Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

Kuna mda watu wanashinda pakualalama kutokana na serekali kutofanya tafiti kujua watu wanavoumia na tozo zako.
Sasa kama unaleta haya
IMG_8538.jpg

IMG_8537.jpg

IMG_8536.jpg
 
Hapa nimejifunza kitu kimoja kuwa kipanya ni mtu wa ndani anayejua mipango yote huko ndani ndio maana katuni zake zinafikirisha sana ila ziko wazi sana kutoa ujumbe sahihi.
Ona hiyo juu imetoka leo msela anasepa na maburungutu ya mapato ya serikali. Madelu kaja kuuthibitishia umma wa watanzania kuwa imekusanywa 48.4 Bilioni na wamepeleka 22Bilioni kwenye miradi hivyo 26.4Bililioni imeyeyuka ila kipanya katuonesha kuwa kuna kigogo kasepa nayo home.
Kipanya huenda ana taarifa kidogo kuliko wewe ulizonazo.
Pia huenda akawa na akili chini ya robo ya ulizonazo wewe nk
Ukuu wa Kipanya ni kuwa kwa zaidi ya miaka 30 sasa (consistently) ametambua kuwa miaka ya maisha ni mifupi mno na amechagua kuishi kwa kuamini na kufanya anachokiamini. Watz/watu hata 50% tungechagua mwelekeo huo ina maana leo TZ/Africa/dunia inekuwa mahali bora pa kuishi
 
MAONI YA MLIPA KODI MWANANCHI : MRADI WA RELI SGR MPYA NI UFUJAJI WA FEDHA USIOLINGANA NA MATOKEO CHANYA YA KIUCHUMI
The Tanzanian Government intends to invest around $14.2bn over the next five years to construct a 2,561km standard-gauge railway network, which will connect its Indian Ocean port of Dar es Salaam to the other regions within the country. Source : Turkey's Yapi Merkezi wins $1.92bn Tanzania railway contract

Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) nchini Tanzania unaridhisha!​


ULIPOFIKIA MRADI WA SGR RELI
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa, SGR umesaidia kutengeneza ajira 18, 000 unatarajiwa kukamilika Juni 2021.


Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa, SGR umesaidia kutengeneza ajira 18, 000 unatarajiwa kukamilika Juni 2021. (AFP or licensors)
ULIMWENGU

Ujenzi wa reli kutoka Morogoro hadi Makutupora, Dodoma (km. 422) ulianza mwishoni mwa mwaka 2019 na sasa hivi umefikia asilimia 30 ya kazi, ambapo wanatarajia kuukamilisha ifikapo Juni, 2021. Waziri Mkuu amesema, umeme pia umeanza kuwekwa ambapo nguzo 154 kati ya 160 zinazotakiwa kuwepo zimeshasimikwa. Nia yetu ni kuhakikisha kuwa umeme upo saa zote.”


Na Ofisi ya Waziri Mkuu, - Pwani.
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) na kusema kuwa mradi huo umesaidia kupungua tatizo la ajira kwa kuajiri wafanyakazi 18,700. “Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu, kumesaidia kupunguza ukosefu wa ajira kwa kutoa ajira 7,400 kwa kipande cha Dar hadi Morogoro. Kipande cha Morogoro hadi Singida kimetoa ajira 6,300 wakati mradi wa umeme kutoka Bwawa la Mwalimu Nyerere nao pia umetoa ajira 5,000,”. Waziri Mkuu amesema hayo Alhamisi, Mei 14, 2020 baada ya kutembelea mradi huo na kuzungumza na wananchi aliowakuta kwenye stesheni ya Soga, iliyoko wilayani Kibaha, mkoani Pwani. Faida nyingine ya mradi huo katika awamu yake ya kwanza, ni kupunguzwa kwa muda wa safari kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Amewataka wananchi hao wawe walinzi wa mradi huo kwa sababu utakapokamilika utawanufaisha na wao pia.
Reli hiyo itakuwa na vituo sita vya Dar es Salaam, Pugu, Soga, Ruvu, Ngerengere na Morogoro, huku vituo vya Dar es Salaam na Morogoro vikiwa ndiyo vituo vikuu. “Kwenye vituo vya kushusha abiria vya reli hii, kutakuwa na huduma za kibenki na maduka, kwa hiyo wananchi hata kama hamsafiri, mtaweza kupata huduma na mahitaji yenu kutokea hapo,” amesema. Akielezea maendeleo ya mradi huo unaojengwa kwa awamu mbili, Waziri Mkuu amesema Serikali iliweka malengo ya kukamilisha mradi huo kwa wakati na ndiyo maana aliamua kwenda kuukagua. “Katika awamu ya kwanza, ambayo inatoka Dar es Salaam hadi Morogoro (km. 300), mradi huu umekamilika kwa asilimia 77.91. Hii maana yake ni kwamba wamemaliza kazi hii kwa zaidi ya robotatu. Wametengeneza njia na kulaza mataruma na mimi nimekuja na hii treni maalum kwa karibu kilometa 20,” amesema huku akishangiliwa na wananchi hao.
“Rais wetu, Dkt. John Pombe Magufuli alianzisha mradi huu na kuwaahidi Watanzania kwamba tunaweza kuujenga kwa fedha zetu. Vilevile, mradi huu ni utekelezaji wa agizo la Ilani ya CCM ambalo linaitaka Serikali ya awamu ya tano, iimarishe usafiri wa reli nchini.” Amesema katika kutekeleza agizo hilo, Serikali ya awamu ya tano, mbali ya kujenga reli hiyo ya kisasa, imefanikiwa pia kufufua reli ya kutoka Dar – Tanga – Moshi ambayo ilikuwa haitumiki kwa zaidi ya miaka 20. Huduma ya mizigo katika reli hiyo ilikuwa haifanyi kazi kwa miaka 12 na huduma ya kusafirisha abiria ilisitishwa tangu mwaka 1994. Akielezea kuhusu awamu ya pili ya ujenzi wa mradi huo, Waziri Mkuu amesema ujenzi wa reli kutoka Morogoro hadi Makutupora, Dodoma (km. 422) ulianza mwishoni mwa mwaka 2019 na sasa hivi umefikia asilimia 30 ya kazi, ambapo wanatarajia kuukamilisha ifikapo Juni, 2021.
 
Ni waziri mjinga, ila sishangai maana nchi yenyewe inaongozwa kimbumbumbu. Hatujui tunakoenda, na tunachotaka. Umaskini hautapungua kwa kuendelea kuongozwa na viongozi tulionao.
 
Huyu waziri boya sana, yani umbuwaa kabisa, anafikiri watu wote hawana akili kama yeye.

Huu muda wote uliopita sio kwamba alikua anashughulikia chochote, alikua anavuta muda ili wananchi waendelee kunyonywa tu. Leo pia hajaongea chochote cha maaana zaidi ya kutoa tamko la kuvuta muda tena wa mwezi mzima kuweka namba sawa.


Mwisho wa siku, hii danadana itakwenda mpaka 2022, kila siku utaskia tuvute subira.
 
Hongera kwa collection of 48 billion kwa mwezi. Kwa trend hii wanategemea kufika expected target of collection? I doubt kama watafika 50%. Wakienda na trend hii watakusanya 600 billion max.
 
Hivi na yeye kipindi hiki angeambiwa akatwe tozo kama hizi za sasa hivi, angekubali kweli?

View attachment 1899463

MAONI YANGU:
Andika barua ya kujiuzulu, hufai kuwa Waziri Wa Fedha.
Tozo
Hivi na yeye kipindi hiki angeambiwa akatwe tozo kama hizi za sasa hivi, angekubali kweli?

View attachment 1899463

MAONI YANGU:
Andika barua ya kujiuzulu, hufai kuwa Waziri Wa Fedha.
Tozo bado ipo juu mnatuumiza wananchi wanyonge. Pia hatuna hakika na nyie, wengi wenu bado mafisadi sana, mnanuka rushwa. Tunaomba jeshi lisimamie mapato yote ya tozo na miamala iwe kwe clear guys
 
Back
Top Bottom