Mwigulu Nchemba kuongoza Wizara ya fedha ni pigo kubwa kwa Wafanyabiashara na Walipa kodi

Mwigulu Nchemba kuongoza Wizara ya fedha ni pigo kubwa kwa Wafanyabiashara na Walipa kodi

Wale waliokuwa na ndoto ya nchi kurejea kwenye zama za upigaji ili waanze kupiga tena, walie tu.

Usharika huu unaojumuisha SSH, Mpango, Majaliwa, Nchemba na Lukuvi ni full Magufuli yaani!
 
Vipi ule waraka wa CHADEMA kuwa Rais anatakiwa kuvunja Baraza? Katibu aliwaingiza Chaka?

Kwani kwa kufanya uteuzi mpya, sio kuvunjwa lile la zamani? Au sijaelewa “kuvunja” kwako ilimaanisha wale wote waondolewe na kuwekwa wapya??
 
Kwani kwa kufanya uteuzi mpya, sio kuvunjwa lile la zamani? Au sijaelewa “kuvunja” kwako ilimaanisha wale wote waondolewe na kuwekwa wapya??

Hii ni reshuffle ndogo. Kuvunjwa kwa baraza la mawaziri kunatokea pale waziri mkuu anapoondolewa!
 
Hapa Mama yetu katokota. Na kumtoa Mwambe viwanda na biashara pia ni big backlash. Walau alikuwa akitutetea sisi wafanyabiashara tusifungiwe biashara zetu, sasa daaah. Majanga tu.
 
Kwa namna yoyote ile ni lazima tupishane kwenye hoja ili mjadara uwe na mashiko.

Wizara ya Fedha ni roho inataka mtu mwenye kujitosha na kwa aina ya majina yalokuwepo Mwigulu anastahili.
 
Acha kulalamika lipo kodi mbona sisi wenzio tunalipa bila shida au ulizoea kutolipa kodi dada?
 
unaweza kuitaja bidhaa moja tu uliyopigwa kodi zaidi?
 
Back
Top Bottom