Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Yaani Membe hajawahi kusema tume huru wakati anashinda ubunge Mara zote Leo yuko nje ndo atake tume huru anayotaka yeye, ajiandae kunyolewa tu
Wakiwa nje ndiyo wanaona
Ni vizuri tuwe na akiba ya maneno

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Magu
Tunamsumbiri na Magu mwenyewe lazima aongee kesho akiapisha
Siyo level hiyo atazungumzia mambo ya kujenga nchi, ajenda za Magu ni SGR, JNHPP, Huduma za Afya. Haya mambo ya khanga pelekeni vijiweni.By the way unahabari kuwa jana kituo cha afya kule Buchosa kimefanikisha kufanya operation ya mama mjamzito na kumalizika salama, Kiumbe kinaendelea na maisha.Hizi ndiyo habari zinafaa Kushare na Jiwe siyo huu ushuzi wa Membe. Ni kweli ananuka tuu kama alivyojitabiria, eti niguse ninuke, hahahaàaaaaaaa great luzaaa
 

PHD za kununua utazijua tu
Mabeberu ni wakina nani? Yaani maneno ya kishabiki! Waziri wa sheria asiyetaka uchaguzi huru 😂. Usikotulia utafukuzwa tena kwa kujipendekeza kwa kupitiliza
 
Hahahhhhhhh aisee Afrika tuna safari huyu mwandishi ni msomi Dr. Tena wa first class na Waziri wa Taifa kubwa la Afrika mashariki!!!!!!!!
Aisee Mungu atusaidie
 
hivi mfano mtu akakutapeli humjui ila mwisho wa siku ukakuta huyo tapeli yupo na mtu wako wa karibu wanakula bata utahisi nn
 
Tukiwaambia ccm ya sasa wana akili za kushikiwa mtakataa?? Huyu eti ndiye Waziri wa Sheria na Katiba?? Tuna safari ndefu kama Taifa.

Yaani hawa ndiyo waliokwenda darasani na hirizi viunoni. Hata wakikaguliwa hivi sasa hamtaamini macho yenu. Yaani full ushirikina sababu ya Madaraka.
Mtu aliyesotea Phd yake hawezi kujianika kipuuzi namna hii.
 
kujikomba kunaendelea kumbe? Kule tweeter umeweka picha yake akiwa kavaa sare za jeshi. Ukichanganya picha hiyo na Ile aliyoshika mkoba wenye fomu ya kugombea kuongoza vyombo vya dola unapata jibu la kwanini unampigania na kuwaponda wazungu wanaokupeni misaada na mikopo kuwa wananchi wasahau uchaguzi huru na wa haki!
Tunajua ni kwanini tafrani ya covid-19 iliachwa ijiendee inavyotaka ili hao waangalizi wa kimataifa waogope Kuja nchini! Haiihitaji PhD Kama yako kuyabaini haya mnayompamba nayo huyo mteule wenu kwani wajanja tulishabaini mbinu zenu kitambo na tunawachora tu!
 
Hizi Phd za mlimani inabidi zikaguliwe kama veti feki

Ile ya Mkuu wa kaya tu ilithibitika kuwa ni Feki!!! Ndo maana waliohoji uhalali wake waliishia kupotezwa.
Kama mtu Unataka kufanya ulinganifu wa PhDs, Masters na Digrii za kawaida chukua Graduates wa UDSM uwapambanishe na wa Nairobi au Kenyatta universities ndipo utajua wapi wenye fake na genuine.....!!!!
 

Wewe lazima umlambe MEKO miguu maana hadi J2 unatumia gari la serikali kuzungukia Mashamba yako Bagamoyo!!! Tumepishana leo Bagamoyo Road na Gari la Serikali W KS.
 
PHD za kununua utazijua tu
Mabeberu ni wakina nani? Yaani maneno ya kishabiki! Waziri wa sheria asiyetaka uchaguzi huru 😂. Usikotulia utafukuzwa tena kwa kujipendekeza kwa kupitiliza

Kwa hii akili mbovu ya Mwigulu a.k.a Madelu System kama Waziri wa Sheria basi Watanzania watasubiri sana kupata Tume Huru na Katiba Mpya......It's like Daddy like son(Magufuli na Mwigulu)!
 
]Nikueleze wazi Mwigulu, mwenye tamaa ya madaraka ni Magufuli pamoja na waganga njaa mnaomzunguka Kama wewe, lakini kila kitu kina mwisho, yuko wapi Nkurunzinza na tamaa zake?

Yuko wapi Mobutu na tamaa zake? Yuko wapi Omar Albashir na tamaa zake? Duniani tunapita, Mwigulu kazana sana kutenda maovu kabla hujaenda mbele za Mungu kujibu uovu wako, yaani unaanzisha mada isiyo na hekima kulazimisha watu eti "Magufuli ndo Rais hakuna mwingine "halafu mnajiita wana Demokrasia kumbe Madikteta, mpo tayari kuua watu kwa sababu ya madaraka.

Na mmejiandaa kuua watu kwa sababu ya madaraka, wewe ndo Waziri wa katiba na sheria unasema upumbavu huu. I'm convinced kifo cha Mahiga hakikuwa cha Mungu, nyie watu your day is coming up
 
Wewe lazima umlambe MEKO miguu maana hadi J2 unatumia gari la serikali kuzungukia Mashamba yako Bagamoyo!!! Tumepishana leo Bagamoyo Road na Gari la Serikali W KS.

Ile sheria ya magari ya Serikali kuwa yame Park maofisini baada ya saa za kaxi na siku za weekend jamaa kaibatilisha lini? Hebu WAPELEKE hiyo taarifa hao jamaa wa PCCB au PCCM.....!!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…