Elections 2015 Mwigulu Nchemba: Huu Unyama Una baraka zote za Dr. Slaa na genge lake

Chadema ni sawa na Alshabaab tu.

Viongozi wao wanatumia maisha ya watu kama mtaji wa siasa

Siyo wewe ambaye kuna doctor mmoja aliwahi kutueleza magonjwa yako ushapona ili uwe credible?Tunawaogopa sana wagonjwa wa akili,vp huko ccm hauogopwi?Maana mtu kama Mwigulu na aliyemrundikia vyeo sidhani kama wazima
 
Chadema ni sawa na Alshabaab tu.

Viongozi wao wanatumia maisha ya watu kama mtaji wa siasa

Ungetumia akili kidogo tu ungegundua pia hicho ccm wanachokifanya ni kutumia maisha ya watu kama mtaji wa kisiasa. Usiache mapenzi yako dhidi ya chama chochote yakutawale mkuu. AMKA
 
kwa tb joshua alienda kufanya nini? Mbona anatenda dhambi kwa kusema uongo?
 
Jamani kumbe njaa haina adabu...hii mibaba inakubali kufanywa sinema na Mwigulu kila mahali na huku rohoni wanajua kabisa aliyetenda hayo wala siyo huyo Slaa,Mungu watu kweli wanamkejeli.
 
Kila sehemu anakokanyaga huyu jamaa CCM inabwagwa - hivi hawajajifunza tu!! maana siasa za huyu jamaa ni za vita vita tu.

Kalenga - i can't wait to count CDM winning!!
Aliipeleka hiyo midoli yake kule A town, wananchi wa huko walizipuuza propaganda zake na wananchi wakaamua kuwaadhibu magamba kwa kuwapa ushindi CDM kwa ushindi wa goli 4 kwa bila!

Kama CCM hawajajifunza kwa kipigo hicho kwa kuamua kumpeleka Mwigulu Kalenga, basi watarajie kuangukia pua huko Kalenga
 
Kwa unyama walioufanya na wanaoendelea kuufanya Mh. Mbowe na Dr. Slaa, siku ya hukumu Mungu atawatengea moto maalumu kwaajili yao.
 
Kwa kweli mwigulu nchemba ameongea kweli hawa chadema wanataka tuwe kama wasomalia kila siku vita,tunashukuru watanzania wanaelewa umuhimu wa aman yetu na hawapo tayari kuiingiza nchi kwenye dimbwi la damu.Tunatamani upinzani ila sio chagadema.



Hivi hawa wanaofanywa katuni katika mikutano ya siasa wangekuwa ni ndugu zako ungeandika hivi? Nafikiri kwa sasa ifikie hizi tume za haki za binadamu zifanye kazi zake ili kuyazuia haya ya udhalilishaji kwa binadamu kisa eti siasa.
 
CCM walishajua kuwa KAlenga ngoma ni nzito kwa hiyo wanachofanya ni kuharibu tu!! Najua ni ngumu watu wa Iringa kusahau ya Mwangosi!!
 
Inawezekana hakuna sheria ya kumshitaki savimbi
 
Kweli njaa na umaskini hatari sana! mwanamume mzima unakalishwa chini na ccm unatobolewa macho na kuzungushwa mitaani kwa vijisenti vya ccm.? Hatari sana.
 
The so called the chaga development manifesto is a disgrace to our country...
 
Sasa simuwakamate au mnawaogopa??
 
Then zile picha za mauaji ya Arusha bado hawataki kuzionesha?Watanzania tuwabane hawa wachaga watuoneshe zile picha,iweje hadi leo waendelee kubakia na ule ushahidi?
 
Mwigulu bado anaizungusha hiyo misukule..., huyu jamaa aliwafanya hivyo hao ili awafanye mitaji ya kisiasa.
 
Jamani msidanganyike na ccm kwamfano huyo Musa Tesha wa Igunga vijana wao ndo wa lio mwangiya tindikali wasidanganye majukwani Naomba ni mwambie kijana mwenzangu musa afanye kazi na siyo kuwa bango la ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…