you dont arrest a key witness maan.polisi mnasubiri nini kumkamata huu GAIDI NCHEMBA? ANASEMA ushaidi anao,kamata asaidie upelelezi:A S 39:
I hate Mwigulu Nchemba!
Mwiguli ni mwanuame
...................... right, you only can have him/her in custody!you dont arrest a key witness maan.
sasa kama huna muda kwanini unahangaika na mambo binafsi? jinga kubwaSina muda.
Unatafuta Mume??
Mtazamo wako mwembamba sana. Viongozi wako mpaka wamejifisha kutafakari itakuwaje. Ujasiri na uhakika wa jambo alionesha Mwigilu imewapa watanzania sura mpya.
Mwiguli ni mwanuame
Mwigulu akili ndogo sana. Hivi mtu unaweza vipi kutoa ushahidi mbinguni?
Ni muhimu sana akapewa ulinzi, hawa jamaa wanaweza kumtoa roho. Amewashika pabaya sana.Safi sana MWIGULU, Lkn angalia chadema waskung`oe meno bila ganzi. kidumeeeeeeeeeeeeeeee. yaa mwigulu angekufa leo chadema wangesherekea miaka hamsini ijayo??
inawezekana kutokana na wanamagamba wengi kufanya matendo mengi maovu wamegundua Mungu atawashushia adhabu kali ya kuwaondoa hapa duniani.dawa yao hawa kuwasomea itikafu tu kama ya boss wake hawachukui round nakumbia subili huone kama huu mwaka wataumaliza!