Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

1629447930814.png
 
Kodi watu hawapingi,, shida ya nchi hili ni ubadhilifu, kesho na keshokutwa unasikia fedha zimechotwa, sijui nanii kapiga bilioni 2, halafu wanachekeana, lau kama wangekuwa serious(mafisadi wachukuliwe hatua, matumizi ya serikali yapunguzwe, wabunge mishahara ipunguzwe, walipe kama wengine, na kero ndogo ndogo) sio tu kodi, bali wananchi tungekuwa tuko radhi kuchangia mradi fulan.. Tuliweza kuwachangia watani(yanga) [emoji23][emoji23]ndio tushindwe vitu vya msingi kwa serikali yetu bwana.
 
amesema kwa kipindi cha mwezi mmoja Serikali imekusanya Sh 24 bilioni, kutokana na tozo za mafuta ambazo ni mahususi kwa ajili ya kujenga barabara.
Mbona anafanya uhuni, labda hawa Wanyiramba wanatuona sisi wajinga, hizo fedha za kwenye Zutu zilikuwa zinakatwa tokea kipindi cha Awamu ya tano ndio maana wakaachana na Motor Vehicle Licence.
 
Back
Top Bottom