Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

mwigulu sio tatizo,tatizo lake nini?

Mwigulu yuko juu kama lilivyo jina lake.
 
Ni wakati sasa wa Mbowe na Dr Slaa kuachia ngazi kutokana na kashfa ya ugaidi.

wakishindwa kuachia ngazi, jeshi la polisi lisipepese macho. LAZIMA MBOWE NA SLAA wakamatwe na washitakiwe kwa kufadhili vitendo vya kigaidi
 

hizi data zako tunaziaminije make wewe unaongea kwa hisia za kichama nio maana unakuwa na hasira na kutukana laiti ungechangia kwa uhuru wala usingepata shida ila kama unauchama ndani yako utapata shida sana humu jf
 
wapenda mabadiriko wote tz tunapaswa kutafakari ili kupata dawa yakumtibu mwigulu mana anakera zaidiya chochote kibaya hapa duniani!

Mvumilieni. Mwigulu ni mchungu lakini ndiyo dawa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tundu Lissu naye lazima atakuwa na matatizo ya akili mbona Mbowe na Dr Slaa wanawasiliana na GAIDI Lwakatare na wameapa kulitetea GAIDI mpaka dakika ya mwisho mbona ajasema wakamatwe.
 
Mwigulu alikuwa na hoja nyepesi ya kwamba kama ni mawasiliano Na "Magaidi" Basi viongozi wa CHADEMA wakamatwe, lakini Tundu Lissu amepigilia msumari kwamba Mwigulu amewasiliana Na "Magaidi" ameyafanya tarehe za mawasiliano na hatimaye malipo yaliyofanywa.
 
Nimependa ushauri wako na fikra zako pevu....lakini ungeondoa line inayosema "This time hii issue imewanasa hamtoki"
hapo tu ndio umeharibu kwa kuifanyia mahakama kazi....
 
adui No moja wa Nchemba ni chadema! amefanya siasa kuwa ni vita.
 
Nafurahia sana...mwigulu ni mjinga namba mbili,sasa amefungua ukurasa mpya dhidi ya mainjinia na washeria,hakika mwigulu ongeza marafiki wa chuki na matokeo yake utayaona muda si mrefu...hili ni lijinga sana hilo halina akili.
 
ana hangaika tu...na kama umemfatilia TUNDU LISSU,mwigulu ana luka luka lakini ata nasa tuuuu....
 
heshima yako Lissu, wakipanda panda nao..kazi kwa mama spika kuruhusu propaganda bungeni.!!!
 
Kweli watanzania tumekwisha mwanasheria mwenye digrii akafundishe kiingereza kidato cha kwanza au mchumi akafundishe hesabu,mimi nawashauri wabunge ambao wanaona hawana uwezo wa kujenga hoja za kitaalam na za kisayansi kufikia suluhisho la kushuka kwa ubora wa elimu Tanzania si wakae kimya tu waache wataalam waseme ? kwani ni lazima kila mtu awapo bungeni ni lazima tu achangie hata kama hana hoja yenye mashiko kama huyu ndugu yangu Mwigulu?yaani ameona hana haja ya kuupa kazi ubongo wake anatoa maoni kam ya mtoto mdogo ,kuwapa nafasi watu kama haw wazungumze ni kupoteza rsilimali za taifa muda,umeme ambao ungetumika na watu wenye maoni yenye faida ,huyu mtu namshauri akae tu asubiri muda wa kuchukua posho aende akapumzike awaachie kazi ya kujadili mustakabali wa elimu yetu watu wenye uwezo wa kutafiti na kuja na majibu sahihi badala ya kukurupuka na suluhu ambayo naamini baadaye itakuwa tatizo zaidi kwa taifa.
 

Kwahiyo wakati Mbowe analiongelea lilikuwa haliko mahakamani?
 
hutujafika huko bado labda kama ingekuwa vikao vya bavicha ndipo hayo yangetokea tuombe mungu tusifike huko

UVCCM ndio huwa wanashikana mashati kwenye vikao....nina wasiwasi na uraia wako kwa sababu hata mambo ya juzi huyajui...
 
Huyu Mama siku atakapomaliza muda wake itakuwa ni faida kubwa kwa hili taifa

naomba tusimlaumu huyu mama kwa weakness zake nahisi zina advantage sana kwetu sisi tunaongalia. Movie bila vituko hainogi pia ukumbukwe sometimes ni vizuri kuaribu kuvunja sheria ili ziwekwe sheria nyingine mbadala!! risk taking kiaina...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…