Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

The complete lack of self respect in our society is appalling. Despicable
 
Hata Rais mstaafu, Mh. Mkapa, katika kitabu chake, aliongekea umuhimu wa kuundwa Tume huru ya uchaguzi. Hii ni ishara kuwa hii "taasisi" haiko huru!
Kwann aliweka pamba alipokuwa na nafasi ya kuleta tume huru.Si ajabu magu akiwa nje ya mfumo nae kuililia tume huru,Kama anavoililia membe, Lowasa na sumayi Sasa.Hii ukamilisha msemo "watawala wa kiafrica huwa na akili wakishatoka madarakani"hata Nyerere ukisikiliza clip zake nyingi ni za kujutia aliyoyafanya.
 
Chama cha Magufuli (CCM) kinashiriki uchaguzi afu Magufuli ndo mgombea na msimamizi hapo hapo. Hiyo phd ya Mwigulu ni ya nini?
Walishauza chama hawana tena sauti nacho,uoga wa kushindwa umepelekea kuprintiwa kwa fomu moja tu ,ni mwendo wa kutawala na wakoloni wa kisukuma Hadi Yesu atakaporudi
 
Nakuunga mkono asilimia mia muheshimiwa lazima tumuunge mkono amiri jeshi mkuu
 
Asipotoka October atoki kesho Wala keshokutwa,Kama ameweza zuia wengine wasichukue fomu kwa hofu ya kushindwa atashindwa vipi kuheshimu ukomo.
 
Mwambie akafute kwanza yale mawe aloandika Mwigulu Rais 2015 isije mkulu akapita akadhani ni ya mwaka huu akamtumbua!
 
Ukitaka CCM wakutukane waambie habari za tume huru. Hata huyu anajua kma tume ipo huru bungeni harudi ngoo.
 
Yani Kiongozi ningekuwa sihofii maisha yangu ningekutukana.
Basi tu mmeshika dola.
 
Tume huru hakuna wewe mchumia tumbo.Watanzania wote wanajua,na ndo maana hawataki kusikia kuwa kuna kwenda kupiga kura.It is wastage of time. Watanzania hawaitaki CCM. This is a fact.

JamiiForums-1070046277.jpg
 
Back
Top Bottom