Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Yani haumtaki wala kumkubali kabisa.Mimi siwezi kumsamehe alivyotuambia kwa dharau kwamba tuhamie Burundi.Mawaziri wengi(si wote)wa fedha hapa Tanzania huwa wanatoa kauli za kuudhi sana.Bajeti ambayo maandalizi yake yamesimamiwa na mtu mwenye fikra duni kama huyo, itakuwa na nini cha maana?? Hakuna lolote la maana zaidi ya mbwembwe za kijinga kama alivyoonesha tangu kuanza safari yake toka nyumvani kuelekea bungeni kwa msafara wa kipuuzi wenye ving'ora.
Tanzania ni nchi Tajiri kama alivyosema MAGUFULI, na utajiri wetu jana tumeuonyesha!Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.
Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.
Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.
View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
Hivi ule uchumi wa kati uliishia wapi?CCM matapeli sana.Tanzania ni nchi Tajiri kama alivyosema MAGUFULI, na utajiri wetu jana tumeuonyesha!
Mlitaka twende na IST bungeni?
Shujaa aliondoka nao!Hivi ule uchumi wa kati uliishia wapi?CCM matapeli sana.
Hapana, hayo hajasema. Lakini mtu mnyenyekevu asingetaka mbembwe zote hizo. Kwani hivyo ndivyo anavyoenda Bungeni siku zote? Au serikali haioni kwamba hizo escort ni gharama?Dah!Kwa hiyo Mwigulu alitakiwa atembee kwa miguu kutoka wizarani hadi bungeni?Vitu vingine ni vidogo sana.Hasira zetu za maisha magumu tusimuhamishie jamaa.
Deni himilivu?Jamaa wana lugha za kuremba utadhani bibi harusi.Shujaa aliondoka nao!
Elewa, Tunakopesheka!
Escort si gharama, serikali haina hasara hata siku moja.Hapana, hayo hajasema. Lakini mtu mnyenyekevu asingetaka mbembwe zote hizo. Kwani hivyo ndivyo anavyoenda Bungeni siku zote? Au serikali haioni kwamba hizo escort ni gharama?
Ni uhakika waziri wa Uingereza hajatoka kwake au wizarani kwake na msururu wa magari ya kifahari kuwasilisha bajeti ambayo unaweza kuta ina pesa zetu za msaada pia.Kwa hiyo unataka kutuaminisha huyo Waziri ametoka nyumbani kwake kwa mguu au hapo anaingia kwenye jengo la bunge?
Tatizo ni kwamba viongozi wa Tanzania wamekubuhu kuwapuuza wananchi, kujiona ni miungu watu na kufanya wanachotaka, wakijua wananchi hawatafanya chochote. Ngoja siku JWTZ waanze kukerwa na hizi tabia za viongozi. Majeshi ya nchi nyingi Afrika yameanza kutiwa motisha na mapinduzi ya Bukina Faso na Niger, na viongozi wetu hawalioni hilo, wamejisahau kabisa katika anasa zao.Escort si gharama, serikali haina hasara hata siku moja.
Wakihitaji fedha wanaongeza shilingi moja tu kwenye bando ndani ya wiki wana bilioni za kutosha.
Umesahau Serikali inanunua magoli ya yanga na simba kwa milioni tano?
Kwa hio Billion 15 USD ni zaidi ya Billion 1200 USD, kuna yule Mmarekani aliwachana akasema Hawa viongozi wa Africa wanatumia Pesa kula Bata sio kuwasaidia Wananchi
Kazi iendeleee..................CCM oyeeee... CCM itatawala Tanzania daima mpaka hapo mutakapo amka WADANGANYIKA............Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.
Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.
Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.
View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
Hao viongozi wanatoka kwenye jami na wamekubaliana na kinachoendelea.Tatizo ni kwamba viongozi wa Tanzania wamekubuhu kuwapuuza wananchi, kujiona ni miungu watu na kufanya wanachotaka, wakijua wananchi hawatafanya chochote. Ngoja siku JWTZ waanze kukerwa na hizi tabia za viongozi. Majeshi ya nchi nyingi Afrika yameanza kutiwa motisha na mapinduzi ya Bukina Faso na Niger, na viongozi wetu hawalioni hilo, wamejisahau kabisa katika anasa zao.
Dark continent au unashangaa Mkorea mmoja kuita waafrika 40 nchini kwake kunuunua kwa bei atakayo?Viongozi wetu wa kiafrika ni balaaa
yenye madeni na mikopoMwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.
Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.
Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.
View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
Angeenda na gari lake kama kawaida, angepungukiwa nini, angetumia gari yenye plate namba ya waziri kawaida ingemcost nini? Kuto fanya hivyo hakuongezi ugali mezani kwa mwananchi ila inaonyesha maturity and seriousnessDah!Kwa hiyo Mwigulu alitakiwa atembee kwa miguu kutoka wizarani hadi bungeni?Vitu vingine ni vidogo sana.Hasira zetu za maisha magumu tusimuhamishie jamaa.