Ushahidi wa mbinguni utakua sawa maana kwa hapa duniani nchemba kwa kutumia wadhifa wake ndani ya chama tawala vibaya amekwisha suka ushahidi.Nimemsikia pia akisema kuwa viongozi wa CHADEMA wasihangaike na kuzua uongo kuwa Usalama wa Taifa na polisi wanatekeleza mpango wa kukidhoofisha chama hicho kisiasa. kwamba kiongozi wa chadema aliyempa mkanda huo yupo tayari kutoa ushahidi na yeye (NCHEMBA) yupo tayari kutoa ushahidi iwe Bungeni, Polisi, Mahakamani na hata Mbinguni
Anaelekea kuutokomeza ugaidi na kukomesha mauaji hapa nchini
Hakika Yametokea Mengi Hapa Nchini Katika Kipindi Kifupi Cha Kama Miezi Miwili....Na kwa bahati mbaya matukio hayo yamekua si azuri kwa image ya CHADEMA....kubwa ni la kuhusishwa na UGAIDI...Yes UGAIDI ama kiingereza tunasema TERRORISM...lakini ukiangalia kwa mapana na marefu utajua ya kwamba hizi kashfa na madudu ya CHADEMA yameibuliwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mheshimiwa Mwigulu Nchemba.....vita iliyopo sasa ni Mwigulu Nchemba VS CHADEMA....yaani vita kati ya mtu mmoja na taasisi ya CHADEMA.....ila kwa mwenye akili timamu ataona kabisa Mwigulu amewashika pabaya CHADEMA YOTE....hapa ndipo napatwa na mashaka juu ya uimara wa Chama hiki kikuu cha Upinzani.....yaani kama kimeshindwa kabisa kum contain mtu mmoja kama Mwigulu je kina uwezo wa kuongoza taifa hili....CHADEMA lazima wakubali kuwa kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya chama chao kwani kwa maneno yake mwneyewe Mwigulu amesema ushahidi unaoihusisha CHADEMA na UGAIDI amapewa na kiongozi mmoja wa juu ndani ya chama hicho.....anaweza akawa Mbowe....akawa Zitto...ama Babu Slaa.....hakuna anaejua....ila tunachokijua Mwigulu is more powerful than CHADEMA...hiyo ni fact utake suitake.....kwenye soka tunasema amewapiga BAO LA KISIGINO kama Lionel Messi.
Big up Jemebe langu Mwigulu Nchema a.k.a Bomu La Nyuklia.....kimbiza CHADEMA mpaka wakae chini

Jana mbunge wa iramba ndugu Mwigulu Nchemba,aliwashangaza watanzania WACHAMUNGU,kwa kusema bungeni kuwa yuko tayari kutoa ushahidi utakaothibitisha kuwa chadema ni chama cha kigaidi. Kilichotustua wengi ni pale alipotamka kwa kujiamini kabisa kuwa,"YUPO TAYARI KUTOA USHAHIDI HATA MBINGUNI.; Kwanza napenda kumtaarifu kuwa,kwa mujibu wa MAANDIKO MATAKATIFU,Mungu hahitaji ushahidi wa mwanadamu ili kuthibitisha jambo,kwa kuwa yeye anawajua wanadamu mpaka mawazo yao. Pili kesi ya lwakatale ipo duniani na si mbinguni,hivyo itaendeshwa kwa mujibu wa sheria za nchi wala si sheria mbinguni. Kauli yako Mwigulu,ya kumhusisha Mungu na mambo yenu ya kisiasa,NI KUDHALILISHA UFALME WA MUNGU,na nidalili za kulewa madaraka. Napenda kukuonya usithubutu kumhusisha Mungu kwenye propaganda zako za kisiasa,vinginevyo hutamaliza mwaka huu MUNGU ATAKUPIGA. Najua utapuuza kama ilivyodestuli yako,ila NIMESHAKUONYA MARA.
Mkuu, what you should know is that your heaven is not necessarily Mwigulu's heaven. Unaye Mungu wako, na wao wanaye mungu wao pesa. With their god money, they think they can conquer every person of this land. Huo ushahidi wake atakuja kuutoa mbinguni kwa mungu wake huko kuzimu.Jana mbunge wa iramba ndugu Mwigulu Nchemba,aliwashangaza watanzania WACHAMUNGU,kwa kusema bungeni kuwa yuko tayari kutoa ushahidi utakaothibitisha kuwa chadema ni chama cha kigaidi. Kilichotustua wengi ni pale alipotamka kwa kujiamini kabisa kuwa,"YUPO TAYARI KUTOA USHAHIDI HATA MBINGUNI.; Kwanza napenda kumtaarifu kuwa,kwa mujibu wa MAANDIKO MATAKATIFU,Mungu hahitaji ushahidi wa mwanadamu ili kuthibitisha jambo,kwa kuwa yeye anawajua wanadamu mpaka mawazo yao. Pili kesi ya lwakatale ipo duniani na si mbinguni,hivyo itaendeshwa kwa mujibu wa sheria za nchi wala si sheria mbinguni. Kauli yako Mwigulu,ya kumhusisha Mungu na mambo yenu ya kisiasa,NI KUDHALILISHA UFALME WA MUNGU,na nidalili za kulewa madaraka. Napenda kukuonya usithubutu kumhusisha Mungu kwenye propaganda zako za kisiasa,vinginevyo hutamaliza mwaka huu MUNGU ATAKUPIGA. Najua utapuuza kama ilivyodestuli yako,ila NIMESHAKUONYA MARA.
akichangia bungeni muda huu mwigulu nchemba amesema yupo tayari kutoa ushahidi popote pale iwe polisi, mahakamani bungeni hata mbinguni kuthibitisha video ya lwakatare jinsi alivyoipata, na kwamba kiongozi wa chadema aliyempa pia yupo tayari kuthibitisha mahali popote. amewataka viongozi wa chadema wasitafute mchawi kwa kusingizia vyombo vya dola hasa polisi na usalama wa taifa kwamba vinahusika.
Amesema ni vyema viongozi wa chadema popote pale walipo waende kwenye nyumba za ibada zilizopo karibu nao wakatubu na kuungama kujisafisha na matendo maovu ya kigaidi na mauaji wanayoyafanya. Amewashangaa kutaka madaraka huku wanawaua wananchi wanaotaka kuwaongoza...awaambia shame on you, look at you chadema!!!!!
amesema ile ya chadema iliyowasilishwa na mbowe ilikuwa ni malalamiko ya kambi ya upinzani na sio hotuba ya kambi ya upinzani kwa kuwa haina mapendekezo wala solution ya matatizo pamoja na kwamba ina urefu wa kurasa 70.
amelitaka jeshi la polisi limkamate mbowe kwa sababu ndiye anayewasiliana sana na lwakatare kwa kuwa ni mkurugenzi wao wa ulinzi na usalama, kufuatia maelezo ya mbowe jana kwamba anayewasiliana na gaidi naye ni gaidi pia hivyo akamatwe..
Ana uwezo wa kuyumbisha TASISI KUBWA KAMA CHADEMA/ kila kingozi anaangaika kukon=mboa tasisi coz ya mtu mmoja ambaye ni MWIGULU. akicheza atakuwa kibanda