Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

Nimemsikia pia akisema kuwa viongozi wa CHADEMA wasihangaike na kuzua uongo kuwa Usalama wa Taifa na polisi wanatekeleza mpango wa kukidhoofisha chama hicho kisiasa. kwamba kiongozi wa chadema aliyempa mkanda huo yupo tayari kutoa ushahidi na yeye (NCHEMBA) yupo tayari kutoa ushahidi iwe Bungeni, Polisi, Mahakamani na hata Mbinguni
Ushahidi wa mbinguni utakua sawa maana kwa hapa duniani nchemba kwa kutumia wadhifa wake ndani ya chama tawala vibaya amekwisha suka ushahidi.
 
Anaelekea kuutokomeza ugaidi na kukomesha mauaji hapa nchini

Iweje tena jina lake linatajwa karibu kila mauaji ya kinyama yanahusiana na siasa? A contract killer on the loose?
 
Hakika Yametokea Mengi Hapa Nchini Katika Kipindi Kifupi Cha Kama Miezi Miwili....Na kwa bahati mbaya matukio hayo yamekua si azuri kwa image ya CHADEMA....kubwa ni la kuhusishwa na UGAIDI...Yes UGAIDI ama kiingereza tunasema TERRORISM...lakini ukiangalia kwa mapana na marefu utajua ya kwamba hizi kashfa na madudu ya CHADEMA yameibuliwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mheshimiwa Mwigulu Nchemba.....vita iliyopo sasa ni Mwigulu Nchemba VS CHADEMA....yaani vita kati ya mtu mmoja na taasisi ya CHADEMA.....ila kwa mwenye akili timamu ataona kabisa Mwigulu amewashika pabaya CHADEMA YOTE....hapa ndipo napatwa na mashaka juu ya uimara wa Chama hiki kikuu cha Upinzani.....yaani kama kimeshindwa kabisa kum contain mtu mmoja kama Mwigulu je kina uwezo wa kuongoza taifa hili....CHADEMA lazima wakubali kuwa kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya chama chao kwani kwa maneno yake mwneyewe Mwigulu amesema ushahidi unaoihusisha CHADEMA na UGAIDI amapewa na kiongozi mmoja wa juu ndani ya chama hicho.....anaweza akawa Mbowe....akawa Zitto...ama Babu Slaa.....hakuna anaejua....ila tunachokijua Mwigulu is more powerful than CHADEMA...hiyo ni fact utake suitake.....kwenye soka tunasema amewapiga BAO LA KISIGINO kama Lionel Mes
si.

Big up Jemebe langu Mwigulu Nchema a.k.a Bomu La Nyuklia.....kimbiza CHADEMA mpaka wakae chini

Hapo kwenye red: Unalijua jembe wewe? Kama hulijui jembe ni JEUSI na lina TUNDU katikati, ili jembe lifanye kazi lazima LIINGIZWE MTI kwenye tundu lake... Good day!
 
huyu muweka mada na mwigulu akili zao sawa.kama mwigulu anaushaid aende mahakaman akafungue kes ugaid dhid chadema:A S angel:
 
Hakika Yametokea Mengi Hapa Nchini Katika Kipindi Kifupi Cha Kama Miezi Miwili....Na kwa bahati mbaya matukio hayo yamekua si azuri kwa image ya CHADEMA....kubwa ni la kuhusishwa na UGAIDI...Yes UGAIDI ama kiingereza tunasema TERRORISM...lakini ukiangalia kwa mapana na marefu utajua ya kwamba hizi kashfa na madudu ya CHADEMA yameibuliwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mheshimiwa Mwigulu Nchemba.....vita iliyopo sasa ni Mwigulu Nchemba VS CHADEMA....yaani vita kati ya mtu mmoja na taasisi ya CHADEMA.....ila kwa mwenye akili timamu ataona kabisa Mwigulu amewashika pabaya CHADEMA YOTE....hapa ndipo napatwa na mashaka juu ya uimara wa Chama hiki kikuu cha Upinzani.....yaani kama kimeshindwa kabisa kum contain mtu mmoja kama Mwigulu je kina uwezo wa kuongoza taifa hili....CHADEMA lazima wakubali kuwa kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya chama chao kwani kwa maneno yake mwneyewe Mwigulu amesema ushahidi unaoihusisha CHADEMA na UGAIDI amapewa na kiongozi mmoja wa juu ndani ya chama hicho.....anaweza akawa Mbowe....akawa Zitto...ama Babu Slaa.....hakuna anaejua....ila tunachokijua Mwigulu is more powerful than CHADEMA...hiyo ni fact utake suitake.....kwenye soka tunasema amewapiga BAO LA KISIGINO kama Lionel Mes
si.

Big up Jemebe langu Mwigulu Nchema a.k.a Bomu La Nyuklia.....kimbiza CHADEMA mpaka wakae chini

nakubaliana na wewe kabisa mwigulu ni zaidi ya rais wako, maana huu upuuzi wa kishenzi anao fanya si wakukalia kimya. huyu jamaa ni kichaa lakini kwakuwa wewe ni kilaza zaidi yake ndiyo maan unamuona ni jembe...kwanza kesi yake ya kusababisha mauaji iramba imeishia wapi? we nikibaraka tu...
 
Hakika Yametokea Mengi Hapa Nchini Katika Kipindi Kifupi Cha Kama Miezi Miwili....Na kwa bahati mbaya matukio hayo yamekua si azuri kwa image ya CHADEMA....kubwa ni la kuhusishwa na UGAIDI...Yes UGAIDI ama kiingereza tunasema TERRORISM...lakini ukiangalia kwa mapana na marefu utajua ya kwamba hizi kashfa na madudu ya CHADEMA yameibuliwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mheshimiwa Mwigulu Nchemba.....vita iliyopo sasa ni Mwigulu Nchemba VS CHADEMA....yaani vita kati ya mtu mmoja na taasisi ya CHADEMA.....ila kwa mwenye akili timamu ataona kabisa Mwigulu amewashika pabaya CHADEMA YOTE....hapa ndipo napatwa na mashaka juu ya uimara wa Chama hiki kikuu cha Upinzani.....yaani kama kimeshindwa kabisa kum contain mtu mmoja kama Mwigulu je kina uwezo wa kuongoza taifa hili....CHADEMA lazima wakubali kuwa kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya chama chao kwani kwa maneno yake mwneyewe Mwigulu amesema ushahidi unaoihusisha CHADEMA na UGAIDI amapewa na kiongozi mmoja wa juu ndani ya chama hicho.....anaweza akawa Mbowe....akawa Zitto...ama Babu Slaa.....hakuna anaejua....ila tunachokijua Mwigulu is more powerful than CHADEMA...hiyo ni fact utake suitake.....kwenye soka tunasema amewapiga BAO LA KISIGINO kama Lionel Mes
si.

Big up Jemebe langu Mwigulu Nchema a.k.a Bomu La Nyuklia.....kimbiza CHADEMA mpaka wakae chini

ndio maana mbunge jana aliomba bangi ihalalishwe kwa sababu watumiaji mshakuwa wengi! Uvutaji wa bangi ni hatari kwa afya yako
 
Hivi ushaidi wa ugaidi unapelekwa kwa mwanasiasa? Kwa nini aliyerekodi video hiyo asiipeleke polisi kwanza?

Tusipokuwa makini watatusahaulisha ya Ulimboka, maana Wabunge wa CCM akina Stella Manyanya wanasema ni Chadema walihusuka, sasa mbona kimya? Na hili la KIBANDA nalo vipi? HII inaweza kuwa Anti Ballistic Misile na watanzania kwa kusahau haraka!

Kesi ya "Mume" wa Josephine Slaa hivi bado ipo ?
 
Jana mbunge wa iramba ndugu Mwigulu Nchemba,aliwashangaza watanzania WACHAMUNGU,kwa kusema bungeni kuwa yuko tayari kutoa ushahidi utakaothibitisha kuwa chadema ni chama cha kigaidi. Kilichotustua wengi ni pale alipotamka kwa kujiamini kabisa kuwa,"YUPO TAYARI KUTOA USHAHIDI HATA MBINGUNI.; Kwanza napenda kumtaarifu kuwa,kwa mujibu wa MAANDIKO MATAKATIFU,Mungu hahitaji ushahidi wa mwanadamu ili kuthibitisha jambo,kwa kuwa yeye anawajua wanadamu mpaka mawazo yao. Pili kesi ya lwakatale ipo duniani na si mbinguni,hivyo itaendeshwa kwa mujibu wa sheria za nchi wala si sheria mbinguni. Kauli yako Mwigulu,ya kumhusisha Mungu na mambo yenu ya kisiasa,NI KUDHALILISHA UFALME WA MUNGU,na nidalili za kulewa madaraka. Napenda kukuonya usithubutu kumhusisha Mungu kwenye propaganda zako za kisiasa,vinginevyo hutamaliza mwaka huu MUNGU ATAKUPIGA. Najua utapuuza kama ilivyodestuli yako,ila NIMESHAKUONYA MARA.
 
Ni sawa na kumsifia mtu aliyejisaidia hadharani kuwa anatoa kinyesi kikubwa kama Tembo. Unasifia ukubwa wankinyesi na kusahau kuwa kanya hadharani ambayo ni fedheha.
POLE SANA KWA UJINGA.
 
Mbinguni ni kwa walio R.I.P bila dhambi.

Yeye atatoa motoni kwa LUsuferi. R.I.P
 
Poem.. Front line

Front line
Where manhood and consciousness is tested,~
The only place to bury persecutions and burden of ages,

The only place for declare names immortal,
Trust me brother You will not be alone there.,

~Front line
Where the bullets will graze on man and grass,
Where man will make his own lightning and thunder,
Where the enemy will fall and never rice,
Brother truly my shadow will be next to yours.,

Front Line
I know is bitter but I like it,
I like it particular because it is bitter,
I like it because it is where I belong,
For out of bitterness comes equality, freedom and peace..,

I will be in the front-line when the roll is called..! Kamwe hatutarudi nyuma kwenye haya mapambano kati kati ya HAKI dhid ya DHULUMA..! WANAMAGEUZI TUSIRUDI NYUMA UKOMBOZI UMEKARIBIA..!{nchemba anazan atatutoa}
 
Usitaje bure jina la Bwana Mungu wako Mwigulu, Musa alipomuuliza Mungu ww ni nani Mungu alimjibu kuwa yeye ni NIKO AMBAYE NIKo, hivyo fitina unazofanya Mwigulu hakika na kuhakikishia pasi na shaka kuwa Mungu hatokuvumilia kwan kama maonyo mengi umeshapata na sasa umeshupaza shingo yako basi itavunjuka kwani enzi za ujinga Mungu alizifanya kama hazioni.

Yani umeshindwa kupata ushauri hata kwa Shehk au mchungaji wako?
 
Jana mbunge wa iramba ndugu Mwigulu Nchemba,aliwashangaza watanzania WACHAMUNGU,kwa kusema bungeni kuwa yuko tayari kutoa ushahidi utakaothibitisha kuwa chadema ni chama cha kigaidi. Kilichotustua wengi ni pale alipotamka kwa kujiamini kabisa kuwa,"YUPO TAYARI KUTOA USHAHIDI HATA MBINGUNI.; Kwanza napenda kumtaarifu kuwa,kwa mujibu wa MAANDIKO MATAKATIFU,Mungu hahitaji ushahidi wa mwanadamu ili kuthibitisha jambo,kwa kuwa yeye anawajua wanadamu mpaka mawazo yao. Pili kesi ya lwakatale ipo duniani na si mbinguni,hivyo itaendeshwa kwa mujibu wa sheria za nchi wala si sheria mbinguni. Kauli yako Mwigulu,ya kumhusisha Mungu na mambo yenu ya kisiasa,NI KUDHALILISHA UFALME WA MUNGU,na nidalili za kulewa madaraka. Napenda kukuonya usithubutu kumhusisha Mungu kwenye propaganda zako za kisiasa,vinginevyo hutamaliza mwaka huu MUNGU ATAKUPIGA. Najua utapuuza kama ilivyodestuli yako,ila NIMESHAKUONYA MARA.

ASOME HAPA
Eee Bwana, umenichunguza na kunijua, wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu.umelifahamu wazo langu tokea mbaliumepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu. Umeelewa na njia zangu zote. Maana hamna neno ulimini mwangu usilolijua kabisa-Bwana
 
Jana mbunge wa iramba ndugu Mwigulu Nchemba,aliwashangaza watanzania WACHAMUNGU,kwa kusema bungeni kuwa yuko tayari kutoa ushahidi utakaothibitisha kuwa chadema ni chama cha kigaidi. Kilichotustua wengi ni pale alipotamka kwa kujiamini kabisa kuwa,"YUPO TAYARI KUTOA USHAHIDI HATA MBINGUNI.; Kwanza napenda kumtaarifu kuwa,kwa mujibu wa MAANDIKO MATAKATIFU,Mungu hahitaji ushahidi wa mwanadamu ili kuthibitisha jambo,kwa kuwa yeye anawajua wanadamu mpaka mawazo yao. Pili kesi ya lwakatale ipo duniani na si mbinguni,hivyo itaendeshwa kwa mujibu wa sheria za nchi wala si sheria mbinguni. Kauli yako Mwigulu,ya kumhusisha Mungu na mambo yenu ya kisiasa,NI KUDHALILISHA UFALME WA MUNGU,na nidalili za kulewa madaraka. Napenda kukuonya usithubutu kumhusisha Mungu kwenye propaganda zako za kisiasa,vinginevyo hutamaliza mwaka huu MUNGU ATAKUPIGA. Najua utapuuza kama ilivyodestuli yako,ila NIMESHAKUONYA MARA.
Mkuu, what you should know is that your heaven is not necessarily Mwigulu's heaven. Unaye Mungu wako, na wao wanaye mungu wao pesa. With their god money, they think they can conquer every person of this land. Huo ushahidi wake atakuja kuutoa mbinguni kwa mungu wake huko kuzimu.
 
akichangia bungeni muda huu mwigulu nchemba amesema yupo tayari kutoa ushahidi popote pale iwe polisi, mahakamani bungeni hata mbinguni kuthibitisha video ya lwakatare jinsi alivyoipata, na kwamba kiongozi wa chadema aliyempa pia yupo tayari kuthibitisha mahali popote. amewataka viongozi wa chadema wasitafute mchawi kwa kusingizia vyombo vya dola hasa polisi na usalama wa taifa kwamba vinahusika.
Amesema ni vyema viongozi wa chadema popote pale walipo waende kwenye nyumba za ibada zilizopo karibu nao wakatubu na kuungama kujisafisha na matendo maovu ya kigaidi na mauaji wanayoyafanya. Amewashangaa kutaka madaraka huku wanawaua wananchi wanaotaka kuwaongoza...awaambia shame on you, look at you chadema!!!!!

amesema ile ya chadema iliyowasilishwa na mbowe ilikuwa ni malalamiko ya kambi ya upinzani na sio hotuba ya kambi ya upinzani kwa kuwa haina mapendekezo wala solution ya matatizo pamoja na kwamba ina urefu wa kurasa 70.

amelitaka jeshi la polisi limkamate mbowe kwa sababu ndiye anayewasiliana sana na lwakatare kwa kuwa ni mkurugenzi wao wa ulinzi na usalama, kufuatia maelezo ya mbowe jana kwamba anayewasiliana na gaidi naye ni gaidi pia hivyo akamatwe..

jamani naomba mnijibu kati ya tundu lisu na mwigulu nchemba ni nani mfa maji?
 
Ana uwezo wa kuyumbisha TASISI KUBWA KAMA CHADEMA/ kila kingozi anaangaika kukon=mboa tasisi coz ya mtu mmoja ambaye ni MWIGULU. akicheza atakuwa kibanda

Kweli CDM ni taasisi kubwa huwezi kuiyumbisha kwa mambo kama hayo, ushauri wa Bure kwa CCM mwisho wa yote Watanzania wanataka kuona maisha yao yakiwa bora kuliko mwaka 2005. Watanzania watawahukumu kwa ahadi mlizotoa katika ilani yenu na mlivyotekeleza naanza kupata wasiwasi kuwa mmepungukiwa hoja. Ikiwa mnapoteza hata Bumbuli kwa Mzee Makamba mjiangalie sana ninachowaomba yeyote atakayepoteza akubali matokeo. Katiba ya nchi ikae vizuri na kama haikukaa vizuri mambo yanaweza kuwa mabaya kama ilivyokuwa Kenya kabla ya uchaguzi uliopita. Hizi siasa za kung'oana kucha, meno na macho hazina maana yoyote hakuna atakayeishi duniani milele. Mobutu, Bokasa, Iddi Amin ambao waliuwa watu wengi wasio na hatia nao wamekufa ni vizuri tumwogope Mungu pia.
 
Ivi ile kesi ambayo mchungaji Mtikila alimuita Kikwete gaidi illishia wapi?
 
Back
Top Bottom