Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Connection
 
Yuko pale kwa sababu maalumu
 
Rais ndo anajua anampendea nini. Nyie wengine hamwezi elewa. Mwacheni Rais apige kazi.
 
[emoji1787][emoji1787]faiza,nawe umeona mwigulu hajui kuongea eeh?anaongea kama mtoto mwenye uji mdomoni, hata hivyo mtu wa iramba na art ya kuzungumza wapi na wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Raisi hana muda wa kufatilia Utendaji wa Wateule wake.. Anachojua ni kuteua na kuhamisha basi.
 
🤣🤣faiza,nawe umeona mwigulu hajui kuongea eeh?anaongea kama mtoto mwenye uji mdomoni, hata hivyo mtu wa iramba na art ya kuzungumza wapi na wapi?
Yaani yule jamaa hana muono kabisa.

Khaa, dunia ya leo inakwenda kasi ya ajabu anaongelea doria za Mipakani liziongezee taifa kipato?
 
Pale mama kauingia mkenge.
Amewekwa hapo kimkamkati na si kwa maslahi ya Taifa.

Mwigulu Nchemba na January Makamba ni uvundo anaoubeba mama atalajie na yeye atanuka tu, gari la taka haliwezi kupitia bila kuacha harufu ya uozo.
 
Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Unaemwambia ndio huyo hasikii wala haoni kwa mnayoongea ninyi wananchi
 
Mwigulu amshukuru sana Mwenyezi Mungu. Maana hapo alipo na kwa utendaji wake ni majaaliwa tu.
Mbona Mungu hausiki hapo? Mambo mengine kama wa kushukuriwa basi amshukuru shetani, Mungu hapendezwi na ujinga ujinga kama huu.
 
Kishinba kambutua tena sasa hivi, anamshangaa benkinhakuna pesa wakati mita 50 kutoka benki kuna tani za dhahabu zinauzwa na kununuliwa kila siku.
Kweli ni majanga. 👇🏾

Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Eeh mlishangilia wakati mwendazake akiwapitisha kwa style ya" huyo mupe huyo muruke " zee la hovyo
 
Pale mama kauingia mkenge.
Dada Faiza hakuna siku nilishangaa kama siku ile Wafanyabiashara Kariakoo wametangaza mgomo alafu jamaa yupo tu ata kwenda kuwapooza na kushughulikia kero zao!
Yaani sehemu ambayo inaingizia serikali zaidi ya Bilioni 15 per month unaiacha inaingia kwenye chaos!!!
Huyu jamaa anamuharibia Mama sana,hafai kabisa!
 
Mama ni mchapa kazi na mbunifu sana, ni mtu wa kutatuwa matatizo.

Kwa Mwigulu mama inabidi amuondoe tu wizarani.

Waziri gani anakosolewa zaidi ya mara moja na Spika?
Hakuna cha ubinifu pale wote wezi tu.
 
Back
Top Bottom