Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

baada ya 'Maisha Bora kwa kila Mtanzania' na 'Ari mpya,Nguvu mpya na Kasi Mpya' kushindwa sasa ni 'Udini , ukabila, utekaji,uuaji, na Ugaidi'....hiyo ndio C.C.M
 
Mwigullu Nchemba ANAJIAMINI SANA Kuhusu haya mambo atakuwa na uhakika na kile anachokisema.

ccm siku zote wanafanya mambo yao kwa vile wanajua watalinda na spika ni wao kwa hiyo wanafanya kujiamini kwa ----- wao ila naami hana lolote
 
hii ni njia ambayo FBI wakati mwingine hutumika kuwanasa magaidi,wanaiita STING OPERATION.

The Fbi has escalated its use of stings in which a confidential informant or undercover agent approach a suspect and ,''assist''him in planning of the attempted terror crime,the aim is to identify collaborators,facilitators and sympathisers of terror group.
The FBI scripts the plot and PROVIDE the weapons along with MONEY,cars and any other logistical SUPPORT needed to CARRYOUT THE ''ATTACK''.
These cases are pursued through lenghy sting operations on the premise that by presenting a potential suspect with the oppotunity to commit a crime.True badguy will take the BAIT.
 
Ndugu yangu Mwigulu unazidi kuweweseka kwa ulichokifanya, kumbuka, kivuli cha yote uliyoyafanya kuanzia kumwagia mtu tindikali, mauaji ya kukata shingo kwa msumeno wa magogo kule Usa River, Ulimboka, Kibanda vyote hivyo vitakufuata hadi kaburini.
 
Binafsi nashindwa kuelewa police wako wapi kwa non haiwakamati Hawa wote wanaotajana hii ilikua ilikua ikaisha?
 
mwigulu ni mwanasiasa kwa suala hili amevuka mipaka ya siasa na sijui kama anaelewe kucheza na siasa ,turufu aliyoishikilia haina logic kwa kuwa sehemu kubwa ya mkanda anaouzungumzia yeye ni mhusika ama kwa kutoa pesa au muda wake ajitafakari anapoelekea chadema ina mungu wao wana pesa .
 
ahahahhh huku ''Dr Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi" kule "viongozi wa CCM waliokuwa na mawasiliano kupanga Movie ya Lwakatare waunganishwe kwenye kesi" JF tamu sana si yetu macho na masikio tukisubiri mwisho.
 
dah,mnapenda sana kutishia the hague.

Last time mlipeleka hadi mashitaka huko,uzuri siku hizi yule crazy ocampo hayupo,yuko mnigeria Bensouda ambaye nadhani alikuja akaona kumbe hii mambo ilipelekwa kisiasa,AKAIPOTEZEA.
Nasikia mnapanga kuigomea katiba mpya tena kwa maandamano,siye tunangojea tu hiyo senema mpya mnayotuandalia maana mlishasema kuwa HAITATAWALIKA.
 
Ningekuwa na uwezo wa kurusha siku hamsini mbele ningefanya leo ili wapuuzi wa aina ya Mwigulu waibike.

Mwigulu jiandae kulipa fidia kwa kuwachafulia watu majina.
 
Mwiguluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
bunge lisigeuzwe kijiwe cha kuzodoana kisiasa bali kuwatetea wananchi
 

Nilimwona wakati anatamka huto tumaneno twenye red, nikaona huruma sana. But that is the type of MPs we have. Inaonyesha wazi kabisa anapanic na huo mradi wake wa "video". Maana kama issue ni ugaidi, na mtuhumiwa tayari amekamatwa, hasira ile ya Mwigulu inaanzia wapi ?
 
Kama huna akili timamu na hasa wananchi wetu wa kule vijijini unaweza ukaaminishwa huo upuuzi unaofanywa na ccm!
Ccm wanafanya mbinu nzito sana ili kuwafanya wananchi wetu waamini cdm kinafanya mambo hayo.. Kama huna akili utaamini.. lakini mwenye akili timamu atatambua ccm wanafanya mbinu ili iendelee kubaki madarakani...!
 
ccm oyeeeeeee



utaenda kupiga hiyo mbiu jimboni kwako 2015 then utajua ni oyeeeeee au ziiiiiiiiii.

Umeshindwa kusoma alama za nyakati comrade and that will cost you.

Kuna novel niliipitia nilipokuwa A-Level, inaitwa "A Grain of Wheat ", thubutu kuipitia, utaelewa nini maana ya ukombozi rafiki.

Kuna play ingine *kama sijakosea* inaitwa "Betrayal in the City". Find and go through them, utanielewa namaanisha nini.

Remember, your fellow is just a lady and you, a man.

viva cdm
 
Mwingulu ni pandikizi la CHADEMA ndani ya CCM, anaibomoa CCM kwa kasi ya ajabu. Kwa kulopoka kwake anafedhehesha usalama wa taifa, polisi, spika na watendaji wengine. Kwa mtaji huu CHADEMA mnatisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…