Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Ila kuna wizara huwa zinapendezea zaidi akiwa mtu ambae mwenye pro inayo endana mfano, Afya hata uchumi na mambo ya fedha
Kila inapowezekana, yes, lakini sio lazima. Wapo watu wenye uwezo mkubwa wa kuongoza; hata ukimpa wizara ya afya anaweza kufanya vizuri pengine kuliko waziri ambaye yeye mwenyewe ni seasoned medical professional.