kwa kauli hizi umetusaidia saaana!! Mheshimiwa hapa ndo tulipataka hapa!!!! Tumekuelewa baba kumbe tayari.Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiw....
sidhani km watu wataenda kusali au kufanya sala mdhubuti!!!nashauri waziri alete mswada wa kumuombea rais kila ijumaa
Mungu amesikia kilio cha wengi hayupoNilidhani jambo hili linamuhusu Dr Ndugulile na IGP!
Alowekwa benchi analipa fadhila hatumuogopi.... tunataka hakiiwaziri wa sheria ASIYE mwanasheria...maajabu ya uchumi wa kati!.
Rais Magufuli amefariki dunia.Mbona anatoa matamko yasiyoihusu wizara yake?
Kwani Mwigulu amekuwa ndio Raisi wa nchi hii?
Rais Magufuli yuko wapi?
PhD za viongozi wanazopata wakiwa kwenye full time job kama Uwaziri ni za kulipa fedha unaandikiwa au ku- plagiarize. UDSM wameikosea sana Tanzania kwa PhD ya Magufuli na MwiguluNilikua nahisi Mwigulu lameck Madelu Hana akili. Kupitia itv kadhibitishia ulimwengu kwamba kweli Hana akili na Kuna uwezekano hiyo PhD yake niyaku plegiarise.
Inashangaza sn mkuuHuyu jamaa amekuwaje Waziri??
Nafikiri ushamba na ulimbukeni wa kile kiti cha kuzunguruka, ukikua unachunga punda na kondoo, utavikalia wapi??πNilikua nahisi Mwigulu lameck Madelu Hana akili. Kupitia itv kadhibitishia ulimwengu kwamba kweli Hana akili na Kuna uwezekano hiyo PhD yake niyaku plegiarise.
Ni kweli hizo zao ni za kununua live.......hakuna ubishiPhD za viongozi wanazopata wakiwa kwenye full time job kama Uwaziri ni za kulipa fedha unaandikiwa au jus plagiarize. UDSM wameikosea sana Tanzania kwa PhD ya Magufuli na Mwigulu