Mwenzako anaota kuwa Rais wa kwanza Mlutheri, aahhaaaaKwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.
Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.
Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.
Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yaje hakuwa ns mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.
Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.
Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?
Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Ahaaaaa, we warushie Kuni, fimbo, mawe wapigane vizuriWana CCM sitaki kuingilia ugomvi wenu
Mwigulu ni kilaza wahed,yupo yupo tuWatamchagua mabomu wenzake.
Mteuaji na mteuliwa.......Na aliemteua je!!! [emoji848][emoji848][emoji848]
Mwigulu, Makamba, Nape ni vijana wa JK, kawalea, kawakuza na kuwapa ramani ya maisha ya kisiasaPale mama kauingia mkenge.
Nani,FF!?Naanza kuwa na mashaka huyu ni jinsia Me
Kwanini humpendi Mwigulu Bi Mkubwa? Naona hisia zaidi unatoaKwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.
Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.
Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.
Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.
Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.
Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?
Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Hakuna ugomvi hapa, kuna demokrasia ndani na nje ya CCM.
........Mteuaji na mteuliwa.......