babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Saanaa,na swaumu alikua akiongea walisimama kabisa kuimba tuna imani nawe😥.Waweza kuta baada ya kutoa kauli hiyo wale wahudhuriaji walipiga makofi mengi na vigelegele( mtoa mada nisaidie kujua kama hilo lilitokea maana utakuwa ulifuatilia mwanzo mwisho)
Ndio washauri wa mama yenu hao.Walio mpa hiyo PhD inabidi sasa wachunguzwe kwa uhujumu wa elimu... Iweje muhitimu wao awe na mawazo finyu kama hayo na mawazo duni kwa level yake ya PhD? ni lini serikali ikawa na fedha zake? ina vitega uchumi gani vya kuongeza mapatol? imewekeweza wapi ? ni kodi za wananchi zitakazotumika kulipa deni, hizo kodi zinatokea wapi kama sio kwa wananchi na makampuni binafsi ? Huyi Nchemba siku marejesho yakifika sijui atakuwa yupo wapi na atakuja na sounds gani wakati huo...
PHD watanzania wana mashaka sana Mwigulu anatuambia mwaka huu kutakuwa na wanafunzi wapya laki 7.5 na nusu, mwaka ujao wataongezeka kuwa 1.5 million surely huyu mtu anatuona watanzania wote wajinga kama wanakijiji wenzake wa Iramba.Kumbe hatukumuelewa prof Kabudi
Kweli pale ni Jalalani
Kwahizi PhD za kina Mwigulu!!
Sijawahi onaphd holder kilaza km huyu mbwiga.PHD watanzania wana mashaka sana Mwigulu anatuambia mwaka huu kutakuwa na wanafunzi wapya laki 7.5 na nusu, mwaka ujao wataongezeka kuwa 1.5 million surely huyu mtu anatuona watanzania wote wajinga kama wanakijiji wenzake wa Iramba.
I don’t even know what linear equation was used to justify the rate of child birth for a population to double in one year.
The nonsense is beyond me.
Binafsi sio shabiki wa Kimei kupewa nafasi tena, ila yupo hai vijana kama Mwigulu wamtumie kuchota akili.
It requires sectorial knowledge.Kilatha,
..chombo gani cha habari hapa Tz kinaweza kufanya mahojiano ya kitaaluma kama hayo na Dr.Kimei?
..kuna mambo Watz lazima tuyaweke sawa haraka sana vinginevyo dunia itakuja kutucheka.
Ata sijui anatuonaje, anao uelewa ila kuna wasaa anakuwa na uongo wa kishamba utadhani watanzania wote tumetoka kijijini kwao Iramba.Sijawahi onaphd holder kilaza km huyu mbwiga.
Tunapigwa na vitu vizito vizito duh.
Yaani jamaa alijiapizaga kwamba ikifika decemba fulani kabla hata ya tarehe 25 ukweli utadhihirika, magaidi watajulikana. Wakati ule akiwa waziri wa mambo ya ndani. Alikuwa akiwalenga CHADEMA sikumwelewa kabisa mziki wa Kibiti ulipokolea akapotelea pwete!Anaposema serkali italipa anamaanisha nini?
1. Kwamba Tozo si za wananchi
2. Kuwa kodi ya mwananchi
3. Kwamba maliasili si za wananchi
Hivi Serkali ina mapato tofauti na wananchi na maliasili zao?
Huyu ni Phd holder
Yamekopa hela kulipa denI akili matope
Sisi ni ma zuzu ndiyo, hatuna cha kufanya huyo mwigulu kwani hayupo pale kwa utashi wetu.Hivi huyu #Mwigulu Nchemba ana akili timamu kweli?
Anaposema serikali italipa anakua na maana Gani,Ina maana kumbe serikali ni genge la Watu wachache waliohodhi rasilimali za hili taifa na wanafanya mambo Kwa matakwa Yao binafsi au Sio,
Hii kauli mbaya Sana na inaonesha dharau kubwa kutoka Kwa huyu bwana mbele za wananchi,
iseee nimejikuta na hasira Sana Aisee Hivi Hawa Watu wanatuona Watanzania mazuzu Sana kumbe,
Hio mizigo ya madeni inatufanya tushindwe kuendelea Ili Hali tuna rasilimali chungu mzima,
We are fighting for nothing since 1961 Bado tunakopa fedha za kujengea matundu ya vyoo
Shame!
Bora hata ya mwanangu docta Msukuma maana hawq ndo wasomi wetu wanatuambia maneno marahisi kama vile sisi ni mazuzu hatujui hela ndo tunailipa sisi hata km hawapigi hodi ila cha moto tunakiona.Anaposema serkali italipa anamaanisha nini?
1. Kwamba Tozo si za wananchi
2. Kuwa kodi ya mwananchi
3. Kwamba maliasili si za wananchi
Hivi Serkali ina mapato tofauti na wananchi na maliasili zao?
Huyu ni Phd holder