Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

Kibanda ameumizwa na mbowe. Hata mtoto mdogo ukimuuliza anakwambia
 
Ukiunganisha nukta utakumbuka ludo nae alitekwa na kupoteza kila kitu cha mawasiliano walijua wamepoteza ushaidi walivyokuwa wanawasiliana ahahahahahahahahaahh?
 
Mtuhumiwa mkubwa na namba moja wa kibanda ni chadema na mbowe. Kuweka wazi zaidi mwajiri wake wa mwanzo
 
Unaposhabikia hicho ukishabikiacho ni sawa na kuwa na akili za marehemu maana ujitambui kwa nini upo hapo ulipo na kwa nini upo duniani na unachokishabikia kina manufaa na uzao wako na wenzako?

uzao wangu na magaidi
 
Mwigulu ni mtuhumiwa namba1 hilo liko wazi, ameshiriki kufanikisha mauaji mengi sana asipopelekwa mahakamani basi J. K atapandishwa ndege to ICC

uwazi gani fafanua acha kutumia masaburi kujadili hoja
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100. ila tu serikali dhalimu kama hii itashindwa kuchukua hatua kwa sababu anafanya kazi ya maccm

cdm hata ukiambiwa kamlete mkeo utasema naunga mkona slaa alale naye
 

kabisa na kwakuwa Ramadhani Ighondu anafanya kazi ikulu hata mkuu wa kaya naye hawezi kusalimika ukizingatia hotuba aliyotoa kumtetea rama,aki nani nchi ya ajabu.
 
anza na mbowe alituma watu wamdhuru kibanda baada ya kuacha kazi tanzania daima

on anather hand kama kweli tunania ya dhati ya kukomesha vitendo viovu kaka peleka ushahidi wako polisi kama mwiguru alivyofanya kupeleka ile cd ya lwakatare vinginevyo tutakuona msanii tu
 
anza na mbowe alituma watu wamdhuru kibanda baada ya kuacha kazi tanzania daima

Nyie ndio mkikamatwa kusaidia polisi mnaanza kulia na kugaragara.....maelezo kama haya katoe polisi coz either unawafahamu waliomteka Kibanda au ulikuwa pamoja na Mbowe....
 
Ukiunganisha nukta utakumbuka ludo nae alitekwa na kupoteza kila kitu cha mawasiliano walijua wamepoteza ushaidi walivyokuwa wanawasiliana ahahahahahahahahaahh?

ludo mmesema hamtambui huku ben saa8 akishtuka hapa
 

Watakaomkamata Nchemba kin nani!??? Yeye ni bosi wa ccm, polisi na pia tiss, hukuskia eti hata mahojiano kati ya polisi na Lwakatare pia anayajua, namtabiria mwisho usio mzuri huyu bwana kama ameamua kumwaga damu za watu ili kustawisha maslahi yake kisiasa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…