Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

Kwanza kavunja sheria kawezaje kupost twitter na wakati TCRA wameifunga na tulishapewa onyo matumizi ya VPN ni illegal?
Unaingia bila VPN now.

Huwa wanaachia sometimes
 
Waziri wa katiba na sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.

Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?View attachment 1723074
It is high time now these people who spread rumours got to be accountable. It is too much!
 
Wale wakenya miyeyusho sana. Aanze na hao
 
Hivi issue kama hii inatakiwa iwe addressed na waziri wa Katiba na Sheria au waziri wa mambo ya ndani?
 
Kwahiyo atawakamata wakenya wote televisheni zao , redio zao , blogs , maana wakenya wanamwaga mtama kwenye kuku balaa , aanze nao kama ubavu anao .
Sio wakenya tu, issue has already gone viral in different country's social media. Atajifanya mjanja kudeal na walio ndani ya mipaka ya TzπŸ˜†πŸ˜†
 
waziri wa sheria ASIYE mwanasheria...maajabu ya uchumi wa kati!.

Wewe bila shaka utakuwa clueless juu ya kazi ya waziri. Ni mawaziri wangapi wako kwenye wizara ambazo ziko aligned na professions zao?
 
Tunajua ni stres za kupigwa kwenye box la kura! Ukijumlisha na yaliyomkuta basi hiyo ni sehemu ya tiba kwake!

Waulize hata wana saikolojia watakwambia hivyo
Sasa kunahaja gani madilu system kutisha watu
 
Heheeee huyo kashanyang'anya wizara ya mwenzie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anajikuta kama ni waziri wa mambo ya ndani hivi!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…