Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe


Kaka hili chaka nenda kajipange upya.
 
Kama e mail siyo yako kwa nini mmeenda polisi kushitaki e mail zenu zimekuwa hacked?
 

Historia yake inaonyesha hivyo ni mpuuzi kweli.
 
Pole sana mkuu, it is a shame mambo haya yanafanyika kwenye nchi ambayo baba wa taifa ni Julius K Nyerere, na amani ndiyo ilikuwa sifa yetu kubwa
 

...

....Mkuu umenikumbusha tukio roho yangu inauma sana!!!
 

hahahaha. Mwigulu bana. eti Ben look at u! umenikumbusha kipindi kile uliposema una ushahid ya Lwakatare na upo tayar kuutoa hata mbingun. kwel CCM ya leo ina viongoz bogaz. hiv kwel Ccm imekosa watu kabisa wa kuongoza.
 
kuna watu ni mahiri kwa utunzi wa hadithi kama hawa makamanda wa chadema, haiingii akilini mtu unayeonana nae kila mara bado umwamndikie email, ambapo mnaweza onana mda wowote na kujadili,

Utetezi wa namna hii humtia zaidi matatani mtuhumiwa kuliko kumsaidia. aliyekwambia kuwa watu wanonana mara kwa mara hawaandikiani email ni nani? au ni uelewa wako mfinyu? kwa taarifa yako watu wa ofisi moja huwasiliana zaidi kwa email kuliko hata kutazamana usoni. Mfano ni mimi mwenyewe, kuna boss wangu ambaye tumekuwa tukiwasiliana kwa email zaidi ya kuonana uso kwa uso japo tupo ofisi moja. Jitambue kijana acha kutetea uovu tena kwa hoja zinazokudhalilisha.
 
Nililiona lakini kutokana na kutokutumia akili wana cdm wakaendeleza matukano kama walivyozoea. Ngoja sheria ikamate mkondo wake.
 
Na kuwa upo tayari kutoa ushahidi duniani na mbinguni kwamba hao vijana ni hackers wazoefu.
 

Nimesoma kwa makini sana ulichoandika nimeona unajichanganya mwenyewe mfano umesema watakuwa wameitwa kwa kutengeneza email ya majina ya viongozi inathibitisha wazi unajua ulichokifanya pia ukasema,wameitwa kwa kuandaa email feki na mawasiliano feki hii nayo inathibitisha wazi kuwa unajua unachokikataa. Tumeshazoea hujuma zako na kwakuwa MUNGU YUPO hukumu yako ipo japo sio leo.ulaaniwe mwigulu kwa kuniulia ndugu yangu ili wewe upate umaarufu wa kijinga
 
Mwigulu mbona unakosa utu! Hivi wewe unadamu kweli kaka? Nakuomba uwe na utu hata kidogo, JIFUNZE Kwa nchimbi yalivyo mkuta . Malipo ni hapa hapa duniani
 
Ni vigumu sana kumtenganisha Mwigulu na umaaluni wa kisiasa unaoendelea, either ana bahati mbaya, au amekaanga mbuyu sasa inabidi atafune tu

sad almost all young politicians wanaishia palepale, egoism, myopia, stupidity, carelessness and thinking they are all that!!

acheni siasa mje kitaa tupige kazi, mnaharibu sana vijana
 
Hadi machozi yananitoka!! Hivi majuzi nilifiwa na ndugu yangu alijaliwa mali kidogo, kipindi anaumwa alikuwa anafikiria sana watoto wake na mali zake ila siku zilipoisha alibakiwa kufikiria zaidi simu yake ili aweza kuwasiliana na wapendwa wake!! Ila siku ya siku aliiaga dunia na hakuna hata kimoja alichokwenda nacho!! Ndugu mwigulu fikiri na chukua tahadhari kwa mungu hakuna kuchelewa!! Unayaoyatafuta hapa duniani ni ya kupita tuu!! Hutafanikiwa kwenda nayo!!
 
Nililiona lakini kutokana na kutokutumia akili wana cdm wakaendeleza matukano kama walivyozoea. Ngoja sheria ikamate mkondo wake.

....sura mbaya ...roho mbaya ...wanaume tuna kazi kweli kweli..!!!!!
 

MKUU POLE SANA KWA KADHIA HIYO YA KUPOTEZA MWANAO.

kweli Mwigulu Nchemba ni mbaya sana yani kauwa watu soweto na sasa kamuuwa Dr.Mvungi.

Mwigulu Nchemba mrudie muumba walo Mkuu kwani neema ya wokovu bado ipo wazi.
 
Last edited by a moderator:

....Mkuu kunawatu wanatoka ukoo wa shetani....huyu habadiriki...
 


MUOSHA HUOSHWA, MALIPO YA UBAYA NI HAPA HAPA DUNIANI, HAIJARISHI NI UZUSHI AU HAKIKA, kwa propaganda za kisiasa watu wameumia, familia zimeumia, Wewe Mwigulu uliwaaminisha watazania kuwa ulikuwa na ushahidi dhidi ya Watanzania wenzake kufanya vitendo viovu, ulifanya uzushi huu kwa manufaa ya nani? Njaa na uroho wa madaraka zinasababisha watanzania wenzenu kuwekwa sero na jela kwa sababu za uzushi. Hakika MUNGU hatakusamehe km utaendelea na siasa chafu, Tunapenda Vyama vyenu vishindane kwa hoja siyo tuhuma za ugaidi km ulivyotaka ashitakiwe Mtanzania mwenzako. Kwa kuwa huyo mwenzako ni waziri wa mambo ya ndani basi mnatoa amri mnavyo ona inawafaa nani aingie jela kwa wakati gani na kwa muda gani. Mnapanga chombo gani cha habari kifungiwe na kipi kisifungiwe. then mtango uongo eti gazeti liliandika habari za uchochezi kuhusu jeshi la polisi kuasi. Siasa chafu mziache. Nchimbi na Mwigulu bado vijana taifa na watanzania tunawahitaji. shame of you.
 
iLA PIA SIAMINI NI WEWE MWIGULU UMEKUJA PUBLIC!! LABDA HII ID IMEKUWA HACKED PIA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…