Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

52 (no of wks/yr)÷4×48.49B = 630B. Hiyo ndiyo itakuwa collection ya mwaka basesld on the figures za wiki 4. Lakini kuna hatari kubwa ya kushuka zaidi kwa sababu watu walikuwa na akiba zao ilibidi wafanye miamala tu. My estimate ni kuwa makusanyo hayatazidi 400B.
 
Ni vigumu kuamini tarakimu zinazotolewa maana serikali hii haisemi ukweli.
 
Ninavyo jua maadui zetu ni UJINGA, UMASKINI, NA MARADHI!
Wamepungua au wameongezeka?!
 
Ule usemi "majority rule, minority right" sasa umekuwa kinyume chake.
 

..serikali imelazimika kuwakamua wananchi kwasababu imefanya maamuzi mabaya ya kununua ndege kwa gharama ya sh trillioni 2.

..mradi mwingine wa hasara ni ujenzi wa mji mkuu Dodoma ambao gharama zake ni sh billioni 300. Hapo hujachanganya na hasara ya kwenda na kurudi Dsm mara kwa mara.

..tungeepuka kujenga Dodoma,na kununua ndege toka kwa mabeberu, tungekuwa na trillion 2 + billion 300 + billion 630 [tozo] kwa ajili ya miradi inayogusa WANANCHI wengi zaidi.
 
Kwa hiyo kwa mwaka zita kusanywa Tzs 2.496 Trillion!
 
Nafikili hata Kama serikali ingekua imekusanya 1 t, as long as ni kodi itokanayo na kumkandamiza mwananchi, haiwezi kua na baraka mbele za Mungu,

Ndio waliokojuu wanafurai kupata iyo pesa ila waelewe pitia Makato yao wanayoyakingia kifua wamekosa pia baraka mbele za Mungu, twende tu
 
Duu Billion hizo za jasho la ya wananchi. Tozo hizi ni kubwa mno,na zinavunja sheria za TRA double taxation and kuua makampuni ya simu. Kwani Kampuni zinalipa tax kama kawaida kwa mauzo/mapato yao tena mnaingia kwenye biashara yao na kuongeza makato kwa wateja wao? Huku mkiendelea kuwatoza Tax makampuni ya simu. Raisi amelizungumzia linafanyiwa kazi wewe unasifia tozo hizo kuna nini?
 
Mwigulu anadai too imeongeza Kama shs 10 kwa muamala ni kwamba hajui uhalisia wa makato kabla na baada ya wizi huu uliobatizwa tozo ya mshikamano
 
Mi nilishashindwa kumuamini huyu jamaa...... Lakin pia nakumbuka tulitaarifiwa watajenga barabara huko bush leo gia imebadilishwa angani na hakuna kitu tunaweza wafanya mweeeeᕙ( ͡◉ ͜ ʖ ͡◉)ᕗ
 
Tozo na kodi Walisema za maendeleo, Hapo hapo tena, waziri anasaini mikopo ya fedha za maendeleo on the same area ya elimu,barabara na umeme.... Nchi Ngumu hii
 
Tatizo ñi yule farasi aliyekubali kufa kwenye ile ajali maana angegoma hili dubwana lingefyekelewa mbali na huu uchafu unaotokea wala usingetokea
 
Bilioni 22, kujenga vituo vya afya 90, unapotaka kugawa ili kujua kituo kimoja kitagharimu shilingi za kitanzania ngapi, unakutana na hesabu nyingine Bilioni 15, kujenga vituo vya afya 150.
Kwetu tuna kamsemo
#TuNeVoNa#
 
Siasa za kisanii kuna siku zitalighalimu taifa letu.
Ni kweli kabisa longo longo nyingi sana, sasa vodacom wenyewe wamesema mapato ya miamala yameshuka, waziri anapinga daaah..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…