Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

Watuambie kwanza rais yuko wapi
20210311_215612.jpg
 
Waziri wa katiba na sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.

Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?View attachment 1723074
It is high time now these people who spread rumours got to be accountable. It is too much!
 
Wale wakenya miyeyusho sana. Aanze na hao
 
Hivi issue kama hii inatakiwa iwe addressed na waziri wa Katiba na Sheria au waziri wa mambo ya ndani?
 
Kwahiyo atawakamata wakenya wote televisheni zao , redio zao , blogs , maana wakenya wanamwaga mtama kwenye kuku balaa , aanze nao kama ubavu anao .
Sio wakenya tu, issue has already gone viral in different country's social media. Atajifanya mjanja kudeal na walio ndani ya mipaka ya Tz😆😆
 
waziri wa sheria ASIYE mwanasheria...maajabu ya uchumi wa kati!.

Wewe bila shaka utakuwa clueless juu ya kazi ya waziri. Ni mawaziri wangapi wako kwenye wizara ambazo ziko aligned na professions zao?
 
Back
Top Bottom