Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

Ni "naibu waziri mkuu"?
Nakumbuka ya Augustino Mrema enzi za mzee ruksa!
 
Wewe bila shaka utakuwa clueless juu ya kazi ya waziri. Ni mawaziri wangapi wako kwenye wizara ambazo ziko aligned na professions zao?
Hilo linafahamika lakini kuna wizara chache sana ambazo hazipaswi kuwa hivyo, miongoni mwao ni hiyo wizara ya sheria na katiba, nyingne wizara ya fedha, hata wizara ya afya.

Na hata ukilazimisha kwa kumpachika yeyote ilimradi kujaza nafasi, ufanisi unakuwa mdogo...ujanja ujanja pekee hautoshi tofauti na wizara za TAMISEMI, habari na michezo, jinsia na watoto, mambo ya ndani nk nk
 
Wewe bila shaka utakuwa clueless juu ya kazi ya waziri. Ni mawaziri wangapi wako kwenye wizara ambazo ziko aligned na professions zao?
Ila kuna wizara huwa zinapendezea zaidi akiwa mtu ambae mwenye pro inayo endana mfano, Afya hata uchumi na mambo ya fedha
 
My future president i believe u can do better than this! Acha vitisho hii ni dunia nyingine sio ile ya 47
 
Waziri wa katiba na sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.

Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?View attachment 1723074

Wapinzani walivyouliwa kwenye uchaguzi mbona hakufuatilia ? Au kwakuwa yeye ni mnufaika wa umwagaji ule wa damu na wizi wa kura? Akatishie mapeasant wenzake huko kijijini kwao.
 
hilo linafahamika lakini kuna wizara chache sana ambazo hazipaswi kuwa hivyo, miongoni mwao ni hiyo wizara ya sheria na katiba, nyingne wizara ya fedha, hata wizara ya afya.

na hata ukilazimisha kwa kumpachika yeyote ilimradi kujaza nafasi, ufanisi unakuwa mdogo...ujanja ujanja pekee hautoshi tofauti na wizara za TAMISEMI, habari na michezo, jinsia na watoto, mambo ya ndani nk nk

Hakuna wizara isiyokuwa na professionals. Ministers are just there to offer leadership. Kiongozi mzuri anachofanya ni kuratibu na kuunganisha juhudi za wataalamu walio chini. A good leader isn’t a doer! Anachohitaji ni team ya watu wenye weledi na dedication.

A good leader can successfully lead a team of scientists, for example, even if (s)he isn’t a scientist himself/herself. Possessing intimate knowledge of their professional work is important, but it isn’t a do-or-die thing. Utayari wa kusikiliza na kujifunza ndiyo muhimu zaidi!
 
Viongozi anamaanisha nn...... Amaanisha Mbowe? Anamaanisha john mrema pia? Anamaanisha mbeba maono Tundu lissu pia? Au anamaanisha wahuni ambao hata wakihojiwa zilipo trillioni 1.7 wanataka kuua watu?
na kingine sio eti lazima awe kiongozi tu au kumzushia mtz yoyte kifo inakuwa sawa pia??
 
Nadhani ni kujielewa kwa kila mtu na kutambua thamani ya mwenzako swala la eti kwakuwa kiongozi amezushiwa basi na ndo uchunguzi ufanyike sio sawa inahtajika kwa kila mtu hata kama ni mtz wa hali ya chini kumzushia mtu kifo ni ishu nyingne kabisa
 
Back
Top Bottom