Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

Waziri wa katiba na sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.

Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?View attachment 1723074
Sawa Mheshimiwa. Ila tamko hili lilipaswa kutolewa na Igp, TCRA, Mambo ya ndani na Msemaji Mkuu wa Serikali. Wewe upo katiba na Sheria wajibu wako ni Kusimama Sheria za Nchi na Katiba Mapendekezo na Utekelezaji. Hata hivyo hawa Wazushi wanakera.
 
Mange alipewa hela?
Alikiri mwenyewe kupewa 900M ili aache kumuongelea mzee baba. Baadae akaja akaifuta hiyo post. Na kweli aliacha, sometimes akawa anadonoa donoa but in a positive way
 
Na wewe ukaamini kapewa milioni 900 ili aache kuposti mitandaoni?
Hiyo ni juu yangu whether kuamini au kutoamini, mimi nimekwambia kilichoripotiwa na yeye mwenyewe kukiri.
 
Nilidhani jambo hili linamuhusu Dr Ndugulile na IGP!
This is what I thought at first place. Naona kuvuka mipaka kwingi, kujipendekeza kwingi, na kutaka kudraw people's attention kwake kwiiing kwa jamaa yetu huyu😆😆🙌
 
Tundu muondoe kwenye orodha, dish limeyumba yupo kwa dokta tayari kwa maelezo ya mwanafamilia
Na ndo huyo huyo kipenzi cha watu wa sera za upinzani
nchini😊
Na ndo huyo huyo kupitia michango yake mbali mbali bungeni rais Kikwete alifanya amendments nyingi na kumsikiliza pale alipohitaji ushauri wa kisheria za kimataifa.🤝

Na ndo hiyo huyo aliyekuwa akiogopwa na speaker wa kwanza mwanamke Tanzania.🙆

Ndo huyo huyo mlitaka kumuua ndani ya uzio wa nyumba za wabunge na mawaziri, mkaficha mpaka CCTV Cams, na kutoa ulinzi magetini wakati shambulio linatekelezwa kwa kummiminia risasi zaidi ya 30 na 16 kuingia ndani ya mwili wake. Kwa Neema za Mungu mwenye enzi bado anaishi.🙏
Na ndio huyo huyo mliemnyima stahiki zake zote za kimatibabu ili akose huduma lakini watanzania wakamchangia, wakenya wakamchangia na diasporas wakamchangia.🤝

Na ndio huyo huyo aliyeuliza RAIS MAGUFULI YUPO WAPI? na dunia nzima imetaharuki na viongozi mbalimbali na mataga kutoa matamko mbalimbali yasiyo nakichwa wala miguu😆😆
HUYO NDIYE TUNDU ANTIPAS LISSU (Live long)
 
Alikiri mwenyewe kupewa 900M ili aache kumuongelea mzee baba. Baadae akaja akaifuta hiyo post. Na kweli aliacha, sometimes akawa anadonoa donia but in a positive way
Hapana, hakuwahi kukiri!
 
Waziri wa katiba na sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.

Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?View attachment 1723074
Angefanya vizuri kama angeanza na yale magazeti yao ya propaganda. Ya kila siku.. Yaliyozushia watu vifo jana
 
Wapinzani wapi waliuwawa? Unazungumzia wale waliotolewa kafara kule Pemba na kuacha wanasiasa wachache wakinufaika na SuK?

Unadhani kwakuwa vyombo vya habari haviko huru kutangaza ndio ukweli haufahamiki?
 
Utamwelewa kama wataka. Anapeleleza yeye. Anakamata yeye. Anahoji yeye. Anasililiza yeye. Anahukumu yeye. Anafunga yeye. Na anatangaza hayo yote mwenyewe Twitter!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom