utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
- Thread starter
- #501
Watanzania tuupinge ugaidi tusiukumbatie
duh...!!mwigulu ni noumer sana.Ila jamaa ana maneno ya kuudhi, anamwambia mbowe unashangaa 0 kwani wewe mbowe ulipata div ngapi
Spika Anna Makinda, ameruhusu Kiongozi wa Upinzani Bungeni kushambuliwa, kuhusu matokeo yake akiwa Shuleni, akaruhusu CHADEMA waitwe wauaji, akakataza waliotaka Mwigulu afute kauli Bungeni, akashangilia pamoja na Wabunge wengine wa CCM waliokubaliana na maneno hayo.
Watanzania wanaangalia Bunge, wanajua Bunge linavyoendeshwa. Wanajua Spika unavyofanya, wanaona Unavyopendelea. CCM mmeshangilia sana, hongereni. Mlianza na Udini wa CUF na sasa wa CHADEMA, Mkaja Ukatoliki wa Slaa, na Uchaga wa CHADEMA.
Mlijaribu Udini suala la Kuchinja limepata busara ya Mwinyi tumepata nafuu ya siku moja. Sasa la Kuchakachua Katiba kunakoendelea mtaani sasa, na kuruhusu ujinga Bungeni kuipendelea CCM kutukana........... mnaharakisha kupeleka nchi kusikovutia wengi.
Sina muda.I am fine thank you for your concern.
Tunaweza kuendelea na hoja hii?
Au tuendelee kwanza kuongelea stress zetu?
Kwa hili mimi napingana kabisa na wewe ki msingi spika hana makosa kwani hata jana kwenye hotuba ya Mbowe kama ulifuatilia vizuri alizungumza maneno makali sana na kwa suala hili alimlenga Mwigulu moja kwa moja na Mwigulu alikuwepo alitulia tuli sasa tatizo nini Mwigulu kujibu hoja leo. Mimi nadhani paia Mwigulu kasaidia kasema yupo tayari kutoa ushahidi popote tatizo ni nini? Kama CHADEMA kitaendeshwa kwa kila kitu kuona kuwa kinaonewa ni ngumu sana kukijenga chama na kwa utaratibu huu nina wasiwasi mkubwa kama wakipewa madaraka ya nchi watakuwa ma dictator kwani siku zote dictator hapendi kukosolewa
Huyu mwehu huyu ...eti Ma engineer wakafundishe shule za kata...alaf walipwe acccordingly...wakati hao tu walimu wameshindwa kuwalipa...
Ati Viongozi wa CHADEMA ndio Magaidi na wauaji ...na yupo tayri kutoa ushahidi na pia aliyerecord video ile yupo na yupo tayari kusema chochote..
Ati "You look Messless,shameless...look at you "
mkuu mi nadhani ungejiuliza kama kesi iko mahakamani na kama mwigulu alikabidhi polisi vielelezo leo ameitoa wapi ile karatasi anayosema ni ya lwakatare? au ina maana mwigulu hakukabidhi, au maana yake polisi wamempa mwigulu orijino ya copy ya mwandiko wa lwakatare aje aonyeshe bungeni?Nilikuwa sikupata wasaa wa kumuona Mwigulu Nchemba akichangia kuhusu swala la ugaidi! Hakika nime amaini kabisa asilimia mia ana husika kwenye hili sakata la video!
*hivi mwingulu amejuaje hule ni mwandiko wa lwakatare? Na amejuaje hile ni finger print zake?
*Amesema kuwa aliye record mkanda yuko tayari kutoa ushahidi na aliye mpatia huo mkanda yuko tayari kutoa ushahidi
katika haya ni wazi mwingulu nchemba ana husika katika huu mkakati kabisa!
Nilikuwa sikupata wasaa wa kumuona Mwigulu Nchemba akichangia kuhusu swala la ugaidi! Hakika nime amaini kabisa asilimia mia ana husika kwenye hili sakata la video!
*hivi mwingulu amejuaje hule ni mwandiko wa lwakatare? Na amejuaje hile ni finger print zake?
*Amesema kuwa aliye record mkanda yuko tayari kutoa ushahidi na aliye mpatia huo mkanda yuko tayari kutoa ushahidi
katika haya ni wazi mwingulu nchemba ana husika katika huu mkakati kabisa!
yote haya Mungu anayaona!
ipo siku atasikia
Mimi naona ile Sala yakufungua bu
nge ifutwe maana inaombwa kinyume na hali halisi na jinsi bunge linavyoendeshwa
Kuna swali maswali ambayo yanafanya hii kesi iwe ya kisiasa tena yenye malengo ya kumnufaisha Mwigulu na sio maslahi ya nchi. Kwann huyu kiongozi wa CDM hakupeleka hyo video polisi? Na kwann apewe Mwingulu ? Je huyu kiongoz wa CDM hakuona sehemu nyingine ya kupeka zaid ya kumpa Mwigulu? Ukitafakir kwa makini utangudua Mwigulu anahusika kwny issue yote
Spika Anna Makinda, ameruhusu Kiongozi wa Upinzani Bungeni kushambuliwa, kuhusu matokeo yake akiwa Shuleni, akaruhusu CHADEMA waitwe wauaji, akakataza waliotaka Mwigulu afute kauli Bungeni, akashangilia pamoja na Wabunge wengine wa CCM waliokubaliana na maneno hayo.
Watanzania wanaangalia Bunge, wanajua Bunge linavyoendeshwa. Wanajua Spika unavyofanya, wanaona Unavyopendelea. CCM mmeshangilia sana, hongereni. Mlianza na Udini wa CUF na sasa wa CHADEMA, Mkaja Ukatoliki wa Slaa, na Uchaga wa CHADEMA.
Mlijaribu Udini suala la Kuchinja limepata busara ya Mwinyi tumepata nafuu ya siku moja. Sasa la Kuchakachua Katiba kunakoendelea mtaani sasa, na kuruhusu ujinga Bungeni kuipendelea CCM kutukana........... mnaharakisha kupeleka nchi kusikovutia wengi.
mkuu mi nadhani ungejiuliza kama kesi iko mahakamani na kama mwigulu alikabidhi polisi vielelezo leo ameitoa wapi ile karatasi anayosema ni ya lwakatare? au ina maana mwigulu hakukabidhi, au maana yake polisi wamempa mwigulu orijino ya copy ya mwandiko wa lwakatare aje aonyeshe bungeni?