kufanya nini sasa kwa akili hii!!!!!?Tutafakari upya kama JKT ina msaaada tena katk kurudisha uzalendo wa nchi hii!!!!Bila hivyo ni kutwanga maji kwenye kinu tu>JKT SIO SULULISHO LA KURUDISHA UZALENDO UNAWEZA KUMTOFAUTISHA MWIGULU NCHEMBA KABLA YA KWENDA JKT NA BAADA YA KUTOKA JKT????
kwani definition yako ya neno uzalendo ni nini?au kwako mtu akiwa agaisnt chadema basi sio mzalendo?.

Kumbuka chadema ni chama tu cha siasa chenye lengo la kukamata madaraka kwa haliyeyote inayowezekana na CCM pia ni chama cha siasa kilichopo madarakani chenye lengo la kuendelea kuwepo madarakani kwa vyovyote inavyowezekana.
Mambo ya vyama na uzalendo wapi na wapi?
 
Ukweli utajulikana kama yule kijana wa bukoba aliyekamatwa, amabye bado anashikiliwa na polisi, kama atabaki hai,inaoneka ni shadihi muhimu sana katika hili....

Kesi hii itaibua mengi,lakini ninamsikitikia Mwigulu pale itakapojulikana ni mchezo ulichezwa aibu hii sijui ataipeleka wapi.Aibu kwa spika nadhani kilevi cha madaraka kimemlevya atajutia baadaye ,aliyejuu tunamngoja chini.
 
Sasa kama yuko tayari kutoa ushahidi,tatizo likwapi?
Mwacheni akatoe popote anapotaka kama ni fake itajulikana tu.

Mwacheni aendelee kurap lakini yote haya yana mwisho,yeye anadhani watanzania ni wajinga kiasi hicho,tumegundua chadema wanatisha ndio maana ccm wanaweweseka,naapa kuwa siku za ccm kubaki madarakani zinahesabika,waulize Ghadafi na familia yake waki wapi,hayo ndiyo yanamsubiri Mwingulu
 
Mwacheni aendelee kurap lakini yote haya yana mwisho,yeye anadhani watanzania ni wajinga kiasi hicho,tumegundua chadema wanatisha ndio maana ccm wanaweweseka,naapa kuwa siku za ccm kubaki madarakani zinahesabika,waulize Ghadafi na familia yake waki wapi,hayo ndiyo yanamsubiri Mwingulu
 
Mwigulu inawezekena First Class yake UDSM lazima alitoa mrungula, tena wa kitu kibaya, kuipa sidhani kama ni mzima
 
hivi unavyoenda arusha si lazima upitie lushoto? yeye alikuwa anatafuta tu njia rahisi ya kuifikisha kwenye vyombo vya dola. pia alikuwa anahofia kuwa akigundulika na magaidi, huo ndio utakuwa mwisho wa uhai wake kama ilivyomtokea wangwe
Uwezo wako wa kufikiri ni mfupi kama mfano wako, wanaotoka Singida na Namanga lazima wapite Lushoto?
 
kwenye post ya mwigulu aliosema kwamba ahusiki na hiyo video nilimshauri aachane na siasa zisizokua na msaada wowote kwa wana iramba magharibi na taifa kwa ujumla, hivi hizi siasa zake za kitoto na kijima hizi anazoendekeza zinawasaidia nini akina mama wanajifungulia majumbani kwa kukosa zahanati huko jimboni kwake?????......huyu jamaa ni janga kubwa tena la karne la kitaifa kwa nchi hii
 
ccm hapo ndipo wanaponichosha utadhani kuwa hicho chama hakina watu ambao wanauwezo wa kufikiri yaani wote ni ovyo kabisa,alichoongea Mwingulu leo bungeni kuhusu elimu ni aibu............
 
huyu skauti ana shida sana.
lakini mama makinda anashida kubwa sana
 
Tundu Lissu naye lazima atakuwa na matatizo ya akili mbona Mbowe na Dr Slaa wanawasiliana na GAIDI Lwakatare na wameapa kulitetea GAIDI mpaka dakika ya mwisho mbona ajasema wakamatwe.
Mbowe ni Kiongozi wake mkuu lazima awasiliane naye, Lissu ni wakili wake lazima awasiliane naye, je huyo Mwigulu ana uhusiano gani na Ludovic hadi amtumie M-Pesa? kwa hili hatoki.
 
Sijui mwenze anaishai wapi, anadhani watanzani wote ni wajinga eti wanaamini upuuzi wake!.....lakini anatazizo moja, wako BAADHI YA WATU WALIOSOMA UDSM, NA WAKAFANYA KAZI YAO YA KWANZA SERIKALI KUU, KAMA BOT,TRA....N.K....huwa wanadhani wao ndio wenye akili kuliko wengeine wooote.... ni MWIGULU ndio watu wa aina hiyo

Mwacheni aendelee kurap lakini yote haya yana mwisho,yeye anadhani watanzania ni wajinga kiasi hicho,tumegundua chadema wanatisha ndio maana ccm wanaweweseka,naapa kuwa siku za ccm kubaki madarakani zinahesabika,waulize Ghadafi na familia yake waki wapi,hayo ndiyo yanamsubiri Mwingulu
 
:mwigulu anasema atatoa ushahidi kwamba cdm inahusika na kupanga mauwaji....
Ana mpaka maandishi ya huyo alierekodi..
anasema cdm iko kama mchawi..! kwamba inaloga alafu inakuwa wa kwanza kulia kilioni

Anapandisha mzuka bure kwani meongelea Bungeni kwa kutegemea kuungwa mkono na uwingi wa chama chake. Ni mbumbumbu sana -- anashindwa kutumia hoja ya nguvu na daima huwa nu tegemezi kwa vyombi vya dola ku-carry along his sinister agenda.

Lakini kwa CDM na Lissu kakwama. Aeleze basi mawasiliano yale ya simu na Ludovick, na pia kumtumia hela ikiwemo siku moja alimtumia kwa MPesa sh milioni 5 ambazo hata hivyo Ludivick sijui machale yalimcheza hakuzichukua. Kumbukumbu inaonyesha 'declined'. Yote hii iko kwenye kumbukumbu za Voda. Itabidi aeleze yote hayo, Haitoshi tu, kusema, kama alivyosema hivi karibuni kwamba anayo haki kuongea kwa simu na watu wote hata wa CDM!

Kuwasiliana na simu na Ludovick wakati wa tukio la kutekwa Kibanda. NO SIR, YOU BETTER COME WITH ANOTHER LIE!

Mwisho wako umewadia, labda wakuokow policcm wako!
 
utaenda kupiga hiyo mbiu jimboni kwako 2015 then utajua ni oyeeeeee au ziiiiiiiiii.

Umeshindwa kusoma alama za nyakati comrade and that will cost you.

nizisoma sana ila watu kama jusper hawakuwa na roho mbaya kama slaa
 
mbona jana mbowe alipewa muda akataja na hamkusema mbona mlikuja haraka na furaha.chadema mnamawazo mgando sana.i hate u so much



kweli, kwa staili hii, ccm imepata kichwa chenye mawazo fresh kama wewe.
 
Back
Top Bottom