Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kodi ndio italipa madeni asidanganye watu,Waziri wa Fedha na Mipango Dr Mwigulu Lameck Nchemba (PhD) leo amewaondoa wasiwasi wananchi wanaolia kwa sababu ya ukubwa wa deni la taifa (Trilion 70+) kwamba hakuna mtanzania hata mmoja atakayegongewa mlango au kutakiwa kutoa mali zake binafsi ili kulipia deni la taifa. Amesema deni hilo litalipwa na serikali yenyewe kwa fedha zake bila mwananchi yeyote kutakiwa kutoa hata senti moja ili kulipia deni. Msikilize wewe mwenyewe kwenye klipu hii hapo chini 👇 👇 👇 👇 👇
View attachment 2068601
Dr Mwigulu alisema hayo wakati Rais Samia alipokuwa akihutubia Baraza la Mawaziri ikulu Jijini Dodoma ili kuweka mambo sawa baada ya Spika wa Bunge kuwa mbogo kuhusiana na ukubwa wa deni la taifa ambapo Spika alisema kuwa serikali ya Samia isipokuwa makini kwenye ukopaji, ipo siku nchi hii itauzwa kwa sababu ya ukubwa wa madeni.
MAONI YANGU
Nawaomba wananchi tutulie, tuache kupapalika bila sababu kwa kuwa sasa tumehakikishiwa kwamba hatutahusika hata chembe kwenye ulipaji wa deni la taifa. Nawashangaa sana watu wanaowapotosha wananchi kwa makusudi kuwa watahusika kwenye ulipaji wa deni la taifa huku wakijua fika kwamba serikali itajilipia yenyewe deni lake. Tuache upotoshaji ndugu watanzania. Kuna makundi ya watu wabaya wanaotumia na watu wasioitakia mema nchi hii kuifarakanisha serikali na wananchi wake. Tuwe makini! ✍️
Haya mambo ndo ilitakiwa wabunge wetu wayajadili bungeni.ila ndo hivyo tena.Kweli kabisa mkuu. Hata MwanaHalisi Online imeandika pia. Swali la Msingi. Tozo ni kodi mpya ya Simu. Wizara ya Fedha siyo ya Muungano. Watu mil1 wa Zenj watozwe zao. Na sisi mil 60 tutozwe kwa maendeleo yetu. Ratio ni ileile. Why pesa za Bara ziende Zanzibar?
Walikomaa Zanzibar ikope kama nchi. Wameruhusiwa tiyar. Ni kwa nn pesa za Tanganyika Ziende Zanzibar?
Huyu jamaa ni mmoja ya mawaziri nanga kuwahi kutokea. Huyu anafaa kuwa manamba siyo mwanasiasa. Kweli wazirimzima anatoa uharo wa namna hii?Serikali ina jaruba la pesa za kulipa?
Dah DR inakuwaje tena uchumi wa wapi huu mlipa deni ni mwananchi kupitia kodi za kila siku.
Zinatumika zaidi ya 800bil toka kwenye kodi yetu kulipa madeni sasa unasemaje kuwa mwananchi hatawajibika kulipa deni.
Uchumi wa wapi huu jamani?
U kisiasa mambo ya kihanithi ndo hayaULisikia vyema yaani watu 1mil wapelekewe 161bil alafu watu 61mil wapewe 91bil?
Absolutely kupiga simu kwa mpesa wa mtu Saa nane usiku ndo niniWaziri bogus hopeless