Mwigulu Nchemba kuongoza Wizara ya fedha ni pigo kubwa kwa Wafanyabiashara na Walipa kodi

Kwa miaka ya hivi karibuni, Mgimwa ndie aliyeimudu vizuri hii Wizara.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona karata za mama ni kumpa mwigulu wizara ya fedha kwamba atashindwa tu, afu amchomoe, ameona si vyema kwa miezi michache aliyohudumu wizara ya katiba na Sheria kumchomoa, ambapo ameshaonyesha udhaifu tayari
 
Mnalalama nini mama anatumia mawaziri walewale waliominika na huyo shujaa wenu wa Africa.. Mbona alivyokuwa anateuliwa na jiwe ktk wizara mbalimbali mlinyamaza kimyaa... Sahiz ndio mnaona mwigulu hafai... Kweli wadanganyika hamjielewi mnacho simamia...
 
MNYIRAMBA huyu anajiandaa na uraisi 2025, Samia kachemka sana hapa, lakini ni mtu mwenye kauli chafu zisizo endana utu wema wa Rais wetu samia.
 
Tunaenda kukusanya kodi kwa kutumia vikosi kazi vya kuteka na kuua, ukikadiriwa ukazingua kulipa unatekwa na kuuwawa.
 
Nani anafaa Sasa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…