Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

Mwigulu ameonyesha ushahidi wote alionao hadi sasa,na anaonekana amejipanga na habahatishi
 
...................... right, you only can have him/her in custody!
not custody maybe you mean you put him/her under witness protection program that is if he need protection but if doesnt need protection then you just call him in when he is needed to testify.
 
Mwigulu ameonyesha ushahidi wote alionao hadi sasa,na anaonekana amejipanga na habahatishi
Huyo Mwigulu ni kama amechanganyikiwa anadiriki kusema kuwa yupo tayari kutoa ushahidi mbinguni!!

Hivi huyu Mwigulu anafanya utani na Mungu??!!

Hivi anadhani kwa Mungu atafanya huo ubabaishaji wake ansoufanya hapa duniani??!!

Kwa Mungu kila ovu alilolifanya hapa yamekuwa recorded. Ikiwemo namna alivyopanga na Ludo na Usalama wa CCM na PoliCCM namna walivyokuwa wanapanga njama za kumrekodi Lwakatare bila ya true mwenyewe kujijua!!

Lakini Mwigulu Nchemba hivi sasa anapaswa ajikumbushe ule msemo unaosema mwisho wa ubaya aibu na aibu hiyo kwa Mwigulu hivi sasa imemkaribia sana!!!
s
 
Mwigulu aliongea Maneno makali sana nadhani chadema wakae nae chini wazungumze awape details kuliko Kujenga nae uadui
 
Huyo Mwigulu ni kama amechanganyikiwa anadiriki kusema kuwa yupo tayari kutoa ushahidi mbinguni!!

Hivi huyu Mwigulu anafanya utani na Mungu??!!

Hivi anadhani kwa Mungu atafanya huo ubabaishaji wake ansoufanya hapa duniani??!!

Kwa Mungu kila ovu alilolifanya hapa yamekuwa recorded. Ikiwemo namna alivyopanga na Ludo na Usalama wa CCM na PoliCCM namna walivyokuwa wanapanga njama za kumrekodi Lwakatare bila ya true mwenyewe kujijua!!

Lakini Mwigulu Nchemba hivi sasa anapaswa ajikumbushe ule msemo unaosema mwisho wa ubaya aibu na aibu hiyo kwa Mwigulu hivi sasa imemkaribia sana!!!
s
Mkuu kumbuka mwigulu amesema Kuwa yy yupo tayari kutoa ushahidi popote so chadema wasitafute mchawi wala wasiwasingizie polisi wala wana usalama.
 
Akichangia bungeni muda huu Mwigulu Nchemba amesema yupo tayari kutoa ushahidi popote pale iwe polisi, mahakamani bungeni hata mbinguni kuthibitisha video ya Lwakatare jinsi alivyoipata, na kwamba kiongozi wa CHADEMA aliyempa pia yupo tayari kuthibitisha mahali popote. Amewataka viongozi wa chadema wasitafute mchawi kwa kusingizia vyombo vya dola hasa polisi na usalama wa taifa kwamba vinahusika.


Ugaidi Mkubwa katika Siasa za Tanzania haukuanza jana. Ugaidi unaanza na Kifo cha Mpendwa wetu Edward Moringe Sokoine. Hadi hapo ushahidi wa kujitosheleza utakapotolewa, watanzania tulio wengi tutaendelea kujua kwa hakika kwamba Edward Moringe Sokoine aliuawa kwa Ugaidi wa kupanga. Ugaidi unaonekana pia katika Kuunguzwa kwa Benki Kuu ya Tanzania miaka ile ya 80. Sikumbuki tarehe Kamili. Matukio haya mawili ya Kigaidi yalifanyika kabla ya Kuzaliwa kwa CHADEMA 1993. Hadithi hii inatufundisha nini? Hadithi hii inatufundisha kwamba kuna mtaalam wa Ugaidi hapa Tanzania aliyezaliwa kabla ya CHADEMA, na bado anaishi.

Chadema tafuteni mtu au watu wenye taarifa za kina kuhusu Kifo cha Edward Moringe Sokoine, na zile za Kuungua kwa Benki Kuu ya Tanzania mwaka ule wa 1980something. Mpate ushahidi wa kuwepo Ugaidi kabla ya kuzaliwa chama hiki. Hili halitathibitisha kuwa CHADEMA hakuna Ugaidi, ila litathibitisha kuwa ndani ya CCM na serikali zake Ugaidi ni jadi; kwamba ni wazoefu, kwamba ni mafundi wa kuharibu mali na kutoa roho watu. Jengo la NASACO pale karibu na Central Police Station Dar es Salaam lilichomwa moto mwaka ule 1994 au 95. Nimesahau tarehe kamili. Najua kwa hakika kwamba watu fulani binafsi wali-finance uchunguzi indipendent kando na Uchunguzi wa kipolisi. Jengo lile lilichomwa makusudi kwa sababu za Kifisadi. Wakati huu CHADEMA ilikuwa haipo. Ugaidi ni jadi ya mfumo wa nchi yetu kulinda ufisadi.

Ushauri wangu mwingine kwa CHADEMA ni huu: Move to Stage II katika hii independence struggle ya kumtoa Mkoloni mweusi. Achana na maneno.... You are dealing with a professional Criminal here. Achana na Maneno. Hatatoka kwa manenomaneno--Move into Action!!!
 
Sasa kama yuko tayari kutoa ushahidi,tatizo likwapi?
Mwacheni akatoe popote anapotaka kama ni fake itajulikana tu.

Katika hili watu wanashangaza kwa nini wamekazania kuongelea suala lipo mahakamani?
 
Mwigulu ana karatasi toka mwaka jana aliyoionyesha Bungeni kama ushahidi. Kwa nini hajaifikisha Polisi ili sheria ichukue mkondo wake? Au ni usanii mwingine katika siasa za Nchi yetu?
 
Hili ni giza nene. Ha ya mahakamani yanawekwa hadharani- nimwamini nani?
 
Anachofanya Mwigulu ni kuruka sarakasi na taulo kiunoni.
 

Hakika Yametokea Mengi Hapa Nchini Katika Kipindi Kifupi Cha Kama Miezi Miwili....Na kwa bahati mbaya matukio hayo yamekua si azuri kwa image ya CHADEMA....kubwa ni la kuhusishwa na UGAIDI...Yes UGAIDI ama kiingereza tunasema TERRORISM...lakini ukiangalia kwa mapana na marefu utajua ya kwamba hizi kashfa na madudu ya CHADEMA yameibuliwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mheshimiwa Mwigulu Nchemba.....vita iliyopo sasa ni Mwigulu Nchemba VS CHADEMA....yaani vita kati ya mtu mmoja na taasisi ya CHADEMA.....ila kwa mwenye akili timamu ataona kabisa Mwigulu amewashika pabaya CHADEMA YOTE....hapa ndipo napatwa na mashaka juu ya uimara wa Chama hiki kikuu cha Upinzani.....yaani kama kimeshindwa kabisa kum contain mtu mmoja kama Mwigulu je kina uwezo wa kuongoza taifa hili....CHADEMA lazima wakubali kuwa kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya chama chao kwani kwa maneno yake mwneyewe Mwigulu amesema ushahidi unaoihusisha CHADEMA na UGAIDI amapewa na kiongozi mmoja wa juu ndani ya chama hicho.....anaweza akawa Mbowe....akawa Zitto...ama Babu Slaa.....hakuna anaejua....ila tunachokijua Mwigulu is more powerful than CHADEMA...hiyo ni fact utake suitake.....kwenye soka tunasema amewapiga BAO LA KISIGINO kama Lionel Mes
si.


Big up Jemebe langu Mwigulu Nchema a.k.a Bomu La Nyuklia.....kimbiza CHADEMA mpaka wakae chini
 
Kama jeshi la polisi lingekuwa huru na haki. Mwigulu sasa hivi angekuwa ndani au angalau angekuwa amehojiwa. Kwa jinsi inavyoonekana, polisi nao ni sehemu ya mchezo huu mchafu!
 

Hakika Yametokea Mengi Hapa Nchini Katika Kipindi Kifupi Cha Kama Miezi Miwili....Na kwa bahati mbaya matukio hayo yamekua si azuri kwa image ya CHADEMA....kubwa ni la kuhusishwa na UGAIDI...Yes UGAIDI ama kiingereza tunasema TERRORISM...lakini ukiangalia kwa mapana na marefu utajua ya kwamba hizi kashfa na madudu ya CHADEMA yameibuliwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mheshimiwa Mwigulu Nchemba.....vita iliyopo sasa ni Mwigulu Nchemba VS CHADEMA....yaani vita kati ya mtu mmoja na taasisi ya CHADEMA.....ila kwa mwenye akili timamu ataona kabisa Mwigulu amewashika pabaya CHADEMA YOTE....hapa ndipo napatwa na mashaka juu ya uimara wa Chama hiki kikuu cha Upinzani.....yaani kama kimeshindwa kabisa kum contain mtu mmoja kama Mwigulu je kina uwezo wa kuongoza taifa hili....CHADEMA lazima wakubali kuwa kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya chama chao kwani kwa maneno yake mwneyewe Mwigulu amesema ushahidi unaoihusisha CHADEMA na UGAIDI amapewa na kiongozi mmoja wa juu ndani ya chama hicho.....anaweza akawa Mbowe....akawa Zitto...ama Babu Slaa.....hakuna anaejua....ila tunachokijua Mwigulu is more powerful than CHADEMA...hiyo ni fact utake suitake.....kwenye soka tunasema amewapiga BAO LA KISIGINO kama Lionel Mes
si.


Big up Jemebe langu Mwigulu Nchema a.k.a Bomu La Nyuklia.....kimbiza CHADEMA mpaka wakae chini
Mwigulu ni zaidi ya Polisi,usalama wa Taifa,Serikali,Raisi wa Jamhuri na Spika wa Bunge..Yeye ni mpumbavu,mjinga na mwendawazimu kuliko wenzake wote kama wewe..Hicho ndo ninachokiona ni sawa na mbakaji anayekimbilia kituo cha polisi kwakuwa tu baba yake ni Polisi pale.
 
Mleta mada na wewe umelaaniwa?
Mbona unatetea laana na unamuunga mkono mlaaniwa?

Poor CCM!!!
 
Ukimuona mtu mwenye akili timamu anamshabikia mwigulu bila shaka mtu huyu hawezi kuangalia pembeni mama yake akikaa vibaya..Kumshabikia Mwigulu inabidi uwe umekameruniwa vibaya sana na Freemason CCM si bure maana ni sawa na mtu anayeua swala aliyekimbilia ndani kwa kuichoma nyumba yote ili naye swala afe kama apate kitoweo...Ni akili mbovu za viongozi na CCM wanaoweza kuona upumbavu ni jambo la msaada kwao
 
Back
Top Bottom