Elections 2015 Mwigulu Nchemba: Huu Unyama Una baraka zote za Dr. Slaa na genge lake

Hivi kutembea majukwaani na hawa watu ndio wanachohitaji watu wa Kalenga!?
Sijawahi kuumba lakini kiukweli simpendi huyu bwana.
 
Hana hoja zaidi ya hizo propaganda!

Hii ni dalili ya kutojiamini!

Hao majerui wanatumika kama mtaji wa kisiasa kwasababu ya umasikini wao tu!

Bahati mbaya na wananchi wengi hawana upeo wa kuchambua mambo na huu ndio mtaji mkubwa wa CCM.
 
Hivi mwigulu hajui nn maana ya kuwa naibu waziri? Ana mambo kama alivyokuwa mbunge. Na hivi ni kwa nn ccm wanataka kura za huruma? Kutembea na hao watu walioumizwa kwa ajili ya mambo ya siasa ni kuomba kura za huruma. Hao mabwana hawajui kama wanatumika kama watengeneza hela wa hao wabunge wa ccm. Akipata ubunge je atamsaidia kwa lipi? Ni hatua gani zimechukuliwa kwa wahusika, mwigulu anasema ni Slaa je kwa nn asimshtaki mahakamni na baraka yake anazunguka nao?
Umaskini mbaya sana, wenyewe wanakubali kuandamana na hao wanaowatumia kwa kuwa tu wanapewa chochote.
Watanzania amkeni jamani kura za huruma za nini? Chagueni mtu mnayeona anafaa kuleta maendeleo ya Jimbo sio kwa kuwa baba alifariki Mimi mtoto mnipe kura (utawala wa kichifu) au kwa ajili ya huruma.
Binafsi mwigulu ukisoma hapa jua kuwa kuna mambo as a naibu waziri hupaswi kufanya, jitahidi uyaepuke,
 
Siasa mbali, kitendo hiki kweli siyo udhalilishaji na uvunjifu wa haki za binadamu. Yawezekana wanaotumika hawajui, je na wengine wote ndani ya nchi yetu hatujui kweli?
 
CHADEMA na Dr.Slaa familia za hawa watu zinateseka kwa ajili ya uroho wenu wa madaraka! Kuna siku mtalipa haya yote mnayoyafanya kwa ajili ya uroho wa madaraka!
“Foolishness is more than being stupid, that deadly combination of arrogance and ignorance.” (Paul David Tripp)
 
na yale ya ulimboka kibanda na mwangosi yana baraka yana baraka za nani
 
mungu amsaidie mchumi fisrt class mhe. cjui alipatia chuo gani duhh,
 
katiba mpya impe rungu msajili wa vyama,uhuni kama huu anaoufanya mwigulu nchemba na ukome,hivi kama chadema wanakiuka misingi ya kuwa na usajili ,kwanini msajili wa vyama vya siasa akifutilii mbali?
Nchemba wewe tangaza sera zako na za ccm kuwa kwanini ujangili umeshamiri kipindi hiki cha utawala wa JK
na kwanini madawa ya kulevya yameuzwa sana hasa kipindi hiki cha JK
 
KIUKWELI huyu nchemba anapasa kulaaniwa sana,ni mchochezi sana maana siasa sasa CCM imewashinda
 
Watanzania tuwe macho wanasiasa wanatutumia kama toilet paper wakipata wanatusahau hebu Anglia bungeni wiki mbili ni malumbano tu ya kuongezewa posho hao ndiyo wawakilishi Wetu.
 
Kuna watu wanapost humu kuwa Mwigulu ni muongo, eti kwanini wahusika hawajacgukuliwa hatua, kumbe kuna kesi mahakamani? Hebu tuambieni watuhumiwa ni akina nani?
Yaweza kuwa kweli, lakini kufanya haya anayoyafanya kwa kesi iliyo mahakamani ni kuiaribu kesi yenyewe.mh. Mwigulu, misomi, analijua hili na pia hata kama hajui, kuna wanasheria ndani ya chama na Serikali wanalijua hili. Kwa nini hawazuii kitendo hichi, hapa ndiyo inanishangaza. Binafsi naona kama udhalilishaji na uvunjaji wa haki za binadamu kwa hao wahanga wanaotembezwa.
 
 
Watanzania tuwe macho wanasiasa wanatutumia kama toilet paper wakipata wanatusahau hebu Anglia bungeni wiki mbili ni malumbano tu ya kuongezewa posho hao ndiyo wawakilishi Wetu.
 
Mauaji yote yanayotokea hapa nchini yanayohusiana na siasa yana mkono wa Rais Jakaya kikwete,na mshirika wake mkubwa ni mwigulu,hawa ni wauaji wakubwa hapa nchini,Sababu kubwa ni CCM unyonge basi,baada ya mateso ya wana CCM Kahama,lakini kifo cha Mwangosi,Ally Zona,Arusha na pengine pengi ni sawa kana kwamba hao waliouawa sio binadamu ila waliong'olewa macho ndiyo Binadamu.Kikwete ukimaliza muda wako madarani unatakiwa kwenda kulipoti The Hague,ila wewe Mwigulu tunamalizana hapahapa hata Singida hufiki.
 
Lukos naona msimu wa ulanzi kwetu umefikia mahala pake na hata post zako zimekuwa zaidi ya mlevi. Huwezi kung'amua kwamba mwigulu anasiasa mbaya kiasi kwamba imefanya wenye akili wakichukie na kukihama chama cha majambazi wang' oa kucha za watu ccm?? Jamani siku moja jaribu kutumia akili kidogo tu ngukusuka unapocomment au unapo weka ujumbe. Hebu kuwa kama mtawala akina mkwawa acha akili za macholo au ugimbi veve.
 
Mwiguru umefika pabaya hapo kama umeanza kuwatumia watanzania wenzako kwa kuwachochea RAIA uliwatumia watanzania wenzako ili upate ushindi. Jamani acha hiyo!
 
chadema na dr.slaa familia za hawa watu zinateseka kwa ajili ya uroho wenu wa madaraka! Kuna siku mtalipa haya yote mnayoyafanya kwa ajili ya uroho wa madaraka!
kweli chooni ah samahani; msalan umeandika hii kutoka moyoni' leo cdm wauaji? Kweli? Ccm ni kina nani kama cdm ni wauaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…