Mwinguru mchemba hafai, angekuwa yuko kwenye nchi za falme za kiarabu adhabu yake ingekuwa kunyongwa..hili jamaa litengwe na jamii nilishetani ibilisi nguruwe pori kabisa, shenzi type, jinga pumbafff kabisa!
Mwiguru nchemba na alaanike yeye na kizazi chake, ni mwovu asiye mfano,ana kiburi kwa sababu anapewa kichwa na usalama wa taifa huwezi kukiri mwenyewe kuhusika na ugaidi ,na mchezo wa mmauaji,ukatajwa mahakamani kwamba unandaa vikundi vya wafanya fujo mikutano ya vyama vingine halafu ukaachwa tu,Mwigulu sasa hivi somo halielewi lakini kuna siku ataisoma namba ,kiwewe kimeshika anaweweseka, mapambio wanayoimba wapambe wake hapa hayamsafishi kitu
Ridhiwani mwana wa Jakaya amemkodishia Sadif ma UVCCM wamkong'ote na kumg'oa jana akipandisha ngazi pale Lumumumba kakabwa koo na mtu ambaye hata sio mwana UVCCM ( Nipashe Leo ) sasa koma kuact ki UVCCM hawajakusaidia kitu maishani mwako zaidi ya kukushusha hadhi na kupata hadhi ya mnafiki na ndumula kuwili nambari mojaWakati wa mapumziko ya Bunge leo Mwigulu alikuwa online facebook kujibu maswali ya wadau.
Kama una swali "LA MSINGI" just drop a line on his wall.
By the way, ameweka namba yake ya simu in case of queries.
Kama mnataka kujadili mambo serious seriously basi fanyeni hivyo. Kama mnataka kufanya mambo serious kibavicha bavicha basi msitegemee mabadiliko kuanguka kama manemane...
Mwiguru nchemba na alaanike yeye na kizazi chake, ni mwovu asiye mfano,ana kiburi kwa sababu anapewa kichwa na usalama wa taifa huwezi kukiri mwenyewe kuhusika na ugaidi ,na mchezo wa mmauaji,ukatajwa mahakamani kwamba unandaa vikundi vya wafanya fujo mikutano ya vyama vingine halafu ukaachwa tu,Mwigulu sasa hivi somo halielewi lakini kuna siku ataisoma namba ,kiwewe kimeshika anaweweseka, mapambio wanayoimba wapambe wake hapa hayamsafishi kitu
anza na mbowe alituma watu wamdhuru kibanda baada ya kuacha kazi tanzania daima
huna adabu, mwigulu lazima awakomeshe kwa ugaidi wenu, wewe na wafadhili wako na mabwana zako
thread hii imejaa upuuzi
Akili za bavicha hizi...
Wakati wa mapumziko ya Bunge leo Mwigulu alikuwa online facebook kujibu maswali ya wadau.
Kama una swali "LA MSINGI" just drop a line on his wall.
By the way, ameweka namba yake ya simu in case of queries.
Kama mnataka kujadili mambo serious seriously basi fanyeni hivyo. Kama mnataka kufanya mambo serious kibavicha bavicha basi msitegemee mabadiliko kuanguka kama manemane...
Kama mwana ccm mwigulu Nchemba ametuaibisha kabisa maana sasa santuli hii itabadilika sasa hv. Mwigulu funga mdomo acha vyombo vya sheria vifanye kazi. Propaganda haziwi hivi mtoto wewe mbona husikii nikushike sikio namna gani jamani mm! Badala ya kuungana tuwafurumushe mafisadi kwa ajili ya chaguzi za mwaka 2014/15, ona sasa unawapa kichwa cdm.
gaidi mkubwa wee, mwigulu atalindwa na mungu aliye hai dhidi ya dua zenu za kigaidi na zitawarudia lazima mdhurike tu
huna adabu, mwigulu lazima awakomeshe kwa ugaidi wenu, wewe na wafadhili wako na mabwana zako
mchemba
anahusika utekwaji wa kibanda angehojiwa kwa weledi tungepata mwanga wa
vifo na utekaji unaoendelea nchini pamoja na mtandao wake ungejulikana.huyu mtu ni
hatari,hafai kabisa! kiongozi gani anaendesha umafia?
mtasema yote mwaka huu magaidi nyie
Usitegemee Mwigulu kukamatwa kwa mahojiano kwa jeshi hili la polisi tulilonalo. Bahati mbaya sana jeshi letu la polisi huwa wanamkamata mtuhumiwa then ndio wanatafuta kosa kwa kufuata maelekezo toka lumumba
siyo kweli kaka hapo unapotosha kwani vyombo vya dora siyo vya ccm hoja ya kusema vinafanya kazi kwa maelekezo toka lumumba ni kupotosha uma acha uongo.