Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Amlete Dr. Saada Mkuya
 
Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Huenda kwa mara ya kwanza kabisa ninakubaliana nawe humu JF juu ya jambo lolote; lakini kwa bahati mbaya hata hili ambalo ningekubaliana nawe naona unalivuruga.

Wote uliowataja katika mistari hiyo mitatu hawafai kabisa kushika nafasi walizo nazo kwa sasa.
 
Mwigulu hana haiba wala busara za kuwa kiongozi, mwanasiasa au mwakilishi wa wananchi...

Ana tabia zile za watu wa Singida, hawa ndugu zetu ni watu wenye dharau/wajivuni sana juu ya watu wengine haswa wakishafikia daraja fulani la kisomo (mifano ipo wazi kwa kina Lissu, Nyalandu n.k)

Inawezekana akawa ni mtaalamu wa uchumi, na ingetosha tu akawa mtendaji kama Katibu Mkuu wa wizara, Gavana au Mshauri wa Uchumi...
Mazigazi jamaa yeye kajikita kwenye ukabila, mtoa mada yeye alijikita kwenye Sanaa ya uwasilishaji Bajeti
 
Hilo nalo no tatizo letu

Hapa hatuna akili kabisa.
Akili tunazo, tatizo ni namna ya kutumia, jamaa kauliza vyema atolewe awekwe nani? Kwa misingi ya taaluma na si haya mengine ya "art" au unyiramba au udini kama ulionao wewe, Mwigulu mule Bungeni akishindanishwa na wengine hata akishindwa hatotoka kwenye top 5 kwa merit based criteria labda haiba yake, ufisadi, dhulma n. K lakini ni msomi mzuri tu mwenye bahati mbaya ya kutokueleweka mbele ya umma, nadhani dhambi ya kunyanya wazalendo/Watanganyika wenzie "Gizani" ndio inayomtafuna na anaelekea kuilipa. "karma" Cc Pascal Mayalla
 
Mwigulu ni kilaza wahed,yupo yupo tu

Waziri mzima anaona fahari kupiga picha kama ndiyo ishara ya yeye kupongezwa Kwa uchumi mzuri

Kweli kupiga picha ndiyo criteria ya kupima uwajibikaji wa majukumu ya mtu kweli!?

Pathetic
Mavilimba haya si majina ya kinyiramba unamponda nduguyo?
 
Kisa ni Lameck, mbona January usemi kitu?

Angekuwa Abubakar usingesema atolewe
 
Tofauti ya mtoa na mada na Mwigulu ni ndogo sana! Sema ndo hvo tu Moja kamuwahi mwenzake ktk kufungua sirid
 
Mzee wa,,Kama nchi Bado ""TUNAKOPESHEKA""na deni bado ni "STAHIMILIVU"
 
Anasema yeye ndiyo Mchumi mbobezi kwa kusomea,

Kuongezea anasema yeye ana Udaktari(PhD) wa Kusomea sio wa kupewa [emoji119]

Na mwisho kabisa alisema kama utaona Maisha magumu Tanzania basi wote kwa ujumla tuhamie Burundi eti [emoji2297]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom