Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Anajiita mchumi first class..
Atakuwa MCHUMI-a TUMBO na siyo Mchumi....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajiita mchumi first class..
Keshaokolewa na kupaishwa mawinguni.Yule mwingine kamfananisha na Yesu Kristi,Sijui ameshafutiwa kesi
Hawa ni wasomi bandia. Wamesoma bila kuelemika.Napata shida kuamini kama hayo maneno yametoka kwa msomi first class
Kwann aliweka pamba alipokuwa na nafasi ya kuleta tume huru.Si ajabu magu akiwa nje ya mfumo nae kuililia tume huru,Kama anavoililia membe, Lowasa na sumayi Sasa.Hii ukamilisha msemo "watawala wa kiafrica huwa na akili wakishatoka madarakani"hata Nyerere ukisikiliza clip zake nyingi ni za kujutia aliyoyafanya.Hata Rais mstaafu, Mh. Mkapa, katika kitabu chake, aliongekea umuhimu wa kuundwa Tume huru ya uchaguzi. Hii ni ishara kuwa hii "taasisi" haiko huru!
Walishauza chama hawana tena sauti nacho,uoga wa kushindwa umepelekea kuprintiwa kwa fomu moja tu ,ni mwendo wa kutawala na wakoloni wa kisukuma Hadi Yesu atakaporudiChama cha Magufuli (CCM) kinashiriki uchaguzi afu Magufuli ndo mgombea na msimamizi hapo hapo. Hiyo phd ya Mwigulu ni ya nini?
Ungeni hata miguu Ila kilio ni cha woteNakuunga mkono asilimia mia muheshimiwa lazima tumuunge mkono amiri jeshi mkuu
Amini nakuambia sio wote wanaoliaUngeni hata miguu Ila kilio ni cha wote
Wapiga dili wa awamu hii ni kicheko tuAmini nakuambia sio wote wanaolia