Anapandisha mzuka bure kwani meongelea Bungeni kwa kutegemea kuungwa mkono na uwingi wa chama chake. Ni mbumbumbu sana -- anashindwa kutumia hoja ya nguvu na daima huwa nu tegemezi kwa vyombi vya dola ku-carry along his sinister agenda.
Lakini kwa CDM na Lissu kakwama. Aeleze basi mawasiliano yale ya simu na Ludovick, na pia kumtumia hela ikiwemo siku moja alimtumia kwa MPesa sh milioni 5 ambazo hata hivyo Ludivick sijui machale yalimcheza hakuzichukua. Kumbukumbu inaonyesha 'declined'. Yote hii iko kwenye kumbukumbu za Voda. Itabidi aeleze yote hayo, Haitoshi tu, kusema, kama alivyosema hivi karibuni kwamba anayo haki kuongea kwa simu na watu wote hata wa CDM!
Kuwasiliana na simu na Ludovick wakati wa tukio la kutekwa Kibanda. NO SIR, YOU BETTER COME WITH ANOTHER LIE!
Mwisho wako umewadia, labda wakuokow policcm wako!