Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

sasa this is the time hii issue iwe hadnled accordingly, maana bunge limekua kama kilinge cha mwenge mwisho

something has to be done right away

while ccm may be enjoying these public stunts, the outcomes will be more damaging to the party... lack of seriousness and leadership kwa chama tawala kunakifanya chama kuwa kama gulio

I am worried ni nini kimefanya ccm kuwaachia watu type ya Mwigulu nafasi kubwa hivi... CCM ni chama ambacho sikuwahi kutegemea kingefikia hivi
nilitamani kujibu hawana choice, lakini naamini kuna watu wema tu ndani ya ccm ambao wangeweza kushika nafasi hizo.....
hii mitandao hii inatupeleka pabaya sana
 
sasa this is the time hii issue iwe hadnled accordingly, maana bunge limekua kama kilinge cha mwenge mwisho

something has to be done right away

while ccm may be enjoying these public stunts, the outcomes will be more damaging to the party... lack of seriousness and leadership kwa chama tawala kunakifanya chama kuwa kama gulio

I am worried ni nini kimefanya ccm kuwaachia watu type ya Mwigulu nafasi kubwa hivi... CCM ni chama ambacho sikuwahi kutegemea kingefikia hivi
kusema ukweli mimi jana wakati namsikiliza mh mbowe katika hotuba yake nikajikuta nacheka peke yangu huku nijisemesha,,'sasa hii ni hotuba au mipasho''ilifikia mahali nikawa sifatilii tena hotuba na hadi leo imefika sikua na hamu ya kutune TBC,kumbe mwigulu nae kaamua kujibu mipasho ya jana.

Lakini katika michuano ya kisiasa haya mambo yapo sana tu.
 
siasa za tanzania huwa nashindwa kuzielewa kabisa. ila tumuachie Mungu maana yeye ndiye ajua ukweli
 
kusema ukweli mimi jana wakati namsikiliza mh mbowe katika hotuba yake nikajikuta nacheka peke yangu huku nijisemesha,,'sasa hii ni hotuba au mipasho''ilifikia mahali nikawa sifatilii tena hotuba na hadi leo imefika sikua na hamu ya kutune TBC,kumbe mwigulu nae kaamua kujibu mipasho ya jana.

Lakini katika michuano ya kisiasa haya mambo yapo sana tu.

hiyo mipasho iliwafanya wabunge na mawaziri wa ccm wakae vikundi na kujadili huku viti vikiwaka moto sasa sijui ni mipasho au ni michano!!!!!!!!!!!
 
Hali hii, haitovumilika, ntatangaza mgogoro na Mbowe, naanzia kesho Blue Pearl, ubungo plaza, kwa mujibu ya message nilioipata! Ntafuata taratibu za vikao vya chama changu.

umeanzia jf badala ya kinondon duh
 
tuona barua zzk kwenda kwa slaa akiomba mfanye utafiti huku lisu akisema ni original na slaa akisema ni feki.duhhh
Zuzu mwingine toka lini Chadema ikawa DPP au mahakama? Huo utafiti ni wa ndani ya chama, Polisi na DPP waliomshikilia Lwakatare ndio wanatakiwa wa-prove with no doubt kuwa ile video na yale maneno ni real, not only real yalitamkwa na Lwakatare kwa mwendelezo na si kwa kuungwa ungwa, nyie shangilieni tu yatakapomgeuka bosi wenu muwe tayari kumtetea tena.
 
hili jamaa uwelewa wake ni mdogo sana, atachukiwa sana na jamii kwa siasa zake za kipuuzi na kwa kwendo huu hatafika mbali kisiasa.

Wazee mkeemeeni kijana huyu maana ameivamia siasa kwa pupa.

Achukiwe mara ngapi Mkuu!? Huyu gaidi ni wa kuogopa kama ugonjwa wa ukimwi. Ni mtu hatari sana kwa Taifa letu hana tofauti hata kidogo na wale wanaopandikiza mbegu za chuki kutumia udini. Anatumia njia haramu za kigaidi katika kuhakikisha CHADEMA inasambaratika.
 
mwigulu ndio njia yake pekee ya kutafuta usuper star!ila kumbuka kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho!
 
Karibu watu wote wenye kuona Mbali tulifahamu kwamba Mwigulu Nchemba ni lazima atayasema haya anayoyasema , maana ndiyo Move ilivyopangwa , kujua tu kwamba angeropoka uongo hata kabla hajaropoka , Ni ushindi mkubwa ! Siku za Mwigulu kwenye Siasa zinahesabika .
 
ushahidi tunao utaka ni wa video kwanza je ni halisi au feki, na sio upumbavu mwingine wa alierekodi mlie muandaa na kumlisha maneno kenge nyote!
 
Back
Top Bottom