Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

Kuna kazi kubwa Tanzania kupata maendeleo natamani litokee garika wote tufe kizaliwe kizazi kingine, maana kwa hiki kilichopo sioni dalili ya kuiokoa Tanzania.
 
hili suala liko kisiasa,wahusika wote hadi mpiga video wanatumika na siasa.mwigulu ni mwanasiasa.iliwasilishwa kwake ili itumike kisiasa.ok?
Kumbe ndio lengo lenu, basi kama ndio hivyo mwambieni Mwigulu siasa za kutesa, kumwagia watu tindikali, kung'oa watu kucha na kutoboa macho hazitamsaidia yeye wala chama chake.
 
Last edited by a moderator:
Naona hali ya hewa imechafuka Bungeni Mwigulu Nchemba amepata
nafasi ya kuchangia hoja ya ofisi ya Waziri mkuu ameweza pia kujibu hotuba
ya Mbowe na kudai kurasa 70 zimejaa malalamiko na aitoi ufumbuzi wala mapendekezo ya matatizo.


Alidai suala la Ugaidi limeelezwa na Mbowe na kusema kiongozi aliyekuwa
akiwasiliana na gaidi auganishwe kwenye kesi kama sheria inavyotaja na
kusema wanaopaswa unganishwa ni viongozi wa Chadema wenyewe.


CCM wanashangilia Chadema wanalalamika kuomba mwongozo na Spika
amegoma anasema ..... Mkuki kwa Nguruwe sasa Bunge linaendele
 
Hivi huyu mwigulu ni mzima kweli kama anataka wenye digrii wakafundishe form 1.2. si aanza yeye kwende yeye kama mfano.
nasikia naijeria kuna watu na PHD zao ni mashoeshiner.

Kwa style hii ya kuchipuka vyuo vikuu vya kata kila kona na vinavyotema vijana wenye first degree fake kwa maelfu kila mwaka,wapende wasipende wenye degree watafundisha hadi chekechea.
 
facebook

mwigulu Nchemba awataka wabunge na viongozi wa chadema kufanya mambo mawili kabla hawajachochea machafuko yanayohatarisha amani ya taifa letu
Kwanza kwenda msikitini na kanisani kutubu dhambi ya mauaji na kupanga njama za mauaji
Pili ndipo warudi kwa wananchi kuwaomba msamaha kwa siasa chafu wanazoziendesha
Hoja ya msingi kabisa hii
Hongera mh Nchemba kwakuwafungua macho watanzania nakusimamia ukweli bila hofu yeyote
Hakika kiongozi huyu ni mfano wakuigwa
Mikono inayonuka damu haifai kuingia ikulu
R.I.P Chacha Wangwe!
 
sasa this is the time hii issue iwe hadnled accordingly, maana bunge limekua kama kilinge cha mwenge mwisho

something has to be done right away

while ccm may be enjoying these public stunts, the outcomes will be more damaging to the party... lack of seriousness and leadership kwa chama tawala kunakifanya chama kuwa kama gulio

I am worried ni nini kimefanya ccm kuwaachia watu type ya Mwigulu nafasi kubwa hivi... CCM ni chama ambacho sikuwahi kutegemea kingefikia hivi
 
wasiwasi wangu ni pale mtu unapokubali kutumika kama Toilet paper, ukiangalia sakata la Ardhi Loliondo hata viongozi wenzake wameanza kumchoka kwa tabia zake za kuvamia mambo bila kuyafanyia uchambuzi yakinifu.
 
Kuna kazi kubwa Tanzania kupata maendeleo natamani litokee garika wote tufe kizaliwe kizazi kingine, maana kwa hiki kilichopo sioni dalili ya kuiokoa Tanzania.

jiue wewe na familia yako kwanza na ss tutafatia
 
Ukweli mtupu kasema Mhe. Mwigulu Nchemba. Tusifumbie macho hata mipango ya mauaji kwa kisingizio cha tofauti zetu za siasa
 
Kumbe ndio lengo lenu, basi kama ndio hivyo mwambieni Mwigulu siasa za kutesa, kumwagia watu tindikali, kung'oa watu kucha na kutoboa macho hazitamsaidia yeye wala chama chake.

kada wenu bk
 
Last edited by a moderator:
Hali hii, haitovumilika, ntatangaza mgogoro na Mbowe, naanzia kesho Blue Pearl, ubungo plaza, kwa mujibu ya message nilioipata! Ntafuata taratibu za vikao vya chama changu.
 
Kumbe ndio lengo lenu, basi kama ndio hivyo mwambieni Mwigulu siasa za kutesa, kumwagia watu tindikali, kung'oa watu kucha na kutoboa macho hazitamsaidia yeye wala chama chake.
mipango yenu akina nani tena?...mimi ni mkulima tu ndugu yangu nalima mtama.sasa naona kama umenifananisha.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kazi kubwa Tanzania kupata maendeleo natamani litokee garika wote tufe kizaliwe kizazi kingine, maana kwa hiki kilichopo sioni dalili ya kuiokoa Tanzania.
hili suala niliwahi kumsikia bwana mmoja akilisema kama miaka saba hivi iliyopita japo yeye alisema kuanzia miaka minne kwenda juu ndio wafe.

Sasa angalia, Lwakatare na mwenzake aliyetolewa Bukoba wanavyoteseka mahabusu wakati polisi inatafuta ushahidi wa kuwashitaki bila kujua itaupataje. Sasa anatokea mtu ambaye ni mbunge na cheo kikubwa kwenye chama tawala na kusema ana ushahidi wote ikiwa ni pamoja na matukio mengine ambayo hayajalipotiwa. Cha ajabu polisi hata haiangaiki naye!!!!!!!! Na ajabu zaidi wananchi hatufanyi chochote neither!!!!
Sasa tukifa sote kutakuwa na hasara gani kwenye sayari ya dunia???

 
Mwigulu Nchemba Hacha kkuwa msema ovyo wenye utimamu tunakushangaa!!!!!!!!!!!!! ulikumbatia CD mpaka Kibanda akaumizwa.

sasa kwanini unashindwa kumwaga ukweli sehemu husika (MAHAKAMANI) ili kuokoa pesa za walipa kodi zitakazotumika kuendesha kesi?.

Bungeni hakuna Hakimu wa kusikiliza ushahidi wako! wala kauli za bungeni hazitumiki nje ya bunge.

Binafsi nakuona wewe zaidi ya GAIDI!. Kuacha mipango ya uovu ifanikiwe alafu ndio ujifanye SHUJAA!

MPUMBAVU maana mjinga uelimishwa na kuelewa (kwani BAN kitu gani) unanichefua kupita kiasi.
 
Last edited by a moderator:
spika wa bunge ndo janga la kitaifa na si mchangiaji/wachangiaji hii ni kwa sababu ya biasness zake spika.
 
mbowe na chadema wote magaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Wewe ni zuzu kweli anayetakiwa ku prove kuwa ni ya kweli au si ya kweli ni Chadema au walioshitaki.

tuona barua zzk kwenda kwa slaa akiomba mfanye utafiti huku lisu akisema ni original na slaa akisema ni feki.duhhh
 
Back
Top Bottom