Old story
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,264
- 2,152
nadhan nchi zingine zinaendaHivi kuna mtanzania anaendaga kuobserve uchaguzi wa Uingereza ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nadhan nchi zingine zinaendaHivi kuna mtanzania anaendaga kuobserve uchaguzi wa Uingereza ?
kama ndo huwa wanawapa mkopo sawa chukueni tuNauliza tu,, kwani hatuwezi kuchukua waangalizi wa kimataifa nchini Burundi na Uganda hata Rwanda?? Ninlazima watoke ulaya ???
Ukiwa na akili za nyumbu lazima uyapinge
Wakiwa nje ndiyo wanaonaYaani Membe hajawahi kusema tume huru wakati anashinda ubunge Mara zote Leo yuko nje ndo atake tume huru anayotaka yeye, ajiandae kunyolewa tu
Siyo level hiyo atazungumzia mambo ya kujenga nchi, ajenda za Magu ni SGR, JNHPP, Huduma za Afya. Haya mambo ya khanga pelekeni vijiweni.By the way unahabari kuwa jana kituo cha afya kule Buchosa kimefanikisha kufanya operation ya mama mjamzito na kumalizika salama, Kiumbe kinaendelea na maisha.Hizi ndiyo habari zinafaa Kushare na Jiwe siyo huu ushuzi wa Membe. Ni kweli ananuka tuu kama alivyojitabiria, eti niguse ninuke, hahahaàaaaaaaa great luzaaaTunamsumbiri na Magu mwenyewe lazima aongee kesho akiapisha
1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.
2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa mabeberu, Hatuhitaji KIRANJA kutoka popote awe mwangalizi au MCHOCHEZI aseme ndio kilichofanywa au kilichosemwa kiwe na UHALALI.
KIRANJA wetu ni Rais wetu.
3) Inaudhi Sana, wasio Watanzania waisimange nchi yetu, walioko mbali waisimange nchi yetu, na walioko ndani WATUMIKE kuisimanga nchi yetu, yaani hatuoni kazi zilizofanyika tunaona tu hatuna tume huru?????.
4) NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI, MIJITU MINGINE ILIKUWEPO NDANI TANGU UJANA WAO HADI SASA, LEO NDIO WAONE HATUNA TUME HURU?? MLISHAISHI MAISHA YENU TANGU ASUBUHI, JIONI YENU MNATAKA KUTUHARIBIA AMANI YA NCHI YETU, VIJANA TUKO MACHO, "HATUTATUMIKA" HATUTARUHUSU TAMAA ZENU ZA MADARAKA KUVUNJA AMANI YA NCHI YETU.
WALIOWATUMA WAPENI TAARIFA kwamba TANZANIA IPO IMARA, na ina KIONGOZI wa Nchi IMARA zaidi ya JANA.
Pia soma:
Elections 2020 - Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?
hivi mfano mtu akakutapeli humjui ila mwisho wa siku ukakuta huyo tapeli yupo na mtu wako wa karibu wanakula bata utahisi nnHii kitu Tume Huru inawatesa watu ila sijui kama wanafahamu Tume Huru ikoje. Nakumbuka upande wa Zanzibar walikubaliana na kuwa na kinachoitwa Tume Huru. Wajumbe wa Tume hii wakatoka CCM na CUF kwa idadi sawa. Mwenyekiti wa Tume ile alikuwa Mzee Jecha, sasa jana mzee Jecha kachukua form ya kugombea Urais kwa ticket ya CCM ghafla naona watu wanaibuka wanasema mnaona sasa tulisema Zanzibar hakuna Tume Huru hamkusikia Jecha kachukua form kwa ticket ya CCM. Wamesahau kwamba walikuwa na Tume Huru yenye wajumbe kutoka vyama viwili na hivyo Jecha alikuwa wa CCM lakini ndani ya Tume Huru anavyojitokeza kuchukua form, Tume inageuka kutokuwa Huru. Tume Huru ni ipi? Inatakiwa kuwaje? Labda wanataka Tume yenye wajumbe toka nje ya nchi
Hizi Phd za mlimani inabidi zikaguliwe kama veti feki
1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.
2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa mabeberu, Hatuhitaji KIRANJA kutoka popote awe mwangalizi au MCHOCHEZI aseme ndio kilichofanywa au kilichosemwa kiwe na UHALALI.
KIRANJA wetu ni Rais wetu.
3) Inaudhi Sana, wasio Watanzania waisimange nchi yetu, walioko mbali waisimange nchi yetu, na walioko ndani WATUMIKE kuisimanga nchi yetu, yaani hatuoni kazi zilizofanyika tunaona tu hatuna tume huru?????.
4) NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI, MIJITU MINGINE ILIKUWEPO NDANI TANGU UJANA WAO HADI SASA, LEO NDIO WAONE HATUNA TUME HURU?? MLISHAISHI MAISHA YENU TANGU ASUBUHI, JIONI YENU MNATAKA KUTUHARIBIA AMANI YA NCHI YETU, VIJANA TUKO MACHO, "HATUTATUMIKA" HATUTARUHUSU TAMAA ZENU ZA MADARAKA KUVUNJA AMANI YA NCHI YETU.
WALIOWATUMA WAPENI TAARIFA kwamba TANZANIA IPO IMARA, na ina KIONGOZI wa Nchi IMARA zaidi ya JANA.
Pia soma:
Elections 2020 - Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?
Hapa mwigulu anatetea nchi yake sio tumbo mwigulu hana njaa kama ukoo wenu
Nyie mnaendeleza huo u Yesu ndio wapumbavu kuliko yule alietamka pale bungeni.
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
PHD za kununua utazijua tu
Mabeberu ni wakina nani? Yaani maneno ya kishabiki! Waziri wa sheria asiyetaka uchaguzi huru 😂. Usikotulia utafukuzwa tena kwa kujipendekeza kwa kupitiliza
Wewe lazima umlambe MEKO miguu maana hadi J2 unatumia gari la serikali kuzungukia Mashamba yako Bagamoyo!!! Tumepishana leo Bagamoyo Road na Gari la Serikali W KS.
Nakuheshimu sana Pascal ila kwa hili, nakushangaa. Hivi DED ambaye ni mteule wa Rais anaweza kutenda haki kweli ikiwa anaona jahazi la chama chake linazama?
Yaani mwanaCCM akizamishe chama chake hivihivi kweli? Hata mimi naweza kichagua kuwa royal kwa chama langu aisee! Something is wrong....